katibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, aliyekuwa Katibu Mkuu Chama cha Walimu Tanzania Deus Seif na Mweka Hazina Abubakari Alawi walifanya ajira za Kilaghai?

    Novemba 2017 Aliyekuwa Katibu Mkuu Chama cha Walimu Tanzania Alhaji Yahya Bakari Kilo Msulwa alifariki dunia. Kwa Mujibu wa Katiba ya CWT toleo la sita 2014, nafasi ya katibu mkuu ilipaswa kujazwa na Baraza la taifa la chama hicho. Julai 2018 katika ukumbi wa LAPF Dodoma, Deus Seif kwa msaada...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Karibu Singida Katibu Mkuu CCM

    Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Mkoani Singida kuanzia Tarehe 27 Februari, 2023 hadi 4 Machi, 2023. #CCM Imara
  3. JamiiForums Tanzania Mkutano wa VP Mpango Mnazi Mmoja umeanza vibaya. Kibaka aiba simu ya Katibu Mwenezi wa Mkoa.

    Kwenye mkutano wa CCM, mkutano mkubwa,.sherehe kubwa,wasaniii wengi pale,.pamoja na Zuchu. Lakini kibaka kaiba simu ya mheshimiwa. MC akaambiwa atangaze ili simu ipatikane. Kwa hiyo MC ametangaza:"Yupo mwanaCCM mmoja mwaminifu ameichukua simu ya Katibu Mwenezi. Tunaomba airudishe."
  4. JamiiForums Tanzania Katibu itikadi na Uenezi CCM ashiriki kupika

    Vichekesho vya awamu ya 6 vinaendelea.
  5. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo yupo mjini Ifakara. Nashangaa kuona ulinzi ni mkali

    Polisi ni wengi, kila kwenye junction ya kuingia barabara kuu ya Morogoro kuna polisi amesimama. Vijana wa bodaboda wengi wameondoka kwenye vituo vyao kwa hofu ya kukamatwa. Kifupi nimeshangaa Katibu Mkuu wa CCM kupewa ulinzi na mapokezi kama kiongozi wa serekali. Tufike mahali viongozi wa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mtendaji NECTA aondolewe mara moja kwenye nafasi hiyo

    Jana matokeo ya CSEE na QT yalitangazwa. Lakini hayakuwa na ranking wala hata kuonesha halmashauri inakopatikana shule husika. 1. Kufanya ranking ni mhimu Kama recognition kwa shule na mwanafunzi binafsi. Hii pia ni motivation. 2. Mtihani wa NECTA ni standard, kwa maana kwamba hatua zote...
  7. JamiiForums Tanzania Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Igunga wazindua ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Wilaya

    Umoja wa Wanawake (UWT) Wilaya ya Igunga umetumia Siku ya tarehe 29 Januari 2023 kufanya uzinduzi ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Wilaya ikiwa ni muendelezo wa matukio mbalimbali yanayofanywa na Jumuiya za Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea mahadhimisho ya Miaka Arobaini na Sita ya Kuzaliwa kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya na Katibu Tawala wafikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewafikisha Mahakamani Mkuu wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Ruben Mfune na Katibu Tawala Msaidizi wa Fedha mkoani Kilimanjaro, Juma Masatu kwa tuhuma za uhujumu uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh51 milioni. Wawili hao walidaiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wa namba ya simu: Waziri/Naibu wa elimu ama katibu wa wizara ya elimu

    Msaada wa namba ya simu: Waziri/Naibu wa elimu ama katibu wa wizara ya elimu Naomba kuwasilisha
  10. JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga: Hivi Diwani Athumani kashuka au kapanda?

    Wala hakuna tatizo lolote jamani, nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu, sijajua wapi ni juu? Je, sasa amepandishwa cheo au ameshushwa? Natanguliza shukrani.
  11. JamiiForums Tanzania USHAURI: CCM iwe na Katibu wa Itikadi na Uenezi upande wa Bara na Makamu wake atoke visiwani

    Nimefuatilia sinema inayochezwa na CCMbara nimegundua kuna umuhimu wa kuwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM wawili kwa kila upande wa seriksli zote mbili. Kwa sasa ukifuatilia sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022. CCM upande wa bara tumepiga na kitu kizito itakapofikia muda wa kutoa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyekuwa ameandaliwa na Hayati Magufuli kuja kuwa Katibu Mkuu CCM baada ya Bashiru kula kiapo cha kuwa Katibu Mkuu Kiongozi?

    Hili liko wazi kuwa Bashiru kuendelea kuwa katibu Mkuu CCM baada ya kuwa katibu Mkuu Kiongozi ilikuwa ngumu. Magufuli alikuwa tayari ana plan B ya kumpata Katibu Mkuu CCM pamoja na Katibu Mwenezi CCM, maana Polepole tayari alikuwa ameshasukumizwa bungeni tayari. Sasa mimi nauliza ni kina nani...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba alieongoza Tume ya Katiba, ndio anastahili kupewa Udaktari wa Heshima

    Kwa mtazamo wangu, Mzee Warioba aliekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ndio anastahili kupewa Shahada ya Udaktari wa Heshima kwa kufanya kazi iliyokubaliwa karibu na makundi yote ya watanzania Bara na Visiwani. Wajumbe wengine wa kamati wapewe Certificate of Merit kutambua mchango...
  14. JamiiForums Tanzania Dk bashiru ndiye katibu mkuu kiongozi aliyedumu kwa muda mfupi zaidi,siku 37 tu!

    aliteuliwa tar 26 februali na kutumbuliwa tar 31 march! kwani mama alimuondoa haraka sana je alikuwa kirusi? kwa nini hakumpa muda hata wa mwaka mmoja kuna mahali huenda hawakuwa sawa hata kabla ya magufuli kurest in peace? je mama hakupendezewa na uteuzi wake? na hayo yanayotokea sasa msigano...
  15. JamiiForums Tanzania Kwako Lusinde na Kenani; Dkt. Bashiru aliwahi kusema maneno haya akiwa Katibu Mkuu wa CCM. Je, hamkumuelewa enzi zile?

    KWAKO MH LUSINDE NA MH KENANI;DK BASHIRU ALIWAHI KUSEMA MANENO HAYA AKIWA KATIBU MKUU WA CCM,JE HAMKUMUELEWA ENZI ZILE!? Leo 17:50hrs 20/11/2022 1. "Nimekuta wizi wa kutisha kwenye chama chetu cha CCM na wengine nikiwataja hamtanielewa. Wanajifanya ni waheshimiwa kumbe ni wezi,mijizi,wameiba...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kuwa Katibu Wa UVCCM wilaya ya Chemba Dodoma acharangwa mapanga na Mchepuko wake

    KATIBU wa {UVCCM} wa Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma,Ramadhani Kiula amejeruhiwa vibaya kichwani kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali na Mwenyekiti wa UWT ,Fatuma Ramadhani anayedaiwa ni mchepuko baada ya kumkuta na mchepuo mwingine aitwaye, Hamida Kondo akilishwa chakula. Kama habari...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa na Katibu Mkuu Dk. Abbas mkiacha 'Usiasa' na 'Usisiemu' wenu Timu za Taifa zitafanya vizuri Kimataifa

    Kilichotokea huko mkiwa na Timu hiyo ya Walemavu ndiyo kile kile kiliwatokeeni hata kwa Timu ya Taifa ya Taifa Stars na Kushindwa kufanya vyema na Mimi huyu huyu GENTAMYCINE niliwaonyeni hapa hapa JamiiForums kuwa acheni kuingiza Siasa na Usisiemu Michezoni hamkunisikia. Juzi baada ya Timu hii...
  18. JamiiForums Tanzania Sakata la kifo cha katibu wa Masanja na kile alichotuachia

    SAKATA LA KIFO CHA KATIBU NA KILE ALICHOTUACHIA. Na Robert Heriel Ishu hii inasikitisha na kuhuzunisha mno. Ni tukio baya pia linalofedhehesha. Tukio la unyama na udhalilishaji uliovuka mipaka kuvua Utu WA Mtu. Unapozungumzia kutoka na Mke WA Mtu sio Jambo la mchezo. Kila mtu anajua Kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Utata wa maelezo juu ya kifo cha Katibu na motive ya Mkandamizaji

    Wadau, leo kumesambaa taarifa kwenye vyombo vya habari kutoka kwa kamanda wa polisi Muliro akielezea sababu za kujiua katibu wa Feel Free Church kutokana na uchunguzi wa awali. Maelezo ya kamanda yanapeleka kwenye hitimisho moja kuwa, Mama Mchungaji (Monica) na marehemu hawakuwa na mahusiano na...
  20. JamiiForums Tanzania Nisingeamua, ningeacha kimemo kama Katibu

    Waungwana habari za muda, naamini tu salama na wazima wa afya, kama unachangamoto pole na Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi na itapita. Nimeandaa uzi huu kama sehemu ya kusaidia vijana wa kiume na hata wakike pia ili waweze kuepukana na hatima za huzuni, mathalani KATIBU ANAYETREND KWA WAKATI HUU...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…