katiba mpya

  1. tucker carlson

    Mchakato wa Katiba utamkuta Lissu akiwa Gerezani. Watamtoa ikishapatikana "Katiba Mpya"

    Wakuu, Hakuna sababu yoyote kuzidi kumuweka Lissu Gerezani Uchaguzi ushapita, maandamano yashapita na lile joto la kisiasa pia lishapita. The only reason why, Lissu yuko Gerezani ni kuhakikisha kwamba huo mchakato unafanyika lakini yeye ASISHIRIKI. Maana akiwa uraiani Katiba wanayoitaka CCM...
  2. sammosses

    Kwanini Katiba Mpya ni muhimu sasa kuliko wakati wote!

    Mada yangu ya awali nilisema Katiba ya wananchi ndiyo moyo wa nchi unaosukuma mienendo/mwongozo wa sheria mbalimbali kwenye nchi yeyote Ile Duniani. Umuhimu wa Katiba mpya ya wananchi unashinikizwa na wakati uliopo na mwenendo wa serikali yetu katika utawala wake. Viashiri vya ukomavu wa...
  3. K

    Bila kupatikana kwa katiba mpya ya wananchi tume huru ya uchaguzi Nchi haitakuja kutawalika tena

    Kwa heshima ujengwe mnara mkubwa wa makumbusho ya kumbukumbu ya kuwa kumbuka kila mwaka wahanga wetu wote. Walioteswa Waliopotezwa ama kuuwawa na CCM kabla na baada ya mauwaji ya uchaguzi wa October 29,2025 kwa kuyaandika majina yao wote kama Mashujaa wa Taifa.
  4. Mindyou

    Wakili Dickson Matata: Katiba tuliyonayo imepitwa na wakati. Afrika Mashariki nchi ambazo hazina Katiba Mpya ni zile ambazo haziongozwi kidemokrasia

    Wakuu, Akizungumza jana kwenye kipindi cha Jambo Asubuhi cha Jambo TV Peter Madeleka alisema kuwa nchi zote ambazo zina udikteta hazina Katiba Mpya
  5. Masalu Jacob

    Katiba Mpya: Madiwani wawe nao wanateuliwa Uwaziri

    Habari Tanzania !. Eti watanzania mnaonaje mtakapo fanya mabadiliko ya Katiba Mpya; Diwani awe na sifa ya kuteuliwa kuwa Waziri ili achangie maendeleo yetu kwenye Taifa. NB Mkumbuke katika Mfumo uliopo nchini wa kisiasa; mwenye kujua changamoto za wananchi ni Diwani pia ndio mtu pekee mwenye...
  6. figganigga

    Kifo cha Polycarp Pengo hakijanigusa. Alitakiwa afe miaka ya 90 huko. Sababu alizuia Katiba mpya

    Huyu Polycarp Pengo alikuwa mnafiki sana.. Na amekuwa kikwazo katika mapambano ya Katiba mpya. Tangu awageuke Maaskofu wenzi nilimdharau sana.. Ukiongea naye, alikuwa anaonekana hata kwwa kauli kutokuguswa na Watu kupotea wala kutekwa. Tangu amewageuka Maaskofu wenzake wakina Gwajima, Pengo...
  7. T

    Katiba mpya itasaidia kuondoa kudharau sheria, impunity

    Ni vizuri Watanzania tupiganie kwa namna yeyote ile hadi tupate Katiba mpya kabla ya muhula wa rais Samia. Katika katiba hii lazima kipengee cha kiongozi kuweza kushtakiwa kiwemo. Tena kipengee hicho isisitizwe kianze kutumika tangu kufariki kwa Mwalimu Nyerere. Heshima ya kusamehewa ipewe...
  8. H

    Katiba mpya ni nzuri lakini je hata kama ikiandikwa katiba mpya itaheshimika na kufuatwa?

    Mjadala wa katiba mpya umekuwa ukijirudia mara kwa mara, huku wengi wakiamini kuwa suluhisho la changamoto za kisiasa na kijamii ni kuandika katiba mpya. Ni kweli kwamba katiba mpya inaweza kuwa fursa ya kurekebisha mapungufu yaliyopo, kuimarisha uwajibikaji, na kuweka misingi mipya ya utawala...
  9. Pascal Mayalla

    Wajua Tanzania Haijawahi Kuwa na Katiba ya Wananchi?. Katiba Hii Iliyopo ni ya CCM!, Pongezi Katiba ya Samia, Ndio Katiba ya Kwanza ya Wananchi!.

    Wanabodi, Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, Utangulizi: Bandiko hili ni bandiko la manifestation ya Katiba mpya, japo hata mchakato wa Katiba mpya bado haujaanza, bandito linatoa pongezi kwa Katiba mpya ya Samia!, hii ni kufuatia kushindikana kwa mchakato wa Katiba mpya ya...
  10. K

    Mapendekezo katiba mpya: Lazima kuwe na Bunge la Senate kama Kenya na USA

    Mapendekezo katiba mpya: Lazima kuwe na Bunge la Senate kama Kenya na USA. Idadi ya wabunge ipunguzwe na iendane na idadi ya watu. Kila mkoa uwe na maseta wawili tu. Senate vilevile itasaidia kwa wale watakao laumu wana wabunge wachache.
  11. mrxtz2026

    Waraka kwa serikali na umma kuhusu mapendekezo ya katiba mpya

    Imetolewa: Dodoma, Tanzania 29 Januari 2026 Kumb. Na: Maoni/JMT/01 Ndugu Mheshimiwa, YAH: MAONI YA WANANCHI KUHUSU PENDEKEZO LA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Napenda kuchukua fursa hii kuwasilisha barua hii kwa heshima na uzito unaostahili, ikiwa ni sauti ya mwananchi na mchango...
  12. Idugunde

    Kudai katiba mpya ili uchaguzi uwe huru na haki ili taifa likae sawa ni kukosa hoja ? Mbowe bado kibaraka wa CCM

    Nimeona mitandaoni juu ya kauli hii ya Mbowe kuwa CHADEMA ya sasa chini Lissu haijengi hoja kama ilivyokuwa akina Mtei na Bob Makani. Hii sio kweli kabisa. Sasa Hivi Lissu na Heche ndio wanahoja za mashiko. Kwa katiba hii ya CCM ambayo hata mtu hajapigiwa kura anakuwa madarani utaingia ikulu...
  13. Pascal Mayalla

    Waungwana Wakiahidi, Wanatekeleza!, Rais Samia Aliahidi Kuanza Mchakato wa Katiba Mpya, Ndani ya Siku 100 za Kwanza, Je Atatekeleza?

    Wanabodi Hii ni makala yangu ya kufungulia mwaka kwenye gazeti la Leo la Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/taamuli-huru-tathmini-yangu-kuhusu-hotuba-ya-rais-samia-kuaga-mwaka--5325972 Makala hii pia imetoka kwenye gazeti la Nipashe Asante Rais Samia Hotuba Mwaka Mpya, Kubwa...
  14. R

    PostGE2025 ACT- Wazalendo: Tusiingie kwenye uchaguzi tena bila Katiba mpya

    Viongozi wa chama cha ACT Wazalendo wanaendelea na ziara zao katika Mikoa ya Kusini ambapo jana Januari 7, 2026 Kiongozi wa Chama, Dorothy Semu, aliwasili katika Jimbo la Mtwara Mjini na kufanya kikao na uongozi wa jimbo hilo pamoja na waliokuwa wagombea wa udiwani katika uchaguzi mkuu...
  15. F

    Katiba mpya na tume huru ndio maridhiano ya kweli

    Je yakifanyika yale yale yaliofanya amani itoweke baada ya maridhiano, je maridhiano yatakuwa na maana? Maridhiano ni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi sio sinema
  16. Pascal Mayalla

    Kwaheri 2025, Ulikuwa Mwaka wa Majanga!. Yaliyopita si Ndwele, Tugange Yajayo!. Karibu 2026, Uwe Mwaka wa Kheri!. Ni Mwaka wa Katiba Mpya!, Inakuja..!

    Wanabodi Hii ni makala yangu ya kufungia mwaka kwenye gazeti la Mwananchi la Leo ikiwa ni makala ya 52 kwa mwaka huu. Hii ni Makala yangu ya mwisho kwa mwaka huu wa 2025, ambapo Jumatano ya leo,ndio siku ya mwisho ya Mwaka huu wa 2025, usiku wa leo,ni mkesha wa mwaka mpya tunauaga mwaka huu wa...
  17. K

    Katiba mpya isiweke masharti ya mgombea mwenza

    Tumepita wakati wa kulazimisha mgombea mweza kutoka upande wa bara au visiwani. Tuweke uhuru wa wagombea kuchagua mgombea mwenza bila ubaguzi wowote au kulazimishwa na sheria. Hakuna sababu yeyote tena ya msingi baada ya miaka 60 hatuhitaji upendeleo wowote tena tunahitaji watu makini bila...
  18. Sifi Leo

    Zimebakia siku ngapi kutimia 100 za Samia? Katiba mpya iko wapi?

    Mimi sifi Leo Sina kumbukizi umebakiza siku ngapi ufikishe 100 days at state house? JE, katiba mpya i-wapi mama? Je umefanya nini ndani ya siku 100? Jitokeze ubonge nasi wajuba
  19. L

    Suala la Katiba mpya lisicheleweshwe

    kwa mazingira ya kisiasa ya sasa suala la katiba mpya ni suala la kiusalama serikali ipambane kuifumua iliyopo ili kujenga mazingira mapya ya kisiasa na kuridhiana. chonde chonde mchakato wa Katiba mpya uanze immediately kwa kuuutungia sheria kwa vile Bunge lipo.
  20. DuaZaMama

    PostGE2025 (KUMBUKIZI) Jenista Mhagama: Katiba mpya na Tume ya Uchaguzi, Kutokutenda Haki sio maeneo ya kipaumbele kwa Watanzania

    Ukiona mtu anadharau, anashusha na kudogosha umuhimu wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, ni mwana mtandao! si sehemu ya kilio cha wananchi.
Back
Top Bottom