katiba

  1. JamiiForums Tanzania Katiba ya tume ya warioba

    Habarini za leo wadau, Kwa kawaida bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,linafanya kazi ya kutuwakilisha wananchi kwa sababu hatuwezi watu wote kwa ujumla wetu kwenda kutunga sheria za nchi au majukumu mengine yanayo fanywa na bunge.Tunahusika kwa njia ya kuchagua wawakilishi wetu ambao ni...
  2. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Rais Kufungia Makanisa ni Tusi kwa Katiba, Unajisi kwa Demokrasia na Vita Dhidi ya Mungu Mwenyewe

    Ni jambo la kutisha na la kuumiza kuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kutumia mamlaka ya ofisi ya juu kabisa ya utawala, akiamua kufungia nyumba za ibada kana kwamba ni maeneo ya kihalifu. Huu ni ushahidi wa wazi wa kuporomoka kwa heshima ya mamlaka ya dola, na zaidi ni dalili ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe anaweza Kugombea tena Uenyekiti Chadema Kwenye uchaguzi wa Mapema wa 2028 Katiba inamruhusu!

    Ni kama alivyofanya Trump Freeman Mbowe anaweza Kugombea tena Uenyekiti wa Chadema kama ataona Chama kinayumba kwa huu uongozi wa Sasa. Katiba inamruhusu Mkutano mkuu wa Chadema umeazimia Uchaguzi mkuu ujao ufanyike mwaka 2028 Ili kukwepesha Uchaguzi kufanyika miaka ya Uchaguzi wa Serikali za...
  4. JamiiForums Tanzania Tiini mamlaka zinazotokana na Katiba kwanza mengine yatakuja

    Katiba hii ya 1977 alituachia Baba wa taifa Mwl Nyerere. Kama ni nzuri au mbaya yafaa tujadiliane sote maana nchi ni yetu sote sio ya kikundi kidogo cha watu wanaotaka kutuwakilisha sisi sote. Mwl Nyerere alitamani siasa za China na Soviet kwa wakati ule, je tumevuna nini?. Mchakato wa Katiba...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Bunge linatoa Tuzo kwa Rais kupitia jina la CCM? Hili ni jambo la hatari kwa Katiba yetu

    “Simba hana haja ya kujitangaza. Ukisikia mwituni kimya kingi, ujue ama amecheua au yuko katika mawindo.” Methali hii ya Kiswahili imenikumbusha taarifa ya tarehe 1 Juni 2025 iliyotolewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), ikitoa pongezi kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupokea Tuzo Maalum...
  6. JamiiForums Tanzania Hii kusema Chama kitaanza kutekeleza Mchakato Wa Katiba Mpya wakiingia Madarakani 2025-2030 ni uongo, kila muhula wanakuja na Uongo huu.. shituka wewe

    Swala la katiba Mpya lilianza kupigiwa kelele na kupamba moto toka enzi za Kikwete akaingia magufuli naye akasema yupo kwenye mchakato wa kukamilisha, Mzee Magufuli alahudumu miaka yake 5 akaaga Dunia, jambo hilo halikukamilika, badae akaingia Samia kwa Tiketi ya Magufuli akapalilia pale pale...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Covid 19 Salome Makamba aibukia mkutano wa CCM

    Mbunge wa Viti Maalum, Salome Makamba ameonekana leo katika Mkutano Mkuu wa CCM jijini Dodoma akiwa amevalia sare za chama hicho. Makamba ni miongoni mwa wabunge 19 waliofungua kesi mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama wa CHADEMA.
  8. JamiiForums Tanzania Bunge lisilo na maono na linalokiuka katiba ya nchi

    Ndugu zangu Watanzania, huu si wakati wa kimya. Tumevumilia kwa muda mrefu. Sasa ni wakati wa unfiltered truth. Tuko katika kipindi ambapo Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepoteza kabisa legitimacy yake ya kikatiba. Limegeuka kuwa a ceremonial rubber-stamp institution, linalotumika...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bila fedha , No reform, no katiba mpya , No kikomo ufisadi, Bora CHADEMA watoe ahadi ya kukabidhi Madini yote kwa marekani , Ili msaada upatikane.

    Kwasababu sasa nchi ishakuwa na inequality, watu wachache wanakandamiza wengi, katiba mbovu, ufisadi wa kuwanufaisha watu wachache wa CCM, Kutumia dola kuumiza raia, utawala wa kiimla, kujiweka madarakani, hii Tanzania sasa imekuwa ni nchi ya kikundi cha watu wachache. Na kwasababu wameshikilia...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dudubaya: Katiba imeruhusu kuwa na wabunge wajinga

    Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba. Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nyerere angelirekebisha Katiba hii, mateso yote haya yasingelikuwepo

    Alisema kabisa kwa kinywa chake kuwa katiba hii akitokea dictator ataumiza sana watu. Ndicho kinachotokea leo! https://youtu.be/br-LSD8AjSw
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Japo Katiba ni 'Kakitabu Tu', Kwenye Nchi, Katiba Ndio Kila Kitu, Bila Mabadiliko Madogo ya Katiba Uchaguzi Mkuu Utakuwa ni Null & Void Ab Initio?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu gezeti la Mwananchi. Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, leo nikijikita kwenye umuhimu wa mabadiliko madogo ya katiba, minimum reforms, kuna Watanzania wengi wamelisikia hili neno minimum reforms, baada ya Chadema kulivalia njuga na kutoa kauli...
  13. JamiiForums Tanzania Moses Kajwang': Kila nchi ina katiba yake, tusipeleke tabia zetu Tanzania

    Moses Kajwang': Kila nchi ina katiba yake, tusipeleke tabia zetu Tanzania.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kama serikali inafuata sheria na katiba kwanini Polisi na usalama wanateka watu

    Kuna ambao hapa wanasema kila siku tunataka nchi ya amani na kufuata sheria sasa je watekaji wanafuata sheria Kama serikali inafuata sheria na katiba kwanini Polisi na usalama wanateka watu? hiyo ya juzi https://youtu.be/kIxFCHt9t1A?si=bxFkzJxgjLraKtI7
  15. A

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Jaji Mkuu wa India juu ya Katiba na Mihimili 3 ya nchi. IPO kwa KiingerezaConstitution is supreme, not us': CJI Gavai urges harmony between

    Constitution is supreme, not us': CJI Gavai urges harmony between judiciary, executive, and Parliament | India News - The Times of India In his first public address since assuming office, Chief Justice of India B R Gavai on Sunday asserted that it is not the judiciary, executive, or Parliament...
  16. JamiiForums Tanzania Historia ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 1994

    JE WAJUA?. Pichani ni Aliyekuwa Makamwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tatu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Omar Ali Juma (Wa kwanza Kulia) akiteta Jambo na Rais wa Zamani wa Afrika ya Kusini, Ndugu Nelson Rohlanla Mandela "Madiba" pamoja na Mkewe, Mama wINNIE mANDELA. Picha hii ilipigwa...
  17. JamiiForums Tanzania Katiba iweke ulazima wa mtu kuoa/kuolewa, iwe ni uhaini kuishi bila mwenza

    Hili liingizwe kwenye katiba ya nchi kabisa, ni marufuku mtu kuishi mwenyewe kama upanga maana hatuna uhakika unamaliza vipi hizo haja zako zingine. Itasaidia kupunguza ubakaji, masingo maza, watoto wa mitaani na mambo ya ushoga. Itasaidia kupunguza matukio ya watu kufa kwa kukosa msaada maana...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya katiba na mifumo ya nchi hayaepukiki: Madereva 70 toka Tanzania wenye vyeti toka NIT wafeli mtihani wa driving Doha, Qatar

    Wakati raia wengi wakitaka mabadiliko kuanzia kwenye katiba na mifumo mingine inayoongoza nchi ili kuendana na mabadiliko ya science na technologia, Watanzania 70 wamejikuta wakishindwa usahili wa kuendesha magari ya kisasa aina ya VOLVO nchini Qatar na kubaki wakishangaa. Hayo yamesemwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania limtangaze Catarina Viera kama adui wa Katiba ya nchi

    Kifungu 107 B cha Katiba kinazuia mahakama ya Tanzania kuingiliwa na chombo chochote na hivyo kuwa huru kimaamuzi. Leo hii Lissu akiachiwa wapo watakaojiuliza jee mahakama haijaingiliwa na Azimio la bunge la Ulaya katika kufanya maamuzi?? Wajuzi wa Sheria Pascal Mayalla njooni mjadili
  20. JamiiForums Tanzania Alipambana Kuilinda Katiba Mtu Awe Madarakani Kama Isemavyo, Lakini Aliyepiganiwa Anasema ni Kitabu tu. Nani Tumlaumu?

    Nimekuta mjadala mkali sana na mwisho ni kutuhumiana. Kwa maelezo yake, kulikuwa na mizengwe lakini alitumia power yake KATIBA iheshimiwe na aliyetajwa na katiba aingie madarakani. Tukampongeza. Lakini baada ya muda aliyepiganiwa akaanza dharau ya hiyo katiba na kuiita kuwa ni KITABU tuu kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…