katiba

  1. JamiiForums Tanzania Mabepari wanalia kukatiwa Mirija. Poleni Machawa wote mnaopinga Katiba mpya

    Nimekumbushwa huu wimbo wa Mabepari walia kukatiwa Mirija. Wqlipotangaziwa azimio la Arusha. Mafisadi wa CCM na Chawa wao ndivyo watalia ikitungwa katiba mpya. Katiba mpya yaja, Poleni Machawa wote. Mafisadi na wasioitakia mema Nchi wamejitahidi kupinga katiba Mpya ila imeshidikana sasa ni...
  2. JamiiForums Tanzania Paul Makonda aenda Kuandamana Paris Ufaransa kisa Kiswahili huku Tanzania Maandamano ya KATIBA MPYA yakipigwa Marufuku

    Paul Makonda na Serikali yake Wamefungia Maandamano Tanzania, lakini ajabu ameenda kuandamana Nchi ya watu tena kapewa Ulinzi. Aliandama huku akitabasamu akifurahia kuandamana. Annatumia mmaandamano kueneza ujumbe kuhusu Kiswahili. Ila ukimwambia tuandamane kuhusu Katiba unaitwa mhani sababu...
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania wako juu ya Katiba, Katambi yuko sahihi kuzuia mikutano

    Wakati wa vurugu katiba na sheria vinasimama kufanyakazi kusudiwa. Kwenye vurugu na vita hakuna mwenye haki yake, vyote kwa 100% vinapotea ghafla halafu unabakia utawala binafsi, yarabi nafsi yangu. Kama DHAMIRA ya Waziri wa mambo ya ndani, Katambi ni kuzuia haki moja tu ili kulinda haki...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ina majeshi mangapi? Jeshi la Shehe Mwaipopo lipo kwa mujibu wa Katiba ipi?

    Ninavyoelewa hii nchi ina majeshi rasmi na Yana majukumu Kwan mujibu wa katiba JWTZ Jeshi la polisi Jeshi la magereza Jeshi la uhamiaji Na Maaskari game Kikosi Cha kutuliza fujo/ghasia ni FFU lipo ndani ya Jeshi la polisi Hichi kikosi Cha mwaipopo lipo Kwan mujibu wa Sheria ipi? Na...
  5. JamiiForums Tanzania Vipi kama katiba tunayoidai ikaja na tusio ya hitaji?

    Salam. Wakuu nimejaribu tu kuwaza, ukifuatilia siasa za afrika, kuna wimbi kubwa la viongozi kubadili katiba na kujiongezea muda wa kukaa madarakani. Vipi kama huo upepo ukafika kwetu? Nini tutafanya ikiwa katiba tunayo dai ikaja na hiko kipengele? Tutabaki na hii au tutapitisha hiyo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna uvunjifu wa Katiba ya TAHLSO. Viongozi si wanafunzi

    Viongozi walioteuliwa kuingoza TAHLSO wengi wao si wanafunzi wa vyuo washamalza masomo wapo mtaani jambo ambalo ni kinyume na katiba ya TAHLSO. Kuna matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji mwingi wa fedha za TAHLSO... TAKUKURU wanatakiwa kuliangalia hili kwa ukaribu sana
  7. JamiiForums Tanzania Kwa maneno haya tatizo sio katiba mpya !

    "Kuondolewa kwangu kama mnavyojua zilianza shida ndogo ndogo zile za Trilioni moja na nusu, halafu Spika Ndugai akaleta mazungumzo yale mpaka mwisho nikahisi tu mimi mwenyewe na unajua Tanzania hii ni Nchi ndogo sana, unapewa taarifa mapema kwahiyo kuna mtu akaniambia sasa hivi wameanza mchakato...
  8. JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Nilijua kuwa nitatenguliwa kinyume na Katiba

    Professor Mussa J Assad. CAG Mstaafu amesimulia kilichotokea na hatua alizochukua wakati anaondolewa katika nafasi ya CAG kinyume na katiba ilivyokuwa inaeleza.
  9. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Heche nani unamdai katiba mpya?. Wananchi au viongozi na serikali haramu msiyoitambua?

    Kuna vitu mpaka unajiuliza hivi hawa wapinzani uchwara wanavuta bangi ya Msumbiji, Malawi au hii hii ya Arusha. Katiba mpya sawa . Mnazunguka kudai katiba mpya. Kwenye madai kuna pande 3 . 1. Mdai 2.Mdaiwa 3.Msuluhishi, mpatanishi, mwamuzi. Nambari tatu si lazima. Huyu mdaiwa wa katiba mpya ni...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Samia amekaa kimya Zanzibar inapotishia kuvunja katiba na kufanya ubaguzi wa wazi?

    Hakuna ubishi. Masuala mawilli, kuhusu wabara kuondolewa au hata kutotibiwa visiwani na kutangaza siku ya mwaka wa kiislam kuwa mapumziko ni chembe chembe, chokochoko, na viashilia vya kuuvunja muungano. Wengi wameandika juu ya upuuzi huu na kulaumu. Ajabu, rais wa muungano yuko kimya! Je...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kagoda,Deep green, Escrow,Richmond,ubinafsishaji wa bandari,mikataba mibovu kwenye madini,utekaji na mauaji,CCM haiwezi kukubali katiba mpya kamwe

    CCM kukubali katiba mpya ambayo italeta tume huru ya uchaguzi ni kujisogeza kaburini hii ni kutokana na hali halisi ilivyo na mwamko wa wananchi hasa vijana Katiba mpya itaifanya CCM isikae madarakani zaidi ya miaka kumi na tano toka mwaka itakapoanza kutumika. CCM ikipoteza hatamu hapo kila...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini katiba za Afrika hatakama ni mpya ni ngumu kuwanyonga au kuwafunga mafisadi

    Nchi nyingi za Afrika zimekuja na katiba mpya ila imekua ni ngumu sana kwa hizo katiba kutamka waziwazi kuwashughulikia mafisadi ama kwa kuwafunga au kuwanyonga Ni ngumu sana kwa nchi ya Afrika kusikia high profile politician ambaye ni fisadi kufungwa au kunyongwa kwanini inakua hivi Sababu...
  13. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ingekuwa Jibu, Kenya wasingelia tena na ufisadi, tatizo ni watu

    Kama ukiweza kuipata na kuisoma KATIBA YA KENYA utagundua kuwa ni moja ya KATIBA makini zinazojitosheleza kwenye kila nyanja za KITAIFA katika zama hizi. Tatizo la Afrika Mashariki, hususan Kenya, mara nyingi limekuwa likihusishwa na ufisadi. Wazo la Katiba Mpya lilionekana kama suluhisho la...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Lissu alivyochambua kasoro za Muungano katika Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014

    Kumbukizi: Kauli za Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alizozitoa katika Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014 kuhusu kasoro zilizopo kwenye Muungano. Wakati huo alikuwa Mkuu wa Sheria wa chama hicho na Mbunge wa Singida Mashariki.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Katiba, Dkt. Juma Homera: Mchakato wa Katiba Mpya utaanza baada ya Maridhiano, muda ukifika Rais ataeleza

    Serikali kupitia Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Homera amesema mchakato wa kushughulikia suala la Katiba Mpya utatekelezwa na Serikali baada ya kukamilika kwa kazi za Tume inayoshughulikia masuala ya jinai pamoja na mchakato wa maridhiano unaoendelea nchini. Akizungumza June 17, 2026...
  16. JamiiForums Tanzania Katiba haina hadhi

    Sasa imezidi katika utawala wa JMT, Katiba haina hadhi. Tanzania ni nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar. Tamko la rais wa Zanzibar Kwamba 17th June ni Holiday ni kosa la kisheria na pia “stubbornness” kwa utawala wa rais Hassan wa JMT. Sheikh mkuu wa Tanzania aliomba pia “Bara” wapumnzike”. Najua...
  17. JamiiForums Tanzania Ina maana aliwadanganya Watanzania kuwa ndani ya siku 100 suala la katiba mpya litaanza kushughuliliwa? Alikuwa na wenge baada ya matukio ya Oktoba 29

    Ahadi ni deni. Tena ahadi inayohusu masuala ya msingi ya kitaifa. Taifa linahitaji katiba mpya. Alitambumbua kabisa moja ya sababu zilizosababisha vurugu ni wananchi kutaka katiba mpya. Sasa hiyo ahadi imeyeyuka mithiri ya barafu. Siku 100 zimekuwa siku 4000.
  18. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kumfukuza Said Issa Mohamed ulikuwa sahihi kwa mujibu wa katiba yao CHADEMA

    JMT! Hivi karibuni kumetokea Sintofahamu baada ya mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo machachari sheikh Said issa mohamedi kufukuzwa uanachama na chama chake kwa madai mbali mbali.. hatahivyo baada ya kufukuzwa ameibuka na kudai kuwa ana uhalali wa kuendelea kuwa mwanachama kwa kuwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Katiba kitaa yazinduliwa rasmi

    29 May 2026 Jaji Mstaafu Profesa Ruhangisa - Kwa Nini Katiba Mpya kwa Viongozi ... https://m.youtube.com/watch?v=yeWcy3FJ6S0 Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu Prof. John Ruhangisa wakati wa mahojiano maalum ya kipindi cha Katiba Kitaa jijini Arusha. John Eudes Ruhangisa ni msomi mashuhuri wa...
  20. JamiiForums Tanzania Muungano uruhusu wawakilishi toka Tanganyika katika Bunge la Zanzibar

    Ni Muda sasa wabunge toka baraza la wawakilishi huwa pia na fursa ya kuingia Bunge la Muungano. Sio vibaya kama wabunge toka bara baadhi yao nao wakiwa wanahudhuria vikao vya baraza la wawakilishi. Uwekwe utaratibu maalum ambao utawafanya wabunge hao kushiriki vikao bila kuathiri maamuzi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…