katiba mpya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimepigiwa sana kelele kuhusu Katiba, ila kwa sasa tusahau kwanza

    WanaJukwaa, Rais Samia wakati akiwaapisha Mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza. Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu? Haki huinua taifa. Pia ni zaidi ya mara mbili mama huwa...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu hakikisha unawapa Watanzania Katiba mpya. Itakupa heshima kubwa sana

    Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan(SSH), awali ya yote na kwa moyo wa dhati kabisa nikupongeze kwa kuapishwa kuwa Rais wa 6 wa JMT. Watz wanajua huu ni mpanho wa Mungu. Wewe ndiye ulikuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba,(BMK) mkiwa na marehemu Samwel Sitta. Mchakato ulifanyika, tukapata...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ikiwezekana, Bunge lianze na mswada wa dharura kujadili Katiba Mpya; hii Katiba ya sasa kitendo cha Makamu kutambuliwa kuwa mrithi ni hatari

    Suala la katiba lipewe kipaumbele sana. Katiba ni uhai. Yapo mengi ya hatari sana kwenye katiba hii. Lakini hili la Mrithi wa rais anayefariki dunia, kuwa ni makamu wa rais (automated) ni hatari sana kwa marais endapo tukipata Makamu asiyemwaminifu. Pia linachangia sana kumuweka mbali...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Tuhangaike kujenga mifumo imara na siyo kutumainia mtu mmoja

    Ndugu Nape alipohojiwa kuhusu vuguvugu la kumuongezea Rais Magufuli muda wa utawala wake amesema haya yafuatayo. 1. Kwanza anashangazwa na kwamba ndiyo kwanza miaka mitano ya muhula wa pili wa utawala wa Rais Magufuli umeanza halafu watu wanaanza kuzungumza ya baadae, wakati haya waliyoomba...
  5. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula sio mhuni, wahuni ni nyie mnaotetea maovu. Watanzania tunataka Katiba Mpya

    Watanzania wanahitaji katiba mpya maana wanajua fika mwarobaini wa matatizo yao. Katiba mpya ndio itayokata mzizi wa fitina wa kila shida inayowakabili Watanzania. Mfano tunataka Katiba ambayo itaruhusu kila mtanzania kuwa na mamlaka ya kusimamia haki za binadamu wenzake,mathalani mtu akiuliwa...
  6. JamiiForums Tanzania Msajili Mstaafu wa Vyama vya Siasa, John Tendwa: Katiba Mpya itaondoa migogoro ya Uchaguzi. Kwanini Rais hapingwi Mahakamani?

    Salaam Wakuu, Msajili Mstaafu wa Vyama va Siasa Jaji Mstaafu John Tendwa, amesema Katiba Mpya itaondoa Migogoro wakati Uchaguzi. ameyasema hayo leo 13 Feb 2021 Jijini dar Wakati wa kujadili Utatuzi wa Migogoro ya Uchaguzi Tanzania, katika Kongomano lililoandaliwa na Tanganyika law society (TLS)...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Siku Rais Magufuli alipoahidi kuendeleza na kukamilisha mchakato wa Katiba mpya

    Suala la katiba mpya lilikuwemo kwenye Ilani ya chama cha mapinduzi ya mwaka 2015 Raisi Magufuli wakati anazindua bunge mwaka 2016 aliahidi kukamilisha kiporo cha katiba mpya akichokirithi kutoka kwa mtangulizi wake Pia mara kadhaa baada ya hapo aliahidi kuendeleza mchakato wa katiba mpya...
  8. JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba aendelea kudai Katiba Mpya kwa Rais Magufuli

    TAARIFA KWA UMMA PROF. LIPUMBA AENDELEZA ALICHOAHIDI NOVEMBA 2, 2020: AMPA MAKAVU RAIS MAGUFULI KUHUSU KATIBA MPYA: Mwenyekiti wa CUF-Chama Cha Wananchi Prof. Ibrahim H. Lipumba ametoa wito kwa Rais John Pombe Magufuli kutekeleza ahadi yake ya Kukamilisha kazi ya Kupata Katiba Mpya inayotokana...
  9. JamiiForums Tanzania Tulifanikiwa kupata nafasi ya katiba mpya tusisahau kuweka mambo haya

    1. Tume huru inayowajibika kwa wapiga kura sio kwa serikali au mtu. 2. Kupima afya za akili za wagombea kabla hata ya kuchukua fomu, tena na daktari maalumu. 3. Kuweka ukomo kwa wagombea ubunge. 4. Kigezo cha uwajibikaji kipimwe na tume maalumu, iwe rais, mbunge au diwani. Kama ni rais ikiona...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Umoja wa kudai katiba mpya Tanzania (UKUKAMTA)

    Umoja huu umeanziwa na watanzania walioweka itikadi za vyama pembeni na kuweka Taifa mbele #ukukamta2021
  11. JamiiForums Tanzania Mauaji ya Januari 26/27 , 2001 na Madai ya Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya

    *MAUAJI YA JANUARI 26/27 NA MADAI YA KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI CUF- Chama Cha Wananchi kinaendelea na Maandalizi ya Maadhimisho ya Mashujaa wa Chama waliouawa kinyama Januari 26 na 27 mwaka 2001. Kama tunavyokumbuka Mauaji makubwa na ya Kinyama yalifanywa na Utawala wa CCM tarehe...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ni vipi au kwa njia gani - Inawezekana kupatikana KATIBA MPYA

    Tumechoka kusikia katiba iliyopo aifai hata vingunge wa CCM Polepole na Bashiru kwa nyakati tofauti walilitetea hili kama kuku aliebanwa na yai na anakaribia kutaga. Vyama pinzani navyo mida hii huwaga kimya mpaka kesho uchaguzi utavisikia vinakurupuka kama vinatoka kwenye usingizi mzito...
  13. JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Sisi CUF tutajikita kudai Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya

    SISI CUF TUTAJIKITA KUDAI TUME HURU YA UCHAGUZI NA KATIBA MPYA" PROF. LIPUMBA" Mwenyekiti wa CUF, Prof. Lipumba amesema hayo leo Desemba 9,2020 wakati alipokutana na viongozi mbali mbali wa mkoa wa Dar es Salaam katika Ofisi Kuu ya chama Buguruni. Prof. Lipumba alikutana na wenyekiti wa...
  14. JamiiForums Tanzania Bila Katiba mpya, Upigaji kura hauna maana yeyote

    Ni miaka 27 tokea mfumo wa vyama vingi urudishwe tena Tanzania. Ulikuwepo kablaya Uhuru na mara tuu baada ya Uhuru waTanganyika Dec.9.1961/Zanzibar Dec.10. 1963. Lakin CCM walirudisha neno vyama vingi tuu huku wakiendelea na katiba ile ile y chama kimoja iliyorekebishwa kwenye vipengele vichache...
  15. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula kuongoza matembezi ya hiyari kuhamasisha Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

    ASKOFU KUONGOZA MATEMBEZI YA HIARI YA RAIA KUHAMASISHA UUNDAJI WA TUME HURU YA UCHAGUZI NA UANDIKAJI WA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA! Wapendwa Watanzania! Tunapenda kuwajulisha kuwa Askofu Mwamakula, anakusudia kuongoza Matembezi ya Hiari ya Raia yasiyopungua umbali wa Kilometa 15 katika Mikoa...
  16. JamiiForums Tanzania Chama Cha Wananchi (CUF) kuzindua kongamano la kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi Desemba 20, 2020

    CUF CHAMA CHA WANANCHI Desemba 20,2020 kitazindua rasmi kongamano la kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kongamano hilo litafanyika katika ofisi kuu ya chama BUGURUNI . MWANACHI, MWANACHAMA WA CUF WOTE MNAKARIBISHWA.
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Ukombozi la kudai Katiba mpya Tanzania

    Uzinduzi wa Kongamano la kuanzisha mchakato wa kudai katiba mpya litafanyika tar 20/12/2020
  18. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, nilisikia ukiahidi kuimarisha demokrasia. Tunaomba utuachie Katiba Mpya

    Mheshimiwa Rais nilipokuwa kidato cha pili katika somo la fizikia nilifundishwa kwamba mwendo wa gari anayeuona vizuri vizuri ni yule aliyeko pembeni na sio yule aliyeko ndani ya gari linalotembea kwani huyu anaweza kuona miti ndiyo inatembea kumbe gari alilolikalia ndilo linatembea na miti...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta ametusaidia kuwaambia wanaotaka katiba mpya kuwa siyo jibu la matatizo yetu

    Kenya Considers New Constitution To Avoid Perennial Violence Kenya’s President Uhuru Kenyatta has called for a change of the constitution, outlining the benefits it will have for future generations. “We spend almost two years after every election on conflicts,” he said, “and that is what we...
  20. JamiiForums Tanzania Katiba mpya itampa kura Lissu

    Katiba yetu inahitaji kuandikwa upya kwakuwa Ina kasoro nyingi sana na viraka vingi. Uandishi wake umeshatafuna hela zetu nyingi Sana lakini hatukufika mwisho kwenye awamu ya 4 na haitaandikwa upya kwenye awamu ya 5 ingawa rasimu ipo. Na inavyoonekana hakuna Rais kutoka CCM atapenda iandikwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…