katiba

  1. T

    JamiiForums Tanzania Katiba tuliyonayo haijawahi kutungwa na wananchi maana yake ni kwamba watawala waliamua watutawaleje!?

    Ndugu zangu inahitaji moyo mkuu sana ili kuwa muumini wa katiba tuliyonayo nayo sasa, kwani mbali ya kuwa Ina mapungufu mengi haikuumdwa na raia bali iliundwa na viongozi Yaani watawala wanakubaliana kwa niaba ya watawaliwa Hii ni sawa na kuwe na kampuni mbili Moja inaninua nyingine inauza...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa Mujibu wa Chadema,Nchi vinara wa Demokrasia na Katiba Mpya USA & Ulaya Huwa Hawafichi Ukweli wa Taarifa za Serikali

    My Take Chadomo muwe mnadanganya wajinga mnaowaokota huko mtaani na wasiojitambua 😂😂😂
  3. JamiiForums Tanzania Neno Zazwa ni Sawa na Zuzu?. Kukiukwa kwa Katiba ya JMT Huku Tumenyamaza, Je Sisi Watanzania ni Mazwazwa na Mazuzu?.

    Wanabodi Hili ni bandiko la swali kuhusu neno "zazwa" na neno " zuzu". Naomba kuanza na usaidizi wa AI neno zazwa mazwazwa na neno zuzu, mazuzu Maneno haya yote mawili yanatumika kuelezea mtu mjinga, asiye na uzoefu, au mtu anayedanganyika kwa urahisi. Hata hivyo, yana utofauti mdogo katika...
  4. JamiiForums Tanzania Wapi kwenye katiba imeainisha mapinduzi mazuri na yale mabaya? CCM ina uhalali gani wa kutamba na mapinduzi yake?

    Kama tunakubaliana kuwa kupanga au kutekeleza mapinduzi ya kisiasa ni uhaini na ni kosa kubwa katika nchi, hatuwezi kusema mapinduzi fulani ya kisiasa ni halali na mengine ni haramu. Vilevile, hatuwezi kusema kundi fulani la watu lina haki ya kufanya mapinduzi na wengine hawana haki hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Mheshimiwa Waziri hajakiuka Kifungu cha 19 cha Katiba ya FIFA?

    1\. Kwa uelewa wangu mdogo, na niko tayari kurekebishwa, Waziri wa Michezo haruhusiwi kisheria kuingilia masuala ya kibiashara au kiutawala ya Shirikisho la Soka la Taifa (FA), ikiwemo zabuni za kibiashara za jezi za timu ya taifa. 2\. Chini ya Kifungu cha 19 cha Katiba ya FIFA, mashirikisho...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nn chadema wasibadili katiba ili mwaka wa uchaguzi wa chama usiwe mwaka uleule wa uchaguzi wa nchi?

    Uchaguzi ndani ya chama ni kazi ngumu sana na inayohusisha kutofautiana na hata kuumizana wakati mwingine bila kukusudia Ninadhani ni busara chama kitafute mwaka usiokuwa karibu na uchaguzi mkuu wa nchi
  7. JamiiForums Tanzania JKT hawafundishwi Katiba wala madhara ya Rushwa. Tunajenga taifa gani?

    JKT hawafundishwi Katiba wala madhara ya Rushwa. Tunajenga taifa gani? UVCCM wamejazwa kwenye jeshi. Jeshi la Wananchi limegeuka jeshi la CCM. Jeshi linalinda ugali wa Watala wakati wao wanaishi kifukara
  8. JamiiForums Tanzania Dorothy Manka J. Semu: Tuungane kupigania Katiba mpya na kukabiliana na mkwamo wa kisiasa nchini

    TUUNGANE KUPIGANIA ΚΑΤΙΒΑ MPYA NA KUKABILIANA NA MKWAMO WA KISIASA NCHINI Chama cha ACT Wazalendo kinatoa wito kwa Watanzania wote kuungana na kudai kwa nguvu zote kuanzishwa mara moja kwa mchakato wa Katiba Mpya ya wananchi. Tunaamini kuwa mkwamo wa kisiasa unaoendelea nchini hauwezi...
  9. JamiiForums Tanzania HISTORIA YA KATIBA YA TANZANIA

  10. S

    JamiiForums Tanzania Sasa tumeelewa Nchimbi alisema Watanzania tupiganie Katiba baada ya kujua CCM wanatumia Octoba 29 kama kizuizi cha katiba mpya, wakamfukuza!

    Maneno ya Wasira yameonyesha mambo matatu makubwa sana ambayo bila shaka si Watanzania walielewa mpango huu muovu wa CCM; CCM hawako tayari Tanzania iwe na Katiba Mpya CCM waliamua kutumia kisingizio cha Octoba 29 kama kizuizi cha kuwa na katiba mpya CCM waliamua kumfukuza Nchimbi kwa sababu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wasira: Kuandaa katiba ya Tanzania sio kazi ngumu, tuna references za sasa na zamani za kutumia

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini, uliondaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), amesema: "Kwa sababu dialogue katika ujenzi wa nchi haiwezi kuwa jambo... it's...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Othman Masoud: Hatarishi kubwa ya Muungano ni katiba yetu ya sasa hivi

    Akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa uluiondaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othuman Masoud, amesema Katiba ya sasa ndiyo inahatarisha Muungano wa Tanganyika Zanzibar. Nukuu ya Maandishi...
  13. O

    JamiiForums Tanzania TRUE ''Tunaweza badilisha Katiba uende Seven terms,'' Governor of samburu Lati Lelelit

    The quote in the image accurately captures a statement made by Samburu Governor Jonathan Lati Lelelit.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Katiba hii inaua ubunifu umahili na ushindani inaibua machawa na wanafiki haitufai hata kidogo.!

    Katiba hii inatoa nafasi kubwa sana za nafasi za utendaji muhimu sana kwa maisha ya wananchi na maendeleo ya nchi kwa kuteua teua tu. Ukweli ni kwamba hii inawafanya watu wazembe wawekeza sana kwenye kujipendekeza kusifia na kupiga majungu kwa sababu wana uhakika mteuaji ana nafasi kubwa ya...
  15. JamiiForums Tanzania Pendekezo la Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania | Mchango wa Kitaaluma na Kiraia kuelekea mstakabari wa pamoja kama Taifa

    Ndugu Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Napenda Kuwasilisha Kwenu Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Inayopendekezwa, Ikiwa ni Rasimu ya Katiba Yenye Sura (14) na Ibara (321). Rasimu hiyo ya katiba imeanzisha muundo mpya wa utawala, Mgawanyo wa madaraka, Usimamizi wa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kibano cha "Soft-Ball" cha Odemba kwa Kihongosi na Somo la Katiba Mpya kwa Wana-CCM

    KIBANO CHA "SOFT-BALL" NA UPWAYAJI WA HABARI: Uchambuzi wa Mahojiano ya Kihongosi na Odemba, na Somo la Katiba Mpya kwa Wana-CCM Habari za jioni Wana-JamiiForums (JF), Matumaini yangu mko salama na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa taifa letu. Leo nimeona nilete mada hii mezani kwenu kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Vurugu za Oct29 hazitokani na madai ya Katiba mpya. Tusichanyanye mambo hapa

    Kuna watu wanataka kupandia juu kwa kutumia ngazi ya vurugu za Oct29 kupata Katiba mpya. Chanzo halisi cha vurugu za Oct29 ni kifo cha Rais Magufuli na ujio wa Rais SAMIA madarakani. Nyingine hizi zoote ni mbwembwe za kutumia fursa za vurugu na vifo vilivyotokea. Kama JMP angekuwahai...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Je, Katiba inasemaje ikiwa Rais atakuwa Eda?

    Kwanza nampa pole sana mheshimwa Rais wetu pamoja na familia na watanzania kwa msiba mzito uliotukumba leo. Swali langu kwa mujib wa dini ya kiislam mke hukaa eda pindi anapofiwa na mumewe. Je katiba yetu itaruhusu Rais wetu akae eda ama itambidi afanyie majukumu yake nyumbani kipindi chote cha...
  19. JamiiForums Tanzania Afande Sele: Viongozi wanachochea wananchi kuzidi kudai katiba mpya

    https://www.instagram.com/reel/Dc8IZBMs-gw/?stkn=bmR4OHhueTUyZWFy
  20. JamiiForums Tanzania Hujuma kubwa dhidi ya reli mpya ya SGR inayofanywa na wanaccm na ndilo chimbuko la kukataa katiba mpya.

    Utawala wa hayati Magufuli uliona tatizo la gharama za matengenezo ya barabara zinazoelekea bandarini, hivyo rais Magufuli akaamua kujenga bandari kavu mkoa wa pwani eneo la Kwala, na ili itumike ikaamuliwa iunganishwe na reli ya sgr. Uwepo wa reli hiyo ungeiingizia mapato serikali ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…