Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.
Niliowaona kwenye maandano siku ya mei Mosi, 85% ya wafanyakazi walioandamana mbele ya mgeni rasmi, Makamu wa Rais walikuwa na vitambi, viribatumbo. Yaani body mass index (BMI) zao ziko juu, kwa maana nyingine walikuwa na uzito mkubwa kuliko matarajio.
Maswali ni, je, wafanyakazi walioandamana...
Habari za wakati huu waungwana, ni matumaini yangu nyote ni watu wazima na wenye uzoefu na haya maisha.
Naomba kufahamu tofauti iliyopo katika mambo hayo mawili muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku.
Hakika Wafanyakazi wa Tanzania ni wa kuhurumiwa mno! Kama mwaka uliopita ambako hakukuwa na Maandamano ya kupinga Ugumu wa Maisha Nyongeza ya Mshahara ikafichwa siku ya Mei mosi, kwa maelezo kwamba watakutana nayo kwenye mshahara wa July, lengo likiwa Wafanyabiashara wasipandishe bei ya bidhaa...
Habari za wakati huu;
Ni matumaini yangu kwamba mko salama na mnaendelea na shughuli mbalimbali za Ujenzi wa Taifa.Wakati ninapofanya kazi na watu ya kusimamia mchakato waowa usajili wa Kampuni na majina ya biashara huwa ninakutana na maswali mbalimbali kuhusu tofauti iliyoko kati ya Jina la...
salamu wanandugu,
Kama kichwa cha uzi .
Niliona video katika mitandao ya kijamii ikizunguka sana (viral video) ,ikimuonyesha Harmonize na Mwakinyo wakitishiana kupigana . Ila ukweli kabisa pale hakuna ngumi labda ni kick , hawakuwa serious.
Tuangalie kwanza mazingira waliyokutana. kama...
Mimi ni kijana ninaetarajia kumaliza chuo mwezi wa 7 ( ualimu digrii)
Nataka kuendelea na masters baada kumaliza, na KOZI nazopendelea kuzisoma masters ni hizi zifuatazo;
1. Parasitology and Entomology
2. Molecular biology and Biotechnology
3. Cell biology and Genetic
4. Developmental biology...
leo nimeshuhudia sijui ni bifu au tuseme ni kituko gari ya tanesco yenye wafanyakazi ilipokutana na ya dawasa kwenye foleni Mwenge basi yakaanza matani dawasa wanaitwa chura nao wanawaita wa tanesco popo yakaanza matusi sasa 🤣🤣🤣
Kuna biashara kubwa sana (inayohusisha mabilioni ya fedha) baina ya nchi yetu na China, India, Uturuki, Afrika Kusini n.k.
Taifa letu bado ni tegemezi katika kuagiza vitu, vifaa, chakula, nguo na mengine toka katika nchi mbalimbali. Hili linafanya wafanyabiashara wanaoagiza kuhitaji na kutafuta...
Wakuu kwema?
Nahitaji kujua usahihi wa maneno haya kati ya Njozi na Njonzi. Nimekuwa nikisika wengi wakati wa usiku wakitakiana njonzi njema, wengine njozi njema.
Lipi ni neno sahihi?
Ahsanteni!
Maonyesho ya 135 ya Uagizaji na Uuzaji wa Bidhaa ya China, maarufu kama ‘Canton Fair,’ yameanza tarehe 15 mwezi April mjini Guangzhou, mkoa wa Guandong, hapa China. Katika maonyesho ya mwaka jana, idadi kubwa ya kampuni zilishiriki, na mwaka huu, idadi hiyo imeongezeka tena kwa kiasi kikubwa...
Sina maelezo mengi wote wenye akili timamu tumeona biasness, hypocrites, na double standard nyingi kwenye huu mgogoro. Media coverages ni full of biasses kila mmoja amechukua upande, je nani anastahili huruma. Alianza kushambuliwa israel kisha akajibu mapigo je who deserve sympathy.
Movies za Idris Elba
Bastille Day
Sean Briar
Finding Dory
Fluke
Voice role
100 Streets
Max
Star Trek Beyond
Krall / Balthazar Edison
2017
The Dark Tower
Roland Deschain
Molly's Game
Charlie Jaffey
The Mountain Between Us
Ben Bass
Thor: Ragnarok
Heimdall
2018...
Tanzania na Malawi ziko ukingoni mwa mvutano wa Kidiplomasia kufuatia uamuzi wa Tanzania kuboresha Bandari ya Mbamba Bay, iliyoko kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa.
Malawi imeilaumu Tanzania kwa kuanzisha mradi wa kuboresha na kupanua Bandari ya Mbamba Bay kwenye Ziwa Nyasa bila kuomba ridhaa, huku...
Kwa ujumla huu mfumo ni mzuri sana. Maana umeondoa ukiritimba wa maafisa utumishi kwa watumishi.
Tatitizo kubwa ni kuwa sasa hivi watumishi wa umma wanatakiwa kutumia mfumo wa Ess kwa kufanya kila jambo linalowahusu. Kuanzia uhamisho, likizo, na hata appraisal.
Lakini mpaka sasa huduma nyingi...
Kutokana na taarifa za ukubwa wa jeshi la Israel na umiliki wa silaha za kisasa,haikutarajiwa kwamba kungetokea nchi yoyote ile ikajiamini kuirushia makombora kulenga maeneo yake muhimu hasa ikizingatiwa kuwa iliwahi kuyashinda mataifa kadhaa ya kiarabu mwaka 1967 katika vita maarufu vya siku 7...