Kamwe hawako tayari kuwapatieni katiba mpyaMachawa shangilieni sasa lakini hamjui kesho yenu! Ni bora sana mngepigania uhuru maana uhuru utawakikishia kesho yenu. Mwangalieni mwenzenu Nchimbi na Polepole wapo wapi leo. Je wewe wanakuthamini kuliko wao?? Jiulize