katibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Katibu Baraza la Kata jela miaka mitatu kwa rushwa

    Mahakama ya wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu imemhukumu Katibu wa Baraza la Kata ya Binza wilayani humo, Daud Willison Elias kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya Sh 500,000 baada ya kupatikana na hatia ya kuomba rushwa ya Sh 50,000. Hukumu hiyo ilitolewa Jana na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama...
  2. T

    Katibu Mkuu CCM weka alama Tanga

    Mh. Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa chama tawala,ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ukiwa ziarani Tanga ninajua sipo nje ya ajenda zako lakini ninakupa dondoo kidogo kwamba kero zilizopo Tanga ni. Migogoro ya ardhi iliyosababishwa na Shigela,Mayeji na kikosi kazi chao cha...
  3. Nawejaze kuonana na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI?

    Wakuu naomba mrejeeTitle ya uzi Wangu huu mfupi sana. Binafsi nahitaji kuonana Na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa muda muafaka na kwa uhakika zaidi juu ya ratiba zake za kikazi kabla sijafika . Naogopa usumbufu wa kufika Ofisini kwake na kupewa jibu la kutokuwepo kwake. Nia yangu ni...
  4. Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Kattanga yupo wapi?

    Leo ni mara ya pili katika kipindi cha karibu wiki ya tatu sasa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Kattanga hajaonekana hadharani na nafasi yake imekuwa ikikaimiwa na Mhe. Kusiruka. Yeyote mwenye taarifa za huyu Mheshimiwa tafadhari tunaomba atudokeze.
  5. Dkt. Allan Kijazi, Katibu Mkuu Maliasili na Utalii na DG TANAPA - Confusion

    Dkt. Allan Kijazi ni Director General wa Tanzania National Parks na wakati huo huo ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na utalii. Kabla ya hapo alikuwa Naibu Katibu Mkuu na Mh. Samia Suluhu akam-promote kuwa Katibu Mkuu akichukua nafasi ya Aloyce Nzuki. Kwanza mimi nampongeza kwa uteuzi ila...
  6. Maoni: Dkt. Batilda Buriani ameshushwa mno kuteuliwa kuwa Katibu Tawala

    Dkt. Batilda Buriani alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa!! Ni kudhalilishwa mno, ni mawazo yangu. Angepewa hata ukuu wa Mkoa.
  7. Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara kuteuliwa kuwa Katibu Tawala Mkoa ni sawa?

    Rais Samia amemteua ndugu Rodrick Mpogolo aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu BARA WA CCM kuwa Katibu Tawala mkoa wa Katavi, hii imekaaje? Kiongozi wa Kisiasa kupewa nafasi ya uongozi wa kiutawala Serikalini tena ni Technical post. Mhhh, nimeshangazwa Kama ilivyo kwa wanajeshi wasio wastaafu kupewa...
  8. Q

    Shaka Hamidu Shaka, mrithi wa Polepole nafasi ya Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM

    Shaka Hamidu Shaka, ameteuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akichukua nafasi ya Humphrey Polepole ambaye ni Mbunge wa kuteuliwa. ======= Mwenyekiti mpya wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amemteua Shaka Hamdu Shaka kuwa Katibu wa NEC Itikadi na...
  9. Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) yapata Katibu Mkuu Mpya

    Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, kimefanya Uteuzi wa Katibu Mkuu Mpya ambaye ni Wakili Msomi Jackson Ndaweka. Uteuzi umefanyika kwa Mapendekezo ya majina mawili , Michael Washa na Jackson Ndaweka , na Wakili msomi kushinda...
  10. Chongolo: Msisitizo wa chama cha mapinduzi(CCM) katika maeneo muhimu kwenye mpango wa maendeleo na bajeti za Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Chongolo anafanya mkutano na waandishi wa habari katika ukumbi wa Halmashauri Kuu (NEC) Makao Makuu ya Chama jijini Dodoma. ===== KATIBU MKUU CCM AWAONYA WENYE NIA OVU SUALA LA UMEME, ATOA MAAGIZO KWA WIZARA TATU CHAMA Cha Mapinduzi CCM...
  11. N

    Katibu Mkuu Utumishi pitia waraka wa utumishi wa umma na.2 wa mwaka 2018 kipengele na 3.2 (I) kinanyima haki watumishi

    Majuzi niliomba kuona waraka huu hapa hapa jamvini kwa bahati nzuri mdau mmoja kanitumia PM hapa nimeona kipengele cha 3.2.(i) si rafiki kwani kinamnyima stahiki zake mtumishi endapo mwajiri hatukuwa na busara kipengele kinasema (I)malipo ya uhamisho hasa katika maeneo ya mjini yafanyike baada...
  12. Katibu Mkuu CCM, Daniel Chongolo kufanya mkutano na Waandishi wa Habari

    Habari ya asubuhi ndugu wanajamvi, natumaini bila shaka mu wazima wa afya na mmeianza vema siku ya leo. Kwa ambao ni wagonjwa nawaombea kwa Mwenyezi Mungu Muumba wa awajalie nafuu ya haraka ili muweze kurejea katika majukumu yenu ya kila siku. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel...
  13. Wilfred Mwalusanya Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Mbozi aachiwa huru baada ya kusota rumande kwa miezi 8

    Alikamatwa siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 na kupewa kesi ya uongo ya kutakatisha pesa na Uhujumu uchumi kwa amri ya CCM na DPP Biswalo Mganga, ambaye jana ameapishwa kuwa jaji wa Mahakama kuu. Leo ameachiwa huru baada ya Mahakama kuona kwamba Mashitaka yake yalikuwa ya uongo , ya...
  14. Mwanza: BAWACHA wapata safu mpya ya uongozi wa Kitaifa: Sharifa Suleiman, Catherine Ruge, Bahati Chumu, Nuru Ndossi, Aisha Machano

    Amechaguliwa leo kwenye Mkutano Maalum ulioitishwa Mwanza ili kuziba pengo la wale Corona 19 waliovuliwa uanachama. ===== Sharifa akabidhiwa mikoba ya Mdee Bawacha Chama cha Chadema kimemteua Sharifa Suleiman kuwa kaimu mwenyekiti wa Baraza la wanawake la chama hicho (Bawacha) ambapo...
  15. J

    Hongera Bi Nenelwa Muhambwi kuteuliwa kuwa Katibu wa Bunge, katende haki!

    Binafsi nampongeza sana bi Nenelwa Muhambwi kwa kuteuliwa kuwa Katibu wa bunge la JMT. Katibu wa bunge ndio kiungo muhimu kati ya bunge na serikali tuna imani utakwenda kutenda haki. Kadhalika utawakuta wale wabunge 19 wa Chadema ambao ubunge wao una utata, Tafadhali kamshauri ipasavyo mh...
  16. M

    TAMISEMI njooni muondoe wezi Tanga Jiji na Mkinga

    Ninawasalimu wanajukwaa wa JF Wakati Mh.Rais akitembea na kauli mbiu ya kazi iendelee,wapo manaibu makatibu wawili wa Tume ya Utumishi wa Walimu(TSC) wa wilaya za Tanga Jiji na Mkinga Halmashauri kauli yao itakua wizi unaendelea. Wanafanya wizi wa dhahiri,unyanyasaji,uonevu na ukandamizaji wa...
  17. T

    Hongera Rais Samia, kitendawili cha uhamisho wa watumishi chateguliwa na Katibu Mkuu Tamisemi, Prof. Riziki Shemdoe

    Prof. Shemdoe atengua kitendawili cha uhamisho Nteghenjw Hosseah, OR-TAMISEMI Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Prof. Riziki Shemdoe amesema uhamisho wa watumishi wa Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa utafanyika mara nne kwa mwaka yaani kila robo ya...
  18. VIDEO: Aliyekuwa katibu mkuu CCM alivyosimamisha Msafara wake kusoma mabango

    Yeereeeeeh! Maisha yanaenda kasi sana na kubadilika ghafla. Video hapo chini aliyekuwa katibu mkuu CCM alivyosimamisha Msafara wake kusoma mabango.
  19. J

    Cheo ni dhamana: DC amekuwa Katibu mkuu CCM na RC amekuwa Naibu Katibu mkuu, siasani siyo jeshini!

    Ni katika kuwatia moyo tu watendaji wa serikali kwamba wachape kazi bila ya kujali ukubwa wala udogo wa vyeo vyao kwani CCM fursa ni nyingi mno. Nawatakia Dominica yenye baraka. Kazi Iendelee!
  20. Katibu Mkuu CCM, Chongolo urafiki wake na Mzee Kikwete

    Udugu hazina kubwa. Ni kijana mwaminifu kazi maalum zote alizotumwa alizifanya kwa weledi na Umakini. Uteuzi huu ni furaha kubwa kwa Nape na Ridhiwani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…