katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi ya teknolojia katika elimu

    Dunia ya sasa ipo katika MAPINDUZI makubwa sana ya Teknolojia na hii imepelekea karibia KILA kitu SASA kinafanywa KWA Teknolojia kubwa bila kujarisha ni sekta gani. Nina tarajia na kuzishauri mamlaka zinazohusiana na ELIMU kujikita katika matumizi ya Teknolojia kama njenzo muhimu katika kutoa...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko yanayoweza kufanyika kwenye nyanja mbalimbali katika miaka 5 hadi 25 ijayo

    Jina langu ni FRANCIS 0742749886 Mabadiliko ni sehemu ya asili ya maisha ya binadamu, na teknolojia, mazingira, jamii, na uchumi vinaendelea kubadilika kwa kasi kubwa. Katika miaka 5 hadi 25 ijayo, nyanja mbalimbali zitashuhudia mabadiliko makubwa yanayoweza kuathiri jinsi tunavyoishi, kufanya...
  3. JamiiForums Tanzania Chama cha wasio waislam wala wakristo kinahitajika

    Wadau mimi nimekuwa atheist kwa miaka 20, sasa nikiwa mdau mkubwa sayansi technology and fact, scientific theories. Nimekua nikiiona huruma sana jinsi dini ya ukristo inavusambaa kwa kasi na watu kuamini vitu potofu na wachungaji kuwadanganya waumini. Waislam wao muda wote kuwaza fujo na...
  4. JamiiForums Tanzania Uwekaji wa jiwe la Msingi katika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara.

    Uwekaji wa jiwe la Msingi katika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara. Ujenzi wa ofisi hii hadi kukamilika kwake kutagharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni moja , ikiwa hadi sasa immeshagharimu kiasi cha Shilingi milioni 800,000,000 zimekwisha kutolewa kwa ajili ya ujenzi.Haya ni...
  5. JamiiForums Tanzania Israel inaingia katika hali mbaya ya kisiasa, Netanyahu hatakiwi

    Wanaukumbi. BREAKING: 🇮🇱 Israel inaingia katika hali mbaya ya kisiasa Kiongozi wa Upinzani wa Israel Gantz atoa kauli ya mwisho kwa Netenyahu kuhusu vita vya Gaza: "Lazima uchague kati ya ushindi na maafa. Ifikapo Juni 8, mpango wa utekelezaji wa kuendeleza vita lazima uwasilishwe, ikiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Chagua jambo moja tu la kuliondoa katika hii dunia

    Mimi nitaondoa "UJINGA" Kwasababu... Nilikuwa nikifikiria jibu la hili swali, ghafra akili yangu ilikumbana na haya mambo manne. Umasikini, vita, njaa, na kifo. Na nilikuwa nikifikiria kuondoa mojawapo ya hayo. Nilitambua kuwa dunia haitawahi kweli kuwa huru kutokana na matatizo hayo manne...
  7. JamiiForums Tanzania MAGARI YAENDAYO KWA KASI PIA YAZINGATIWE

    Kuhusu usafiri wa haraka nchini Tanzania, kuna jitihada za kuboresha miundombinu na huduma za usafiri, hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam. Mradi wa mabasi yaendayo kasi ni moja ya mikakati inayolenga kupunguza msongamano wa trafiki na kuboresha usafiri mijini. Hata hivyo, bado kuna...
  8. JamiiForums Tanzania Papa abananishwa kuhusu wapenzi wa jinsia moja katika interview

    Katika video hii papa anapigwa maswali konki kuhusu kubaliki wapenzi wa jinsia moja, ambapo anasikika akikanusha na kusema ni kinyume cha sheria za kanisa, huku akisisitiza kuwa kubalika mtu mmoja mmoja ni sawa, ila sio kubaliki muunganiko wao
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Katika kuboresha mpira wa miguu nchini kwa Vijana, napendekeza UMITASHMITA na UMISETA iwekwe chini ya TFF na kutolewa TAMISEMI

    Hili ni andiko langu kwa wapenda soka nchini. Bila shaka mtakubaliana nami, kwamba, tangu kuanzishwa kwa UMITASHMITA na UMISETA, kumekuwa na malalamiko mengi kwa walimu na wadau wengine kuwa, UMITASHMITA NA UMISETA hazijatusaidia sana kwenye sekta ya michezo hususani mpira wa miguu, hii...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi avutiwa na utendaji wa Benki ya CRDB katika kutengeneza faida

    Arusha 17 Mei 2024 - Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuendelea kutengeneza faida kubwa inayoiwezesha benki hiyo kutoa gawio kwa wanahisa wake kutokana na uwekezaji wao ndani ya benki hiyo. Rais Mwinyi alitoa pongezi hizo wakati...
  11. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kutumia Mifumo ya Blockchain katika Usimamizi wa Ardhi na Hati za Umiliki

    Wazo hili linahusu matumizi ya teknolojia ya blockchain katika usimamizi wa ardhi na hati za umiliki ili kuongeza uwazi, usalama, na ufanisi katika sekta ya ardhi nchini Tanzania. Blockchain ni teknolojia ya kuhifadhi taarifa katika mfumo wa kidijitali ambao ni salama na haubadiliki. Kila...
  12. JamiiForums Tanzania Mafunzo ya Mabalozi na Maafisa Waandamizi na Wenza Wao wanaokwenda katika Balozi mbali mbali za Tanzania

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Samwel Shellukindo, Mei 17, 2024 amefungua Mafunzo ya Mabalozi na Maafisa Waandamizi na Wenza Wao wanaokwenda katika Balozi mbali mbali za Tanzania. Mafunzo hayo yaliyotolewa na wanadiplomasia wakongwe Balozi...
  13. I

    JamiiForums Tanzania SoC04 Taifa lina kipi cha kutoa katika majukwaa ya kimataifa na umiliki wa Mali asilia iwe kiteknolojia, kisiasa na kideolojia

    Kwa asilimia kubwa Sana taifa limekua liki tafuta na kuwepo katika jukwa la kimataifa kuzungumzia utajiri hasiria ambao Umekua kua ukichangia Sana katika pato la taifa pamoja na watu binafsi. Uwepo wa utajiri huo Bado ahutoshi kua kitambulisho cha taifa leo hii uki uliza watu waliopo Nje ya nchi...
  14. JamiiForums Tanzania Furahia pamoja nami katika kumbukizi ya kuzaliwa kwangu

    Habari wadau wangu, Namshukuru Mungu kuiona siku ya leo wengine hawapo duniani ila ni mapenzi ya Mungu kuniweka hadi leo kufurahia siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu kwangu naona ni neema ya ajabu mno kuona siku hii. Namshukuru Mungu kunipa afya njema na kunipa tumaini jipya basi enjoini...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya inaongoza Afrika Mashariki kwa madeni makubwa katika taasisi za Mikopo duniani

    Kwa mujibu wa taarifa ya Madeni iliyopo katika tovuti ya Shirika la Fedha Duniani (IMF), imeonesha takriban nchi 47 kutoka Afrika zimeendelea kuwa na Madeni katika taasisi hiyo ya Fedha ambapo hadi hadi kufikia Mei 16, 2024 Nchi 10 zilikuwa na Deni la takriban Tsh. Trilioni 72.3. Aidha, Nchi...
  16. JamiiForums Tanzania Kubadili Bajaji kwenda Mabasi katika Jiji la Mbeya: Njia Mpya ya Kuelekea Usafiri Bora

    Jiji la Mbeya, kama miji mingi inayoendelea nchini Tanzania, linakabiliwa na changamoto kubwa za usafiri. Bajaji, ambazo ni maarufu kwa kuwa nafuu na rahisi kupenya katika mitaa midogo, zimekuwa sehemu muhimu ya mfumo wa usafiri wa jiji hili. Hata hivyo, kuongezeka kwa idadi ya bajaji...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Uturuki: Tutaendelea kusimama na HAMAS katika vita vyao vya Ukombozi!

    1. Rafiki wa kweli hujulikana wakati wa dhiki: 2. Hii itakuwa habari mbaya mno kwa wasayuni wote kuanzia Tell Aviv, hadi Buza pande za kwa Mpalange huko. 3. Mwizi ni mwizi tu huyo ni wa kusema naye siku zote na popote atakapoonekana! 4. Ngoja tumsubiri mwenye mpango wake wa kuifuta...
  18. JamiiForums Tanzania Wakandarasi Wanawake wamshukuru Mwenyekiti Chatanda kwa kuwapambania katika fursa za miradi

    Mwenyekiti wa Chama Cha Wakandarasi Wanawake Kanda ya Kati na Mashariki Tanzania Bi. Hidaya Abri amemshukuru Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda kwa kuendelea kuwapambania wakandarasi wanawake kupata mitaji inayowawezesha kufanikisha Utekelezaji wa tenda za wadau wa Maendeleo ikiwemo...
  19. JamiiForums Tanzania Nafanya Graphic Design, Window Repair and Installation, Phone Settings

  20. JamiiForums Tanzania Katika nchi nyingi za Kiarabu, maji ni ghali kuliko mafuta

    Sababu kuu ni kuwa maji ni rasilimali adimu na yenye gharama kubwa ya uzalishaji na usambazaji katika maeneo hayo, wakati mafuta ni rasilimali ya asili ambayo hupatikana kwa wingi. Nchi nyingi za Kiarabu ziko katika maeneo ya jangwa na zinakumbwa na ukosefu wa mvua, hivyo vyanzo vya maji ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…