katiba mpya

  1. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Bajeti ya Katiba Mpya haipo kwenye bajeti Kuu

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema serikali itoe majibu kwanini bajeti ya Katiba mpya haipo kwenye Bajeti Kuu ya Serikali iliyowasilishwa bungeni. Aidha, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeunda kamati maalum ya Katiba mpya, itakayohakikisha katiba mpya inapatikana kabla...
  2. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaunda Kamati Maalum ya Upatikanaji wa Katiba Mpya

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeunda kamati maalum ya Katiba mpya, itakayohakikisha katiba mpya inapatikana kabla ya 2027. Akizungumza na waandishi habari leo tarehe 17 Juni 2026, John Mnyika Katibu Mkuu wa chama hicho amesema kuwa kamati kuu imeunda Kamati hiyo yenye wajumbe...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza operesheni Katiba Mpya, Free Lissu Kanda za Kusini, Nyasa, Magharibi

    Akizungumza na waandishi wa habari lo Juni 15, 2026, Mkurugenzi wa Uenezo na Uhusiano wa CHADEMA, Brenda Rupia amesema operesheni Katiba Mpya Free Lissu phase 2 itakayoanza Kanda ya Kusini Juni 18 na kukamilika Juni 29, 2026 Kanda ya Magharibi. Soma Pia; CHADEMA kuanza na oparesheni Katiba...
  4. JamiiForums Tanzania Ina maana aliwadanganya Watanzania kuwa ndani ya siku 100 suala la katiba mpya litaanza kushughuliliwa? Alikuwa na wenge baada ya matukio ya Oktoba 29

    Ahadi ni deni. Tena ahadi inayohusu masuala ya msingi ya kitaifa. Taifa linahitaji katiba mpya. Alitambumbua kabisa moja ya sababu zilizosababisha vurugu ni wananchi kutaka katiba mpya. Sasa hiyo ahadi imeyeyuka mithiri ya barafu. Siku 100 zimekuwa siku 4000.
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ally Hapi: CHADEMA kila siku Katiba Mpya, Katiba Mpya inatuletea Ugali mezani? Wananchi wanataka hoja, siyo malalamiko

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa, Ally Salum Hapi akiwa Shinyanga Juni 4, 2026 amesema; "Chama chenye sera nzuri, ni chama cha Mapinduzi. Wamepewa fursa ya kusema, waitumie fursa hiyo kusema. Lakini sasa saa nyingine mnashangaa, kila wakizungumza hawasemi shida za wakulima...
  6. JamiiForums Tanzania Heche: Tutakwenda Kila Wilaya, Wasipotusikiliza Tutaitisha Maandamano nchi nzima hadi mtoto atatoka na tutakiwasha vibaya sana

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema amesema watafanya mikutano kila Wilaya nchi nzima na kama serikali isipowasikiliza wataitisha maandamano nchi nzima na watakiwasha sana siku hiyo. Tulisema no reforms na tulisimama hapo na sasa hivi tunawaambia tunataka katiba mpya, tunataka katiba mpya. Tunazunguka...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Mkumbo: Mchakato wa Katiba Mpya utaendelezwa ulipoishia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo katika Mkutano wa Tume ya Taifa ya Mipango na Waandishi wa Hanari kuhusu Maelezo ya Utekelezaji wa DIRA2050, Ikulu Dar es Salaam 31 Mei, 2025 amesema; "Ndio maana umeona kwenye dira, kwenye mpango mrefu, na hata kwenye...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya si mali ya Chama chochote cha Siasa bali ni mali ya Wananchi

    Ambagile anasema kuwa anaona itakuwa ngumu sana kupata katiba mpya kwa sababu anaona vyama vya siasa vimeanza kugombea agenda kuwa hiyo agenda ya Katiba ni ya chama fulani, anasema Katiba mpya ni ya Watanzania na Si ya CCM, CHADEMA, Waislam, Wakristo, Simba au Yanga. Anasema ni kama tunaanza...
  9. JamiiForums Tanzania Kahama: CHADEMA yaunguruma, Moto wa Katiba mpya wasambaa kila mahali, Maelfu ya Wananchi Wafurika, viwanja vyazidiwa

    Bila kujali Mauaji ya Octoba 29, Wakazi wa Kahama wamefurika kuwasikiliza viongozi wa Chadema kwenye kampeni kabambe ya Katiba mpya na Free Lissu Kama kawaida Mimi mtumishi wenu nitakuwepo kuwaletea uhondo Usiondoke JF https://www.youtube.com/watch?v=B1Ygb_BQNMc
  10. U

    JamiiForums Tanzania Dangote aipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji

    #HABARI Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji nchini. Katika taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Tanzania baada ya Mfanyabiashara huyo kufanya mazungumzo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Katoro Geita imeitika Wimbo wa Katiba mpya

    Hawajasombwa na wametangaziwa siku moja, wamefurika.
  12. JamiiForums Tanzania Tujiandae kwa Maridhiano ya Amani kitaifa, Kuelekea Mchakato wa Katiba Mpya

    My friends, ladies and gentlemen, Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa amani na utulivu wa nchi yetu kisiasa, kijamii na kiuchumi tangu tumalize uchaguzi mkuu wa kihistoria Oct.29.2025, unaendelea kuimarika na kushamiri vyema sana, na hiyo inatoa nafasi na fursa kwetu sisi sote kama familia ya...
  13. JamiiForums Tanzania Ni hoja ya isiyofaa kupendekeza rais Samia aongezewe muda kukaa madarakani kwa sababu ya katiba mpya.

    Kwanza mpaka sasa hivi kama alivyosema Mzee Warioba alipigiwa kura na Tume ya uchaguzi ya Jaji Mwambegete sio wanannchi. Mchakato wa katiba mpya upo tayari maana rasimu ya warioba tayayri ilishaweka kile ambacho watanzania wanakihitaji. Yaani katiba ambayo itakidhi mahitaji ya Watanzania. Ambao...
  14. JamiiForums Tanzania Katiba mpya imuongezee Dr. Samia Suluhu walau miaka minne 4 ya ziada ili asimamie utekelezaji wake kabla ya Rais mpya kuingia madarakani

    Hii itaongeza utulivu zaidi wa kitaifa na kuepusha usumbufu wa kikatiba kwa Rais mpya atakaeshika hatamu baada ya Dr.Samia kumaliza kipindi cha mpito kusimamia utekelezaji wa matumizi ya katiba mpya hiyo. Napendekeza Dr.Samia Suluhu Hassan ang'atuke 2034, baada ya kutupatia katiba mpya na...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Kuna dalili za kutaka kumwongezea muhula wa tatu katika Katiba Mpya ya mwaka 2028 ili kukwepa uwajibikaji baadaye

    Wameanza kutest mitambo. ============== Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamependekeza kufanyika kwa marekebisho ya Katiba ya Zanzibar ili kumpa nafasi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, kuendelea kuiongoza Zanzibar zaidi ya ukomo wa mihula...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia hana washauri? Habari ya kupata Katiba Mpya inahitaji elimu ya miaka mitatu inatoka wapi? Tume ya Jaji Kisanga na rasimu ya Jaji Warioba?

    Nimeshangaa kusikia anasema eti ili mabadiliko ya katiba mpya wananchi wanatakiwa kupata elimu kwa miaka mitatu . Wajue nini kinafaa ndani ya katiba hii ya sasa na nini hakifai. Iliundwa tume ya Jaji Kisanga mwaka 1998 ikakisanya maoni ya Wananchi kupitia White paper. Serikali ya CCM chini ya...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu: Hatutaki Ajenda ya Katiba Mpya na Utekaji iwe ya kudumu. Tunataka ziishe

    Katibu Mkuu wa CHAUMMA Salum Mwalimu akizungumza Mei 7, 2026 amesema kuwa Msimamo wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) hakitaki masuala ya Katiba Mpya na Utekaji yaendelee kuwa ajenda za kudumu za kisiasa nchini Tanzania. "Pengine huo ndio mtihani ambao tumekuwa tukiupitia vyama vya...
  18. JamiiForums Tanzania Katiba mpya haina maana kwenye watu wenye fikra za zamani za Giza/potofu

    Hamjambo Wote! 1. Fikiria watu wasioweza kuishi sehemu safi, wanatupa takataka hovyohovyo, Akitokea Bwana/Bibi afya mkali anachukiwa n kuwekewa zengwe aondolewe. 2. Nenda pale Kariakoo au Karume au soko lolote Tanzania. Bei ya kitu ni 50k na faida ipo ndani ya hiyo elfu 50 lakini utaambiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Uchawa ni mfumo, bila Katiba mpya hauwezi kuisha

    Kama kuna jambo kwa sasa ambalo kama Taifa tunakubaliana, ni kuwa UCHAWA ndilo tatizo linalokua kwa kasi zaidi katika siasa zetu na sekta ya utumishi wa umma. Athari za uchawa ni bayana; kwakuzitaja chache ni uteuzi wa watu wenye sifa duni, upandishwaji vyeo watu wasio stahili, kushuka kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea nchini unategemea kuna Katiba mpya?

    Kuna bajeti imepitishwa hadi sasa ya kuunda Katiba mpya? Bunge la chama kimoja liunde katiba? Wabunge vilaza wamekalia uchawa tu kusifiasifia tu matumbo yajae Mambo ya tume ya ccm kuchunguza ni kupoteza muda tu wananchi wanahitaji katiba mpya wataepata lini? Katiba hakuna waweke wazi watu wajue
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…