katiba

  1. JamiiForums Tanzania Katiba mpya inahitajika ili tupate maendeleo ya kweli

    Katiba mpya inahitajika ili tupate maendeleo ya kweli.. Katiba katiba Tunataka maendeleo ya sayansi na teknolojia sio maendeleo ya kubahatisha. Katiba inahitajika ili kuweka mambo sawa. Dunia inaongozwa na wasomi na ndio maana ina maendeleo. Leo kuna ndege, meli, umeme, kuna magari...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Mbowe, Katiba si muhimu sana bali tuombe Tanzania isimpate Rais Katili na Mwendawazimu

    "Kwa Madaraka makubwa aliyonayo Rais kutokana na Katiba iliyopo akiwa ni Rais mzuri haina shida, ila akiwa ni Rais Katili au Chizi anaweza kuipeleka nchi kubaya sana " Chanzo: BBC Dira ya Dunia Leo hii. Haya mnaoshupalia Katiba mpya na kutupigia Kelele zenu za 'Nongwa' kila Siku Mh. Mbowe hana...
  3. JamiiForums Tanzania Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), John Bayo aiponda Katiba ya Baraza la Michezo Tanzania (BMT)

    WAKATI sakata la sifa za kielimu la Makamu wa Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), John Bayo likizidi kuchukua hatua tofauti, shirikisho limedai linatarajia kufanya mabadiliko ya katiba yake. RT ilifanya uchaguzi wake mapema mwaka huu, baada ya kufanyika kwa mabadiliko ya katiba, ambapo...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Injinia Hersi Said wa GSM leo 'Kazindua' Tawi la Yanga SC huko Tabora kama nani na je, Katiba ya Yanga inaruhusu hilo?

    Dkt. Mshindo Msolla kwakuwa huna tena Kauli mbele ya Yanga SC baada ya Kukubali 'Kumezwa' na GSM chini yake Injinia Hersi Said nashauri 'jiuzuru' kwani hakuna unachokifanya ( ulichokifanya ) pia.
  5. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kutoa mada siku ya Katiba (Katiba Day)

    Katiba Day ni siku ambayo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeandaa kongamano la kujadili umuhimu wa kuwepo kwa Katiba Mpya itakayotokana na Raia wote, pamoja na mjadala huo pia kutakuwa na mjadala wa kuchagiza uwepo wa Tume Huru ya Uchaguzi. Tundu Lissu atakuwa miongoni mwa magwiji...
  6. JamiiForums Tanzania Katiba yetu inavyotisha Wabunge

    Spika Job Ndugai amesema kwa mujibu wa Ibara ya 90(2)(b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais ana uwezo wa kuvunja Bunge endapo likikataa kupitisha Bajeti ya Serikali. Nimejiuliza maswali 1. Kuna ulazima wowote wa Spika Ndugai kutoa leads Kwa wabunge cha kufanya? Spika wa Bunge...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Heri Rais Samia akaruhusu mchakato, asisubiri mashinikizo

    Suala la kuwapo au kutokuwapo kwa katiba mpya kwa sasa halina mbadala tena. Ni wazi kuwa watanzania walio wengi tunahitaji katiba mpya na iliyopo haitufai tena. Tofauti iliyopo ni kwenye viwango (extent) tu. Ni dhahiri kuwa mchakato huu usiporuhusiwa kwa hiari, mashinikizo yatafuata. Huu ndiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Job Ndugai: Wabunge mkiikataa bajeti mmejivua Ubunge wenyewe kwa mujibu wa Katiba

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amewaambia Wabunge kuwa kwa mujibu wa Ibara ya 90(2)(b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Tanzania ana uwezo wa kuvunja Bunge endapo litakuwa limekataa kupitisha bajeti ya serikali iliyopendekezwa. Ameyasema hayo leo, Juni 22 ambayo ni siku ya...
  9. JamiiForums Tanzania UVCCM: Wapinzani walikwamisha upatikanaji wa KATIBA mpya

    Kwa kumbukumbu zangu, sikumbuki ni lini na kwa namna gani Mbowe, Lipumba na Mbatia walikwamisha "nia njema ya CCM" ya kuunda katiba mpya. UVCCM hebu mjifunze kusoma matukio hata kama mlikua hamjapevuka bado. Msiwe wajinga kupitiliza, siasa ni sayansi na sio uropokaji. Ile sherehe mliyofanya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya inaitajika sasa, na muundo wa muungano urekebishwe uendane na mazingira ya sasa na yajayo

    Nadhani katiba ya Mgeleza Malikia Eliza kwa miaka takribani sabini sasa inatosha, ipo haja ya kuwa na katiba ya watanzania na si ya Mgeleza wala wanasiasa. Pia swala la muungano litazamwe upya kwa maslai mapana, aidha ya Tanganyika na Zanzibar au Tanzania. Kuchelewa au Kusimamisha lolote kati...
  11. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Tusitumie madai ya Katiba Mpya kumrudishia uhai wa Chama sio Matakwa ya Watanzania kwa sasa

    Naomba kuwakumbusha Wana jukwaa MCHAKATO wa Katiba Mpya ni Ajenda ya CCM wakati wa awamu ya nne Chini ya Rais Mstafu Jakaya Mrisho Kikwete Chini ya utashi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kutufikisha katika hatua ya Katiba pendekezwa. Lakini kwa Sasa linaonekana Jambo jimpya kwa Chama Cha...
  12. JamiiForums Tanzania Suala la muungano katika rasimu ya katiba mpya

    Nimejitahidi kupitia kidogo rasimu ya katiba mpya ambayo kila mtanzania mwenye utimamu anatamani ipite..... Sasa naomba maelezo kidogo wakuu kuhusu suala la muungano je kutakuwa na serikali moja,mbili ama tatu... Jambo hili sijabahatika kuliona katika rasimu yetu au SIJAELEWA naomba mtaalam wa...
  13. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ya nini kama hii tuliyonayo hatuiheshimu?

    Mimi nimekuwa muumini wa katiba mpya tangu enzi na enzi. Kabla hata JF haijazaliwa. Niliamini hivyo kwa sababu unapobadili mfumo wa kisiasa, basi ni lazima pia ubadili sheria na taratibu zitazotumika kuuongoza huo mfumo mpya. Hivyo basi, ilipaswa tokea mwanzo, yaani 1992, tuliporudi tena...
  14. JamiiForums Tanzania Tungekuwa na Katiba kama ya Kenya tungefika mbali

    Katiba ya sasa ya Kenya ilipunguza kwa kiwango kikubwa sana vyeo vya kugawa kama Karanga. Katiba ya Kenya bado naamini ni moja ya katiba bora Africa na ni nchi chache Africa zina katiba ya aina ile. Ndo maana hadi Majaji au IGP wa police Kenya anatuma maoumbi, Mkaguzi mkuu wa hesabu anatuma...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Tathmini: Kesho bora ya Tanzania inategemea uwepo wa Katiba Mpya

    Mabibi na mabwana ni ukweli usiopingika kuwa kesho yetu iliyo bora zaidi inategemea sana uwepo wa katiba mpya. Kwa hali tuliyofikia kunahitajika zaidi mustakabala mpya wa utangamano. Ni wazi kuwa hayupo mmoja ambaye kwa dhati yake asiyekwazika kabisa kwa lolote na katiba iliyopo labda tu, kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Vyeo ndiyo sababu ya UVCCM kutotaka Katiba mpya

    UVCCM wanajua kabisa kua katiba mpya hasa mchakato ulioanzishwa na tume ya Jaji Warioba na ile Pendekezwa hautambui kabisa nafasi za Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa sababu ni Makada wa Chama tawala na pia ni mifumo ya enzi za Nyerere ambako kulikosa na CHAMA NA SERIKALI, wakati huo ilikua ngumu...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania na katiba mpya

    Habarini wakuu, leo mda wa usiku wa manane sana baada ya kushtuka usingizini nikalala tena pamoja na kuota ndoto lakini Kuna ndoto nimeiota kwa msisitizo mkubwa Hadi nimeamka asubuhi nikiwa na furaha na nakumbuka. Nimeota viongozi wengi wa chama tawala (CCM) wakiwa wamekasirika baada ya Mbowe...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Tuna wajibu wa kuwaelimisha Vijana wa CCM umuhimu wa kuandika Katiba Mpya

    Vijana wengi hasa wa CCM wanadhani Katiba ya JMT ni mali ya chama inaamuliwa na vikao vya chama which is very wrong. Hebu angalia matamshi ya viongozi kama hawa. Shaka Hamdu: "CCM haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu badala yake kipaumbele zaidi kimewekwa katika kujenga nchi kwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kwa kinachoendelea nchini Tuanze tu kampeni ya kuboresha Magereza vinginevyo tuwe na katiba mpya

    Hii nchi wote sisi ni wafungwa au mahabusu watarajiwa, tusipojiandaa kuishi vyema mahabusu tukadhani tupo salama tutaingizwa huko na patakua si sehemu salama kiafya na kimalazi kukaa. Nchi za wenzetu wameboresha Magereza maana wanajua upo uwezekano bila hatia ukahama nyumbani kwako na kwenda...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna njia nyingi za kuweza kupata Katiba Mpya

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…