Katiba ya CHADEMA inawatambua Wanaharakati

Katiba ya CHADEMA inawatambua Wanaharakati

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,197
Reaction score
64,641
Kuna watu wanaodai CHADEMA imetekwa na Wanaharakati. Ni kwamba katiba ya CHADEMA inaeleza wazi mtu anatakiwa awe mwanaharakati wa kweli wa kudai haki.

Ibara ya 10.3(iii) – Maadili ya Wanachama, katika Kanuni za CHADEMA za mwaka 2019.

Kinasema:

“Kuwa shupavu na mwanaharakati wa kweli katika kutetea maslahi ya Chama na jamii kwa ujumla kwa kuzingatia Madhumuni, Itikadi na Falsafa ya Chama.”


Lakini Samia yeye huko Shule alifundishwa mengine. Wanasheria Mnusaidie, Je, hii tafsiri ya Samia ni sahihi au ni ule msemo wa ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya?
 
Uanaharakati aina ya akina marehemu mtikila, wakili madeleka, wakili mwambukusi ndio uanaharakati sahihi kwa Chadema....sio Wale wanawake wanaotukana watu.No no no.

"Wanaume wenye mapumbu mawili ni Lissu na Heche tu ndani ya Chadema "
Very provocative statement.....
Brenda Rupia anafanya kazi gani hapo.
 
Back
Top Bottom