Kama kuna jambo kwa sasa ambalo kama Taifa tunakubaliana, ni kuwa UCHAWA ndilo tatizo linalokua kwa kasi zaidi katika siasa zetu na sekta ya utumishi wa umma.
Athari za uchawa ni bayana; kwakuzitaja chache ni uteuzi wa watu wenye sifa duni, upandishwaji vyeo watu wasio stahili, kushuka kwa...