Spika Ndugai amekiri kupata wakati mgumu kwenye kuitafsiri Katiba iwapo Dkt. Mpango awaage wabunge wenzake kabla ya matokeo ya kura kutangazwa na kumthibitisha au baada yake.
Amesema iwapo atamtangaza Dkt. Mpango amepitishwa kuwa Makamu wa Rais basi haitawezekana tena mteule huyo kupewa fursa...
Nimefatilia mijadala inayoendelea kwenye vyombo vya habari hususan wapinzani nikagundua kuna upotoshwaji mkubwa.
Kwanza naomba kuwakumbusha Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan anafahamu mambo mengi kwani alikuwa msaidizi namba moja wa Hayati Dr. Magufuli.
Wakati huo huo chama kinachotawala ni...
Kulikuwa na mipango na kelele nyingi ya kutaka kuondoa mihula ya Urais wakati wa hayati Magufuli. Ni wazo zuri kwani mambo ya mihula ni bora zaidi kwa nchi za magharibi ambazo zimeendelea.
Ktk nchi zetu tumuonapo kiongozi adhimu na wa tofauti hatuna budi kumuongezea muda wake wa kuongoza ili...
Taifa letu lina katiba mbaya sana maana imemrundikia Rais madaraka makubwa mno. Sioni umuhimu wa kutaja ibara zilizompa ais mamlaka makubwa. Lakini toka ibara ya kwanza mpaka ya mwisho rais wa JMT ana mamlaka makubwa sana. Anaweza kufanya chochota anachotaka na hakuna wa kumuuliza. Na hii huwa...
Salamu wakuu
Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa Rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu.
Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
Leo asubuhi nememsikia mtangazaji mmoja wa East Africa Radio (kwenye kipindi cha 12:00- 04:00) akisema Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan ni Rais wa awamu ya sita. Yawezekana wengi wakawa na mtazamo huo, au wengi wakafuata mtazamo huo baada ya kumsikia mtangazaji huyo. Je, kwa mujibu wa katiba...
Kwakuzingatia katiba na sheria inayosimamia mazishi ya viongozi na kwakuepuka uvunjifu wa sheria nchi yetu ilipashwa kufanya yafuatayo kabla yakufanya mazishi ya Hayati Mhe. John Pombe Magufuli.
1. Makamu wa Rais kutangaza kifo Cha Rais aliyekuwepo madarakani-
2. Makamu wa Rais kuapishwa kuwa...
Suala la katiba lipewe kipaumbele sana.
Katiba ni uhai.
Yapo mengi ya hatari sana kwenye katiba hii.
Lakini hili la Mrithi wa rais anayefariki dunia, kuwa ni makamu wa rais (automated) ni hatari sana kwa marais endapo tukipata Makamu asiyemwaminifu.
Pia linachangia sana kumuweka mbali...
Awali ya yote niwape Pole sana Watz wenzangu kwa msiba huu mkubwa wa kuondokewa na Mkuu wa nchi Dr.John Joseph Pombe Magufuli. Mungu amweke mahali panapostahili kwa yale aliyotenda hapa duniani.
Marehemu alikuwa hataki kusikia habari ya Katiba Mpya akidai hicho hakikuwa kipaumbele chake wakti...
Sheria ya mazishi ya viongozi inasema, endapo Rais aliyekuwa madarakani akifariki dunia, na baada ya Makamu wa Rais kupata taarifa rasmi zilizothibishwa atatakiwa kutangaza kifo kwa mujibu wa taratibu.
Sheria inamtaka Makamu wa Rais atangaze maombolezo ya siku 21 ambapo bendera itapepea nusu...
Ndugu Nape alipohojiwa kuhusu vuguvugu la kumuongezea Rais Magufuli muda wa utawala wake amesema haya yafuatayo.
1. Kwanza anashangazwa na kwamba ndiyo kwanza miaka mitano ya muhula wa pili wa utawala wa Rais Magufuli umeanza halafu watu wanaanza kuzungumza ya baadae, wakati haya waliyoomba...
Mabibi na mabwana hii clip inajieleza wazi:
Wanasema elimu ni bahari na pia elimu haina mwisho.
Katiba ni msingi mkuu wa maisha ambapo yaliyomo ni muhimu yakaridhiwa na wote kupitia sanduku la kura.
Utaratibu wa wengi wape utatuondoa hapa tulipo ambapo chuki imejengeka kutokana na wengine...
Ningependa kujua ikiwa ikatokea bahati mbaya amefariki katika ajali au namna yoyote iwayo, nani ateyeshika nafasi ya uongozi wa taifa letu?
======
37(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na...
Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu na mijadala inayoendelea hapa kila siku kuhusu masuala ya Katiba na Sheria za nchi yetu. Aidha kuhusu haki za binadamu, rushwa, utawala wa sheria na mengineyo.
Kupitia thread hii maalum; tutapokea maoni, ushauri na hata malalamiko yenu...
Habari za muda wana jamvi,
Nimatumaini yangu kuwa kila mmoja yuko powa kabisa na mapumziko yake ya siku ya leo.
Nimeona nije huku jukwa la sheria mana ndio mahala sahihi juu ya swala langu. Shida yangu ni kutaka kufahamu muundo wa katiba ya NGO yoyote umekaje. Mfano katiba ya kikundi cha...
Ibara ya 8 ya katiba ya JMT ya mwaka 1977, inatamka wazi mamlaka ya kutawala hili taifa yapo mikononi mwa Watanzania.
Wao ndio wanachagua viongozi ambao lazima watawale na kuongoza nchi kwa mujibu wa katiba ya JMT.
Sasa hivi Tanzania hatushuhudii utawala unaofuata katiba, na katiba inavunjwa...
Rasimu ya katiba ya Jaji Warioba katiba ibara ya 54 imependekeza kuwa mahakama au chombo cha maamuzi kufanya maamuzi kwa kuzingatia haki na usawa na uhuru wa mtu binafsi
Sheria za kimataifa kuhusu haki za binadamu zizingatiwe.
Haki na maslahi ya jamii yazingatiwe.
Kila mtu awe na haki ya...
Mbona kila kukicha hapa bongo yanaibuka mapya? Maana katika kupita huku na kule nimekutana na Mbunge mmoja akiomba kama kuna uwezekano basi katiba ya JMT ibadilishwe ili kuwe na kipengele cha kuhakikisha miradi mkakati inayotekelezwa awamu hii ya tano italindwa mpaka ikamilike hata kama rais...
Inatia aibu kuona viongozi wa chama kikubwa kama Chadema na wafuasi wao wanataka kuingilia mamlaka ya uteuzi aliyonayo rais wa JMT. Ina maana hamna muda wa kupitia na kuperuzi katiba ya JMT? Kwa namna hii mnafaa kuongoza nchi kama hata vifungu vya katiba ya JMT hamuwezi kuvipitia na kuvielewa...