katiba

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tunakubaliana Profesa Kabudi aliua Diplomasia yetu, lakini hatukubali kwamba hafai kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

    Kwa Hali ilivyo ni wazi CCM wameanza kukubaliana na watu wenye akili timamu kwamba tuliua Diplomasia ya Kimataifa. Ni Jambo la Wazi kwamba hata wale waliowakamata wapinzani waliokosoa sera ya mambo ya nje wanajiona wajinga kwamba wameshiriki kutufikisha hapa tulipo. Watu wale wale walioelekeza...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa mwanasiasa mmoja wa upinzani (Lissu kama sikosei), CCM walihofia katiba mpya kukataliwa na waazanzibari kwenye kura ya maoni

    Katika mojawapo ya majadilioni ya siku za nyuma kupitia MaraSpace, mwanaaiasa mmoja wa upinzani (Lissu kwa kumbukumbu zangu), alisema sababu kuu iliyopelekea kura ya maoni kutofanyika kupitisha katiba mpya ilikuwa ni hofu ya watawala kuwa katiba pendekezwa ingekataliwa na Wazanzibar hivyo...
  3. JamiiForums Tanzania Kurekebisha au kuandika upya Katiba?

    Binafsi naonelea ni vizuri zaidi kurekebisha Katiba yetu kuliko kuiandika upya. Sababu zangu: 1- Katiba ni waraka wa kihistoria hivyo ni vyema baadhi yake kuachwa kama ilivyo itukumbushe tulikotoka. 2- Si Katiba yote ni mbaya, wala si nusu yake. Why re-invent the wheel? 3- Gharama za kuandika...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba: Rais Samia amekubali Katiba Mpya, tatizo ni Corona

    Mh. Warioba amesema hayo akihojiwa na Mobali wa BBC. Hivyo amesema hajui kura ya maoni itafanyika lini kutokana na janga la Corona.
  5. JamiiForums Tanzania Wanachadema Katiba Mpya sio kigezo cha kufanya mkubalike kwa wananchi. Sera na itikadi nzuri ndio mtaji wa kisiasa

    Hata kama taifa letu lipate katiba mpya, lakini kama chama cha siasa kinakuwa na sera na itikadi mbaya hakuna mwananchi atakiunga mkono. Nashangaa sana wanaCHADEMA kushupaza shingo wakidhania kuwa tukipata katiba mpya basi wataungwa mkono na wananchi. Wanadhania katiba mpya ndio tikti ya...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Tutarajie Katiba Mpya miaka michache ijayo na mpasuko mkubwa wa kiitikadi ndani ya CCM

    Huu sio utabiri ila ndio suluhu ya mwisho ya yanayoendelea huko jikoni. Inasemekana Hayati Magufuli alikuwa tayari amekubali kuuanza upya mchakato wa kuunda katiba ya Wananchi na hili alipata ushauri wa Kina kutoka kwa Mshauri na Mlezi wake Hayati Benjamini, moja ya mependekezo makubwa ya...
  7. JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Katiba mpya ni suala tutalojadili bila ukomo, hakuna wa kutuzuia kujadili

    Tumejadili sana suala la katiba mpya na nadhani tutaendelea kujadili zaidi. Lazima tuendelee kujadili kwa uwazi na ukubwa. Hata tukija kuandika katiba mpya na wananchi wakaipitisha, bado tutaendelea kuijadili. Hakuna mtu wa kuzuia hilo- Jenerali Ulimwengu https://t.co/ePitXJSG8g
  8. JamiiForums Tanzania Kuelekea 2030 Katiba iwe ni mjadala wa kitaifa

    KUELEKEA MWAKA 2030 KATIBA UWE NI MJADALA WA KITAIFA. Ni mara chache sisi WanaCCM kujitokeza kuandika haya hadharani hasa Kwa kuwa misingi ya Chama chetu ni kusemana ndani. Lakini nineona hili leo niliseme hadharani ili kumuunga Mhe Rais kuendelea kulijenga Taifa. Ninatambua Makada wengi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Januari 2022 ni mwendo mdundo -Tume huru ,mkiguna Tunaguruma na katiba Mpya

    Viongozi mliopo serikalini mkae mkijua,kuwa linaloanza kutoa mvuke karibu litashika kasi,kinachohitajika ni tume huru ya Uchaguzi ,na hili halina mswalie Mtume,Hii kero imeshapevuka na sasa kama ni jipu linakaribia kupasuka. Na Mliopo madarakani msiingizwe mkenge na CCM,nikimaanisha CCM kama...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia amtembelea Mzee Warioba. Je, Katiba Mpya kupata kiki?

    Salaam Wakuu, Leo rais Samia amemtembea Waziri Mstaafu Jaji Warioba na Mawaziri Wastaafu wengine. Kwasababu Jaji Warioba anapigania Katiba Mpya, Je, rais kasikia kilio cha Watanzania? Jaji Warioba ataua ndege Wawili kwa Jiwe moja? Mawaziri Wakuu wasitaafu wamekuwa Msitari wa Mbele kupambania...
  11. JamiiForums Tanzania Anayewalipa wanaopiga kelele za Katiba Mpya atalipa hadi lini?

    Mitandaoni hususan Twitter, kuna kelele nyingi zinazoitwa 'madai ya Katiba Mpya' Ukitazama vizuri utagundua kwamba huo ni mradi wa watu. Yes, kuna mahali wanapata fedha kupiga hizi kelele zionekane ni madai ya walio wengi. Nenda katazame mtindo wao wa kupost. Kuna siku wanaamka na caption...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kauli za kuwaita mawaziri wapumbavu ama nonsense zitafutwa na Katiba Mpya

    Katiba yetu inampa Rais mamlaka makubwa sana nchi hii. Rais ni kama Mungu kwa mujibu wa katiba yetu. Mawaziri wanatwezwa lkn hawana cha kufanya. Wakijuzulu "mungu" anaweza kutafsiri hatua hii kama dharau na kuamua kuwashughulikia. Wanalazimika kuipokea kauli ya "mungu mtu" kwa mikono miwili...
  13. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika: John Rupia katika kamati ya mapendekezo ya katiba ya Tanganyika 1950

  14. B

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Kesi ya Mbowe na Kauli tata za Serikali - Katiba Mpya ni Hitaji la Dharura sana

    Kauli hii ni rasmi ya serikali: Ukichanganya na mfano wa kauli kama hizi (kwenye kesi ya Mbowe) zenye kutokea upande wa serikali: 1. Mahakama si mama yako, 2. Waraka wa mshitakiwa kama nyenzo yake kujitetea ni "takataka," 3. Mtake msitake mawakili wa serikali ni mawakili wa mahakama, 4...
  15. JamiiForums Tanzania Tuhalalishe tu Katiba ya Warioba tumalize ubishi!

    Ile katiba iliyotokana na tume ya Warioba, watu wengi wanakubaliana nayo na ilitumia gharama kubwa kwenye tume kukusanya maoni na kuiandika. hivi kwanini tusiadopt tu ile katiba iwe ndio katiba yetu mpya ili tumalize ubishi huu wakatiba mpya? maoni yangu tu lakini.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mahakama ikiingiliwa uhuru wake unapotea automatically. Tundu Lissu kusema Mbowe siyo gaidi haikuwa jukumu lake

    Mahakama ndio chombo kilichopewa jukumu la kutafsiri sheria kwa mujibu wa katiba. Hivi karibuni CHADEMA wamekuwa na tabia ya kuongelea maswala ya kesi za wanachama wao wakati kesi zikiwa zinaendelea mahakamani hili siyo jambo jema kwa kweli. Mfano Mh Mbowe alipofikishwa mahakamani kwa kesi ya...
  17. JamiiForums Tanzania CCM wameanzisha mgao wa maji na umeme ili kueneza propaganda ya kukataa Katiba Mpya

    Miezi michache iliyopita dai la katiba mpya lilipamba moto. CCM wakaja na hoja kwamba wananchi wanataka maji na umeme na sio katiba mpya. Baada ya kuona hoja ya hitaji la maji na umeme haieleweki hatimaye hangaya kaamuru mgao wa umeme na maji ili kuhalalisha madai yao. Watanzania tambueni huu...
  18. JamiiForums Tanzania Kama Katiba Mpya ni kikwazo, iliyopo ifanyiwe marekebisho ili kukidhi mahitaji ya sasa

    Katiba ndio chombo pekee ambacho kinawapa wananchi mamlaka ya kujitawala. Katiba ni mali ya wananchi na sio mali ya watawala wanaowekwa na wanachi kwa njia ya kura. Hakuna kificho kuwa tangu mwaka 1977 ilipotungwa katiba ya JMT taifa letu limepata mabadilijo makubwa. Na kadiri mabadadiliko...
  19. T

    JamiiForums Tanzania BAVICHA, UVCCM Wapinga katiba wako wapi?

    Miezi kadhaa kulikuwa taarifa mahususi kupitia Channel Ten na TBC ikiwa na matamko ya kwamba BAVICHA haihitaji katiba mpya. Walienea kila mkoa na kwenye vyuo, nani alikuwa anawafadhili badala yakutusaidia maji na umeme. Vyombo hivyo vya habari vilikuwa vinalipwa na taasisi ipi? Chongolo...
  20. JamiiForums Tanzania Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

    Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi. Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…