katiba mpya

  1. B

    JamiiForums Tanzania Upinzani haipo Katiba Mpya bila kutoleana uvivu

    Nani asiyejua umuhimu wa katiba mpya? Nani anaweza kuthubutu kujipa jukumu hilo peke yake na kuwasusa wengine kwa sababu zozote zilizokwisha pita? Misahafu inasema ni furaha kuu mbinguni kwa mwenye dhambi mmoja akitubu. Hivi hata ya waungwana hatuyasikii? Nini tofauti ya ya chawa uchwara...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa hizi behewa mpya za treni, tuendelee kudai Katiba Mpya

    Kampuni tanzu kampuni ya Eurowagon kutoka uturuki iliyopewa tenda hayat John Pombe Magufuli kutengeneza reli na mabewa iliondolewa na kuletwa kampuni kutoka China Korea kusini ambazo zimeleta izi bewa na na lijua Aya yatatokea bewa zilizo wasili pale bandarin hakuna mtanzania aliependa hata za...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania watakapoacha kumilikiwa na Vyama vya Siasa ndio tutapata Katiba Mpya. Mnyika aliwahi kupigania Baraza la Vijana!

    Huwezi kupata Katiba Mpya bila ya Kuwa na movement (Vuguvugu) sahihi na hiyo hufanywa na Vijana wenye fikra Huru Alichofanikiwa Nyerere na ambacho Wapinzani wamerithi pia ni kuzikamata fikra za Vijana tangu wakiwa Shuleni na Vyuoni Ndio sababu kama Taifa hatuwezi kusogea kwa sababu Vijana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Utabiri: CCM haitoleta Katiba Mpya wala Maendeleo ya kweli

    Wakuu, Muombe sana Mungu, nimeona uwanja ukiwa na giza nene sana na njia haipo kabisa. Yaani hawa jamaa kamwe hawatokubali katiba mpya labda wananchi waidai kwa njia nyingine lakini wao kama wao hawana wazo la katiba mpya. Na inaonekana suala la maendeleo ya dhati nalo itakua ndoto maana...
  5. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya Muhimu, Mawaziri na Makatibu wakuu ni wadhaifu

    Muundo wa serikali yetu, rais analazimika kuteua mawaziri kutoka ktk wabunge. Akikosa mtu anayefaa, rais amepewa nafasi za kuteua wabunge. Utaratibu huo unampa rais nafasi ya kuteua mbunge ili amtumie ktk nafasi ya uwaziri. Ubunge wa kuteua umekuwa ni kama sadaka na zawadi tu. Katika uteuzi wa...
  6. JamiiForums Tanzania RIPOTI: Mapendekezo 19 ya Kikosi Kazi cha Rais Samia kuhusu uendeshaji Siasa nchini

    1. Kuhusu Mikutano ya Hadhara na Mikutano ya Ndani ya Vyama Vya Siasa, Kikosi Kazi kinapendekeza Sheria ya Vyama vya Siasa ifanyiwe marekebisho ili: a) kulipatia Baraza la Vyama vya Siasa mamlaka ya kuishughulikia suala la uvunjifu wa maadili ya Vyama vya Siasa kupitia Kamati yake ya...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Maoni kuhusu Mbunge/Wabunge kivuli/Vivuli (Shadow Member of the Parliament)

    Maoni kuhusu Mbunge/Wabunge kivuli/Vivuli (Shadow Member of the Parliament) Inaletwa kwenu nami Kelvin Nyagawa (Mwanasheria) Kwani Prof. Rwekaza ni Professor wa sheria? Kwanini hakupewa chairman Prof. wa sheria? Tukimuuliza Prof. Rwekaza ili tuwe na tume huru kisheria nini inahitajika...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kikosi Kazi kiliundwa ili kuchelewesha mchakato wa Katiba Mpya

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameitaka Serikali kuweka wazi gharama ambazo kikosi kazi kimetumia huku akisema hakukuwa na haja ya kuundwa kwa kikosi hicho kwa sababu kazi ya kutafuta maoni ya wananchi ilifanywa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyoongozwa na Jaji Joseph Warioba. Mnyika...
  9. JamiiForums Tanzania Maoni ya Katiba Mpya: Kama madaraka yanatokana na wananchi, kwanini Rais Samia aseme kuwa mapendekezo ya Kikosi Kazi siyo amri kwa Serikali?

    Maoni ya kikosi kazi, kilichokuwa kikiongozwa na Profesa Mkandala, kimewasilisha rasmi maoni yake kwa Rais Samia, iliyoyakusanya kutoka kwenye makundi mbalimbali ya wananchi. Hata hivyo nimeshangazwa Sana na kauli iliyotolewa na Rais Samia baada ya kuyapokea maoni hayo, kuwa maoni hayo ya...
  10. JamiiForums Tanzania Walimu wamelipokea tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini, LAKINI wanataka Katiba mpya Ili apatikane kiongozi atakayetatua Matatizo yao sugu

    Wakuu Tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini KWA walimu wamelipokea,LAKINI changamoto ZAO ni nyingi Sana na serikali imeshindwa kuzitatua,wanadai Katiba mpya Ili achaguliwe kiongozi atakae tatua Matatizo yao,huyu aliepo ameshindwa kabisa! Wanajua urejeo wa Kairuki Tamisemi ni kuspin maslahi yao...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania ili tuendelee tujiunge na Marekani

    CountCapone Kabla ya mwaka 1961 hakukuwahi kuwa na nchi inayoitwa Tanzania kwenye ramani 1-1885 Ardhi ya Tanzania haikua na dola moja inayotawala bali jamii nyingi zilizogawanyika 1885-1919 Deutsch-Ostafrika (Afrika Mashariki ya Ujerumani 1919-1960 British East Africa Protectorate...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Bila Katiba Mpya hakuna mwekezaji atakuja kuwekeza Tanzania, Kenya waula

    Rais mpya wa Kenya amesema nchi yake inakimbiliwa na wawekezji kwasababu kuna demokrasia na hivyo mustakabali wake unatabirika. Uchaguzi uliyopita umeithubitishia dunia kwamba Kenya Ina misingi imara ya kidemokrasia na hivyo haitayumbishwa na yeyote. Hapa Tanzania kwa katiba ya sasa ambayo...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa Katiba Mpya upo njiani kutekelezwa

    Rais Samia Suluhu alisema atashughulikia suala la Katiba Mpya na kuna watu wengine wanahoji kwanini mchakato wa Katiba Mpya unachelewa. Sababu za kuchelewesha Katiba Mpya Rais Samia Suluhu anataka kila mwananchi ashiriki kikamilifu katika mchakato wa kuleta Katiba mpya kwasababu Katiba ni ya...
  14. JamiiForums Tanzania Balozi Lumbanga: Suala la Katiba mpya haliepukiki, Tunajaribu kucheza na akili za watu

    Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu, Balozi Marten Lumbanga amesema mabadiliko ya Katiba hayakwepeki, huku akiwataka viongozi wa Serikali na CCM kutopuuza madai hayo. Balozi Lumbanga aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi wakati wa Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi na baadaye Rais mstaafu Benjamin Mkapa kabla...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kama tunataka Katiba Mpya, Tusiionee "Haya" Haki ya awaye yote

    Haki za binadamu zikiwamo za kuishi, usalama, kulindwa, kujilinda, kusikilizwa n.k, si hisani. Anasema beberu: "Human rights aren't negotiable." Hizo haziombwi. Zaidi sana anasema beberu: "Human rights are enforceable." Tunataka Katiba Mpya. Ni haki yetu. Haki hupiganiwa. Hatuwezi kuwa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya haitakuja kwa Maneno Matupu

    Kupata katiba mpya ni shughuli pevu dhidi ya walamba asali, vibaraka na chawa wao. Vipi kuwatemesha matonge midomoni? Katiba mpya haitakuja kwa maneno Matupu mezani au mitandaoni. Katiba mpya itakuja kwa mapambano yaliyoratibiwa vyema chini ya mikakati thabiti. Kuganga yaliyopo na yajayo...
  17. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya Idhibiti Matumizi ua Pesa za Mikopo

    Habari ya karibuni kabisa ni Serikali kuchukua mkopo toka South Korea kiasi cha dola bilioni moja. Kuchukua mkopo kwa nchi siyo jambo baya na wala siyo jambo la ajabu. Tatizo lipo kwenye matumizi. Unachukua mkopo kufanyia nini? Sababu uliyochukulia mkopo ina impact gani ya haraka ya kulipa...
  18. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Rais akifanya kosa la jinai ofisini ashitakiwe, Trump ni mfano mzuri

    Leo Trump anachunguzwa na Serikali ya Marekani kwa wizi wa siri nzito za serikali. Siri hizo Trump anazifahamu kwa vile alihusika nazo, lakini kitendo cha kuziiba(kwa maana ya kuondoka na nyaraka za serikali kijinai) , Trump inawezekan akashitakiwa mahakamani. Nchi yetu Tanzania vivyo. Katika...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kianze kati ya Katiba Mpya au Kuitoa CCM Madarakani?

    Habari wana JF Nimewaza sana nikagundua CCM kuwepo madarakani ni tatizo kubwa kuliko hata hii katika tunayo hitaji. Hivi kwa hii CCM tunaweza pata Tume huru ya Uchaguzi? Sasa tunayo katiba lakini tumeshuhudia mara kadhaa ikivunjwa na Kwa mizizi kiliyo nayo hiki Chama mnadhani ni rahisi Katiba...
  20. JamiiForums Tanzania Niishukuru Kamati Kuu ya CCM kuridhia mchakato wa Katiba Mpya uendele. Tanzania mpya itazaliwa na changamoto za kimfumo zitabaki historia

    Nawashukuru sana Ile Tanzania nilioiota KWA muda mrefu inaenda kutimia,kuanza KWA mchakato wa katiba mpya ni Nuru KUBWA kwetu!changamoto za kimfumo zinaenda kufa na Tanzania Mpya inaenda zaliwa rasmi! Niwaombe wadau wawape ushirikiano wa kutosha kikosi kazi cha mkandala Ili mchakato ukamilike...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…