katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu utaratibu unaoendelea katika vituo vya SGR ambapo abiria hulazimishwa kufunga mizigo yao kwa plastiki (plastic wrap)

    Kwa: Mkurugenzi Mkuu Shirika la Reli Tanzania (TRC) S.L.P 76959 Dar es Salaam, Tanzania Yah: Lalamiko Kuhusu Kulazimishwa kwa Plastic Wrapping kwa Mizigo ya Abiria wa SGR Ndugu Mkurugenzi, Napenda kuwasilisha lalamiko kuhusu utaratibu unaoendelea katika vituo vya SGR ambapo abiria...
  2. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kupeana updates kutoka katika Online - meeting ya CCM

    Wana-ccm wote tulioko mashambani na vijijini ambako hakuna access ya kushuhudia mkutano huu muhimu katika chama chetu wa kubadilisha katiba ndogo ya Chama Cha Mapinduzi Wajumbeeeeeeeeeh
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vibaka wamekithiri katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja

    Mimi ni mdau wa JamiiForums, naishi Zanzibar mkoa wa Mjini Magharibi, Shehia ya Kwahani. Kero yangu kwa mamlaka za Usalama na hasa Jeshi la Polisi Zanzibar - mbona lipo kimya sana huku kukiwa na matukio ya baadhi ya wananchi mitaa hiyo wakitembea usiku na mchana Kuna vibaka wanawapora Mali...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuberi awaalika Waislam wote kuhudhuria Maulid ya Daarul Maarif, kwenye Viwanja vya Bakwata Makao Makuu

    DAARUL MAARIFA DAY 2025 Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuber Bin Ally anawaalika Waislam wote kuhudhuria katika Maulid ya Daarul Maarif, itakayofanyika Viwanja vya Msikiti wa Mfalme Mohammad VI Bakwata Makao Makuu. Mufti amewataka Mashekhe wote wa Mikoa, Wilaya, Kata...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kiasi ina maana gani katika ukristo?

    Kiasi Ina Maana Gani Katika Ukristo Kiasi ni nini Kiasi kama tafsiri yake ilivyo ni kuwa na uwezo wa kudhibiti jambo/tendo lisipitilize mipaka yake, yaani litendeke kwa sehemu fulani tu. Katika Ukristo, kiasi ni moja ya matunda 9 ya Roho Mtakatifu. Wagalatia 5:22 “Lakini tunda la Roho ni...
  6. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kuna mchezaji anaitwa mousa cisse katika mechi ya CECAFA leo, bonge la mchezaji simba usajili huo

    https://youtu.be/8QcNer8ha9Y?t=95
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Binafsi katika maono yangu simuoni tena katika KITI cha URAIS 2025-2030

    Kama nilivoandika kwenye kichwa cha Uzi huu. Sijaandika uzi huu nikiwa na mihemko ya kisiasa lakini binafsi katika maono yangu simuoni tena katika KITI cha URAIS 2025-2030.
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Timu safari hii imekosea (imechemka) sana katika Usajili wake na itakuja kupata Mafanikio kwa nguvu za Wabunge wenye Kuogopwa na TFF

    Sijaitaja sasa Wewe shoboka kuwa unaijua kwa kujifanya upo Akilini mwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE Malaika wa Kizanaki (Mara Tanzania), Kiyao (Mtwara Tanzania) na Kitutsi (Gisenyi Rwanda) sawa?
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi, Msajili wa vyama vya Siasa, ulipo huoni Aibu wee Mzee? Tazama CCM wanavyokuumbua , umegeuka kua Muhuni katika Tanzania ya Wasomi!!

    Ni kupitia Ofisi yako na Kesi za Uchwara Uchwara ,umeizuia CHADEMA kufanya Shughuli zake za Kisiasa Kwa sababu za kijinga kabisa. Lakini CCM wenyewe ,Kwa Sasa wamewaonyesha Watanzania kua, sio tu kukiuka Katiba yao ya Chama, wamekiuka Katiba ya TAIFA. Mzee Butiku kasema CCM wamekiuka, Mzee...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Unahisi kwanini mwendokasi umeshindwa kutatuta changamoto ya usafiri katika jiji la DAR?

    Wakuu ==== Katika miaka ya hivi karibuni, Serikali ya Tanzania kupitia DART (Dar Rapid Transit) imekuwa ikifanya jitihada kubwa za kuboresha mfumo wa usafiri wa umma jijini Dar es Salaam kwa kununua magari ya mwendokasi. Hata hivyo, licha ya uwekezaji huo mkubwa, changamoto bado ni kubwa —...
  11. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Timu ya IAEA itazuru Iran lakini haitafika katika vituo vya nyuklia

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Kazem Gharibabadi, amesema kuwa, ujumbe wa masuala ya kiufundi kutoka Shirika la Nishati ya Atomiki (IAEA) hivi karibuni watazuru Tehran, lakini hawataruhusiwa kutembelea vituo vya nyuklia vya Iran. Bw. Gharibabadi, ambaye yuko New York, alisema kuwa Iran...
  12. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Wananchi Tumekuwa Spectators Katika Nchi Yetu – Hii Ni Dhihaka Kubwa Kwa Demokrasia Yetu!

    Kweli tumefika pabaya! Tumepunguzwa hadhi mpaka kura yetu imegeuzwa kuwa kama ritual tu ya kufurahisha watawala, bila thamani ya kweli. Wananchi tumeonekana wajinga, tumetupwa pembeni kana kwamba hatuna akili za kupambanua nani anafaa kutuongoza. Hivi kwanini kura yangu – kura yako – iwe treated...
  13. Setfree

    JamiiForums Tanzania Yajue mapepo yanayosababisha ndoa kuvunjika

    Ndoa ni agano takatifu linalomuunganisha mwanaume na mwanamke mbele za Mungu. Hata hivyo, ndoa nyingi zimevunjika au zimejaa migogoro mikubwa isiyoelezeka, kiasi cha kuwafanya wengine wafikirie kukataa ndoa. Matatizo ya ndoa wakati mwingine chanzo chake ni cha kiroho. Biblia inatufundisha kuwa...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna muda maalum wa kuteua wagombea katika uchaguzi mkuu wa Tanzania?

    Kulingana na katiba, kanuni za bunge au tume ya uchaguzi Tanzania kuna muda maalumu wa vyama vya siasa kuteua wagombea wa urais, ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu??
  15. yello masai

    JamiiForums Tanzania MTI HUU NA FAIDA ZAKE KATIKA UJENZI.

    Wakuu, Huu mti unaitwaje? Je una sifa gani katika ujenzi hasa kupauwa? Mbao zake zina uwezo wa kuhimili wadudu waharibifu na mchwa?
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba inakosea katika sajili zake kwa sababu imepoteza kujiamini

    Leo nimeona niiongelee kidogo timu yangu ya zamani, Simba SC. Kwa hizi sajili, acha, sajili zinazofanyika kila msimu inaonyesha wazi Simba imepoteza kabisa kujiamini. Viongozi hawajui Simba inataka nini hasa na badala yake wanasajili na kuacha wachezaji tu ili waonekane wamefanya. Wachezaji...
  17. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayotokea katika vikao vya CCM hayakuhusu.

    Kama upon mtafaruku,CCM watafanya Press Conference watasema kwamba wameshindwa kuelewana. Ya nini kuleta tetesi na uvumi? CCM wameshamchagua mgonbea na Nchimbi amepigilia msumari jana anasema mgonbea wa CCM ni Samia Suluhu.
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nimesikia wana CCM Samia na kikwete wamevunja katika ya nchi na chama alafu wamejificha kwenye kichaka cha kuilinda

    Nimesikia wana CCM Samia na kikwete wamevunja katiba ya nchi na chama alafu wamejificha kwenye kichaka cha kuilinda. Nilimsikia samia anasema katiba ni kajitabu tu baada ya kupata madaraka kupitia katiba hiyo hiyo. Ni wazi katiba haina maana tena hapana tunaitaji mabadiliko. Tunahitaji...
  19. Knock life

    JamiiForums Tanzania Vita ya kuliua kanisa sasa rasmi imehamia katika Elimu

    Je kwanini target iwe Chuo cha SAUT . Je mtaweza, ebu tusubiri ? No time no space that will erase God's Spirit.
  20. C

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Hope Chanel huyu mpiga picha wenu katika makambi ya Kirumba anakosea sana

    Nitasema matukio machache yasiyo ya kiweledi ninayoyashuhudia kwenye runinga mubashara. Jumatatu alikuza picha ya wadada walioonekana wamesuka dreads na aliwekeza muda mwingi kuwamulika. Kwa mujibu wa mafundisho ya kisabato,hawakubali wanawake kusuka nywele. Alifanya hivyo ili iweje...
Back
Top Bottom