katiba

  1. JamiiForums Tanzania Mpaka bobby walikuwepo kuzuia katiba mpya jana mjini Mwanza

  2. J

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya italetwa na CCM siyo Chadema

    Eid El Adha! Niwakumbushe ndugu zangu watanzania bara na visiwani kwamba Chadema au chama chochote cha upinzani hakiwezi kuleta katiba mpya. Katiba mpya italetwa na CCM katika muda muafaka. Nawasalimu kwa jina la JMT!
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: CHADEMA haijahodhi mchakato wa Katiba bali inaongoza mapambano, anayetaka ajiunge nayo

    Makamu Mkiti wa CHADEMA akiongea leo kwenye Forum ya Maria Space inayoongozwa na Mwanaharakati Maria Sarungi iliyoshirikisha watu zaidi ya elfu 6 duniani kote, amesema, “Kama makundi mengine ya vyama vya kiraia, vyama vya siasa, NGOs, viongozi wa dini wanasita au wanaogopa dola kujitokeza...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu mwenye akili timamu duniani ambaye atapinga au kuzuia Katiba ya nchi kuboreshwa, kwa sababu huwezi ukaboresha Katiba ikawa mbaya zaidi

    Labda watu hawaelewi maana ya Katiba au umuhimu wa Katiba ya nchi, au Katiba ya nchi ni kwa ajili ya nini na nani. Lakini hakuna mtu duniani, kama ana akili timamu, atazuia wazo la kuboreshwa kwa Katiba ya nchi. Mtu anaefanya hivyo ni mwendawazimu, au hajui kazi ya Katiba ni nini, au utaratibu...
  5. JamiiForums Tanzania Jukwaa la Katiba lalaani kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA huko Mwanza

    Huu hapa ndio ujumbe wao
  6. T

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Katiba Mpya, jibuni hoja za Anthony Diallo

    YA MUHIMU zaidi ya mauza uza ya Rais aliyeenda Mirembe, kwenye mazungumzo yake Anthony Diallo alisema: Katika nchi zetu za Kiafrika Li Katiba linaweza likawekwa pembeni na watu wakaemdelea na ya kwao tu... mtamfanya nini? Kwani 2005 Zanzibar hakukuwa na Tume Huru? Hakukuwa na CUF kwenye tume...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira, ugumu wa maisha na Katiba Mpya ndio vitakavyoiondoa CCM madarakani

    CCM wafanye yote wanayofanya ikiwemo kutumia propaganda na dola kubaki madarakani, ila waeleze tatizo la ajira na ugumu wa maisha pamoja na Katiba hii mbovu tulionayo, ndio vitu vitavyokuja kuwaondoa madarakani. Hata hivyo, ili yatimie, lazima kwanza litokee jambo ambalo litatumika kama...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Wananchi wapo kidigital, katiba iko kianalogia

    Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile.. Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania.. 1. Rais wa Tanzania 2. Makamu wa Rais 3. Waziri Mkuu...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM isitumie nguvu kubwa kuwabana wapinzani wanaodai katiba mpya, tukipata katiba mpya wanufaika wakubwa ni wafuasi wa CCM wenye hali duni

    Suala la taifa letu kuwa na katiba mpya tusiliangalie kwa upande mmoja tu wa shilingi. Katiba tuliyonayo ina mapungufu makubwa sana ambayo hayamnufaishi mwananchi wa kawaida mwenye maisha duni. Wananchi wanahitaji katiba itakayowapa nguvu ya kuonekana kuwa wana maamuzi kwenye nchi yao...
  10. JamiiForums Tanzania Figisu dhidi ya CHADEMA zashika kasi, RC Mwanza apiga marufuku mikusanyiko

    Hali ya kusikitisha, kuogofya na kuumiza, RC wa Mwanza amekataza kwa mtazamo wake mikusanyiko yote isipokua Misiba na Ibada tu ili "kupunguza kasi ya maambukizi ya Covid-19"! Ukumbuke Chadema wamepanga kufanya kongamano la Mjadala wa Katiba Mwanza. Kwa akili za RC mikusanyiko ya Mazishi na...
  11. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atoa kauli ya chama juu ya kodi/tozo ya miamala ya simu na kuvurugwa kwa Kongamano la Katiba

    Tazama na sikiliza VIDEO No. 1: Msimamamo wa CHADEMA juu ya tozo za miamala ya simu: VIDEO No. 2: Kauli ya Mwenyekiti kuhusu polisi mkoa wa Mwanza kupitia kwa RPC wao Ngh'anzi kuvuruga kongamano la katiba juzi j' mosi tarehe 17/7/2021 na kuwaweka kizuizini viongozi, wafuasi na wapenzi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kongamano la Katiba Mpya lililovurugwa na Polisi Mwanza, Kufanyika Jumatano 21/7/2021

    Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na CHADEMA . Kwa wote watakaohudhuria ni muhimu sana kufuata mwongozo wa WHO wa kujikinga na ugonjwa hatari wa Corona ===== Maandalizi yote yamekamilika , Viti vimepangwa kwa kufuata maelekezo ya WHO Kurushwa LIVE !
  13. JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni muhimu leo, sio kesho

    Kwa unyenyekevu mkubwa Rais Samia ashauriwe ili nae apange kalenda ya mchakato wa kumalizia uwandishi wa katiba mpya. Sio rahisi kwa mwaka huu kuandika katiba mpya kwakuwa bajeti ya mwaka huu haina kifungu cha uwandishi wa katiba mpya. Lakini sio vibaya Mama yetu akasema kazi ya kukamikisha...
  14. JamiiForums Tanzania Mbowe: Kazi ya kudai katiba mpya sio lelemama, makamanda mjiaandae kunyea ndoo lupango

    "Napenda kuwatangazia Wanachadema kuwa kazi ya kuidai Katiba Mpya siyo kazi ya lelemama. Wakitaka kuwaweka ndani Wanachadema kwa hoja hii ya Katiba wapanue kwanza Magereza, tupo tayari wote tuwekwe ndani na wala hatutaomba dhamana." Mhe. Freeman Mbowe.
  15. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atangaza kufanya Makongamano ya Katiba mpya nchi nzima, la Mwanza kufanyika wiki hii

    Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe, Mtemi Isike ama Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Mwanza, ametangaza kuendelea kufanyika Makongamano ya ndani na ya amani ya Katiba mpya nchi nzima, huku lile la Mwanza lililohujumiwa likipangwa kukamilishwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanza: Polisi wazuia Kongamano la Katiba Mpya

    Polisi wa Nyakato Mwanza, wamezua kongamano la Katiba mpya kwa Sababu walioandaa Kongamano kawajatoa taarifa Polisi. Hivyo likifanyika bila kibali cha Polisi litakuwa ni batili.
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Nashauri mchakato wa Katiba Mpya uanze Januari 2026, lakini Tume ya Katiba Mpya iundwe Januari 2022

    Nashauri mchakato wa katiba mpya uanze January 2026 (umalizike October 2028), lakini tume ya katiba mpya iundwe January 2022. Tume huru ya uchaguzi ipatikane October 2023 (miaka miwili kabla ya uchaguzi mkuu wa October 2025). Vyama vya siasa viruhusiwe kufanya mikutano ya hadhara ya kisiasa...
  18. JamiiForums Tanzania Kamanda Mbowe aelekea Mwanza kuimarisha nguvu haki ya kudai katiba ipatikane

  19. JamiiForums Tanzania Ili kuwa na taifa linalofuata misingi ya katiba na sheria, waliokuasanyika bila kibali Mwanza wafikishwe mahakama kesho

    Ukweli ndio huu, kama wamevunja sheria wakidai katiba basi katiba iliyopo ifuatwe. Kesho Jumatatu wawe arraigned in court in Mwanza. Sio kuwakaalisha mahabusu wakila chakula cha bure. My take: Sheria ifuate mkondo wake ili tudai vizuri katiba mpya.
  20. JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya tumeshakwama tujikite kujenga ofisi ya Makao Makuu

    Kwa hali inavyoenda katiba mpya hatuwezi kuipata kirahisi labda tukomae kama wakenya walivyokomaa. Tujikite kujenga ofisi ya makao makuu. Tunazo rasilimali nyingi na michango ya kidigital imemiminika. Aibu sana kuwa kwenye ofisi kama hii tuliyonayo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…