Wakuu,
Hakuna sababu yoyote kuzidi kumuweka Lissu Gerezani
Uchaguzi ushapita, maandamano yashapita na lile joto la kisiasa pia lishapita.
The only reason why, Lissu yuko Gerezani ni kuhakikisha kwamba huo mchakato unafanyika lakini yeye ASISHIRIKI. Maana akiwa uraiani Katiba wanayoitaka CCM...
Mada yangu ya awali nilisema Katiba ya wananchi ndiyo moyo wa nchi unaosukuma mienendo/mwongozo wa sheria mbalimbali kwenye nchi yeyote Ile Duniani.
Umuhimu wa Katiba mpya ya wananchi unashinikizwa na wakati uliopo na mwenendo wa serikali yetu katika utawala wake. Viashiri vya ukomavu wa...
Kwa heshima ujengwe mnara mkubwa wa makumbusho ya kumbukumbu ya kuwa kumbuka kila mwaka wahanga wetu wote. Walioteswa Waliopotezwa ama kuuwawa na CCM kabla na baada ya mauwaji ya uchaguzi wa October 29,2025 kwa kuyaandika majina yao wote kama Mashujaa wa Taifa.
Habari Tanzania !.
Eti watanzania mnaonaje mtakapo fanya mabadiliko ya Katiba Mpya; Diwani awe na sifa ya kuteuliwa kuwa Waziri ili achangie maendeleo yetu kwenye Taifa.
NB
Mkumbuke katika Mfumo uliopo nchini wa kisiasa; mwenye kujua changamoto za wananchi ni Diwani pia ndio mtu pekee mwenye...
Huyu Polycarp Pengo alikuwa mnafiki sana.. Na amekuwa kikwazo katika mapambano ya Katiba mpya. Tangu awageuke Maaskofu wenzi nilimdharau sana..
Ukiongea naye, alikuwa anaonekana hata kwwa kauli kutokuguswa na Watu kupotea wala kutekwa.
Tangu amewageuka Maaskofu wenzake wakina Gwajima, Pengo...
Ni vizuri Watanzania tupiganie kwa namna yeyote ile hadi tupate Katiba mpya kabla ya muhula wa rais Samia. Katika katiba hii lazima kipengee cha kiongozi kuweza kushtakiwa kiwemo. Tena kipengee hicho isisitizwe kianze kutumika tangu kufariki kwa Mwalimu Nyerere.
Heshima ya kusamehewa ipewe...
Mjadala wa katiba mpya umekuwa ukijirudia mara kwa mara, huku wengi wakiamini kuwa suluhisho la changamoto za kisiasa na kijamii ni kuandika katiba mpya.
Ni kweli kwamba katiba mpya inaweza kuwa fursa ya kurekebisha mapungufu yaliyopo, kuimarisha uwajibikaji, na kuweka misingi mipya ya utawala...
Wanabodi,
Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo,
Utangulizi:
Bandiko hili ni bandiko la manifestation ya Katiba mpya, japo hata mchakato wa Katiba mpya bado haujaanza, bandito linatoa pongezi kwa Katiba mpya ya Samia!, hii ni kufuatia kushindikana kwa mchakato wa Katiba mpya ya...
Mapendekezo katiba mpya: Lazima kuwe na Bunge la Senate kama Kenya na USA.
Idadi ya wabunge ipunguzwe na iendane na idadi ya watu. Kila mkoa uwe na maseta wawili tu. Senate vilevile itasaidia kwa wale watakao laumu wana wabunge wachache.
Imetolewa:
Dodoma, Tanzania
29 Januari 2026
Kumb. Na: Maoni/JMT/01
Ndugu Mheshimiwa,
YAH: MAONI YA WANANCHI KUHUSU PENDEKEZO LA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Napenda kuchukua fursa hii kuwasilisha barua hii kwa heshima na uzito unaostahili, ikiwa ni sauti ya mwananchi na mchango...
Nimeona mitandaoni juu ya kauli hii ya Mbowe kuwa CHADEMA ya sasa chini Lissu haijengi hoja kama ilivyokuwa akina Mtei na Bob Makani.
Hii sio kweli kabisa. Sasa Hivi Lissu na Heche ndio wanahoja za mashiko. Kwa katiba hii ya CCM ambayo hata mtu hajapigiwa kura anakuwa madarani utaingia ikulu...
Wanabodi
Hii ni makala yangu ya kufungulia mwaka kwenye gazeti la Leo la Mwananchi
https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/taamuli-huru-tathmini-yangu-kuhusu-hotuba-ya-rais-samia-kuaga-mwaka--5325972
Makala hii pia imetoka kwenye gazeti la Nipashe Asante Rais Samia Hotuba Mwaka Mpya, Kubwa...
Viongozi wa chama cha ACT Wazalendo wanaendelea na ziara zao katika Mikoa ya Kusini ambapo jana Januari 7, 2026 Kiongozi wa Chama, Dorothy Semu, aliwasili katika Jimbo la Mtwara Mjini na kufanya kikao na uongozi wa jimbo hilo pamoja na waliokuwa wagombea wa udiwani katika uchaguzi mkuu...
Je yakifanyika yale yale yaliofanya amani itoweke baada ya maridhiano, je maridhiano yatakuwa na maana? Maridhiano ni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi sio sinema
Wanabodi
Hii ni makala yangu ya kufungia mwaka kwenye gazeti la Mwananchi la Leo ikiwa ni makala ya 52 kwa mwaka huu.
Hii ni Makala yangu ya mwisho kwa mwaka huu wa 2025, ambapo Jumatano ya leo,ndio siku ya mwisho ya Mwaka huu wa 2025, usiku wa leo,ni mkesha wa mwaka mpya tunauaga mwaka huu wa...
Tumepita wakati wa kulazimisha mgombea mweza kutoka upande wa bara au visiwani.
Tuweke uhuru wa wagombea kuchagua mgombea mwenza bila ubaguzi wowote au kulazimishwa na sheria.
Hakuna sababu yeyote tena ya msingi baada ya miaka 60 hatuhitaji upendeleo wowote tena tunahitaji watu makini bila...
Mimi sifi Leo Sina kumbukizi umebakiza siku ngapi ufikishe 100 days at state house? JE, katiba mpya i-wapi mama?
Je umefanya nini ndani ya siku 100?
Jitokeze ubonge nasi wajuba
kwa mazingira ya kisiasa ya sasa suala la katiba mpya ni suala la kiusalama serikali ipambane kuifumua iliyopo ili kujenga mazingira mapya ya kisiasa na kuridhiana. chonde chonde mchakato wa Katiba mpya uanze immediately kwa kuuutungia sheria kwa vile Bunge lipo.