kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Kimila wa ki-Maasai atoa wito wa kuwepo uwiano endelevu kati ya binadamu, mifugo na wanyamapori Ngorongoro

    Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia ya UNESCO kilihitimishwa katika Kituo cha Maonesho cha BEXCO jijini Busan, Jamhuri ya Korea, Julai 29, 2026. Mkutano huo wa kihistoria wa siku 10 uliidhinisha jumla ya maamuzi 28 kuhusu maeneo mbalimbali ya urithi wa dunia, huku maeneo mapya 25...
  2. JamiiForums Tanzania Unafikiri nani ana afadhali kupewa nafasi ya kuongoza CCM Tiketi ya urais 2030 kati ya hawa? Piga kura

    Unafikiri nani anaafadhali kupewa nafasi ya kuongoza CCM Tiketi ya urais 2030 kati ya hawa? Piga kura. Watakaoshika nafasi Tatu za juu. Itahesabika wanaushawishi hasa katika mtandao wa JF. Kwa wale wa CHADEMA na vyama vingine nanyi mnaweza kuchagua kama nilivyosema mwenye afadhali kadiri ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kati ya yote alioongea Cherry juu ya dotto magari hili la waviu kuwa na vidoti kwenye vikanyagio miguuni kafungua code mpya.

    Aisee, zamani nilikuaga naangalia kiuononi kwanza kama kuna mkanda wa jeshi, ila kumbe miguuni napo kuna alama. Nimekumbuka miaka ya zamani kidogo nikiwa migodini huko chunya nilipata kabinti keupe kazuri sana, ila sasa ile tumezagamuana na mie style zangu za kukunja kunja nikafikia hatua...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Watuhumiwa 36 kati ya 130 Wafikishwa Mahakamani kwa Makosa ya Jinai

    Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza kuwa watuhumiwa 36 kati ya 130 waliokamatwa kwa tuhuma mbalimbali za uhalifu wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka. Katika taarifa iliyotolewa Julai 26, 2026, Jeshi la Polisi limesema watuhumiwa hao walikamatwa kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha...
  5. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya kumiliki pesa na kuabudu pesa = wahenga walisemaje

    Kwangu huu wimbo zilipendwa unazungumzia muabudu pesa https://youtu.be/l8O6jFXXV_Y?si=d3VXfZomiiMX7azj mmiliki pesa anadumisha utu kuuweka mbele, huyu ndo atasaidia hata ndugu na rafiki zake muabudu pesa ataua ndugu kupata pesa, atafukuza ndugu badala ya kusaidia
  6. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya vita vya Har-Magedoni na vita vya Gogu na Magogu

    Ndiyo. Haya ni maeneo matatu ya Biblia ambayo mara nyingi huchanganywa, lakini yanaelezea matukio tofauti au yanayotafsiriwa tofauti na wanatheolojia. 1. Har-Magedoni (Ufunuo 16:16) Neno "Har-Magedoni" linamaanisha "Mlima wa Megido." Linapatikana katika kitabu cha Ufunuo 16:16. Linaelezea...
  7. JamiiForums Tanzania MADA: Kati ya Amani na haki ipi ianze mwanzo

    Mimi maoni yangu  Amani ni mlango wa haki. Huwezi kudai haki kwa bunduki mkononi. Hebu kwanza tuweke amani, ndipo tuketi mezani tuzungumze haki. MADA: Amani vs Haki - Ipi ije Kwanza? Wadau, Tumekuwa tukisikia watu wakisema "tunataka amani" na wengine wakisema "tunataka haki". Swali langu...
  8. I

    JamiiForums Tanzania KERO Wajasiriamali wadogo wa manispaa ya Musoma tunatoa wito serikali kuingilia kati suala la ongezeko la ushuru wa siku

    Sisi wafanyabiashara wadogo wadogo wa Manispaa ya Musoma tunatoa wito kwa Serikali, TAMISEMI na viongozi wa Manispaa kuingilia kati suala la ongezeko la ushuru wa kila siku kutoka Shilingi 200 hadi Shilingi 500 kwa wafanyabiashara wadogo kama wauza mboga za majani, karanga, mandazi na biashara...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya ajira kati ya China na Tanzania yawaunganisha vijana na fursa za ajira

    Katika siku iliyojawa na hamasa, mamia ya vijana wa Kitanzania walimiminika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika mji wa kibiashara wa Tanzania. Walikusanyika kwa ajili ya Maonesho ya tano ya Ajira kati ya China na Tanzania, yaliyofanyika kwa siku moja nzima na kuwakutanisha watafuta ajira...
  10. JamiiForums Tanzania Ni lazima kuna muunganiko kati ya maofisa wa kampuni na matapeli!...

    Siku ya leo,jumatano nilikuwa na mawasiliano na moja ya jamaa yangu kuhusu jinsi gani atanitumia fedha ambayo nilikuwa namdai,wakati tunaongea na kumaliza maongezi baada ya kuambizana niwekee kwenye namba yangu********** ,wakati nasubiri muamala uingie,alinipigia simu kuna ujumbe umetumwa...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kati ya Samia na Tundu Lissu nani Kila mmoja anajionyesha kama mwokozi wa taifa letu

    Hilo swali hapo juu huwa linanisumbua. Nikiwaangalia wawili tajwa, na;pata taabu kidogo. Kila mmoja anajionyesha kama mwokozi wa taifa letu. Wawili hawa wametawala siasa za nchi yetu hadi kuanza kuvutia mataifa na mashirika ya nje. Lissu ni mfungwa. Samia ni rais. Lissu anajionyesha kama...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Computer science na software engineering ipi ni kozi nzuri

    Habari ndugu. Kama kichwa kinavojieleza hapo juu ipi ni kozi nzuri kati ya Computer science na software engineering
  13. JamiiForums Tanzania Nawalilia enyi mamlaka muingilie kati hizi shughuli za kutunzana uswahilini zimejaa mashoga wengi na wanakuwa paraded makusudi na wadada waliomo mule

    Yani unakuta kijana wa kiume kweli anawashinda wadada waalikwa kutingisha makebo😬
  14. JamiiForums Tanzania Hivi kuna undungu kati ya KMK Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka na Prof. Lughano Jeremy Kusiluka, VC UDOM.

    Habari wakuu, Naomba kuuliza kama kuna uhusiano wowote kati ya Dkt Kusiluka ambaye ni Katibu Mkuu Kiongozi na huyu Prof Kusiluka Vice Chancellor UDOM. Sio kwa ubaya nataka tu kufahamu.
  15. JamiiForums Tanzania UFISADI: Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA kanda ya Kati Amshauri Mnyika kuunda Tume kumchunguza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho

    John Wegese Heche akiwa bado ananuka Ufisadi wa pesa za Tone kwa Tone uliofanywa akiwa makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA Kanda ya Kati, Aquilin Claud ameshauri Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika aunde tume ya kumchunguza Makamu Mwenyekiti wa chama...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Nani kati ya Samia na mfumo mfu anayetawala Tanzania?

    Alipoapishwa kuwa rais kutokana na ajali ya kufiwa mtangulizi wake, rais Samia aliahidi mambo mengi mazuri. Alimuita Tundu Lissu na kuongea naye mambo mazuri. Alianza kujitenganisha na utawala wake na Magufuli. Alianza kutofautiana na mfumo. Muda haukupita, mara Samia wa matumaini akaanza kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kama ungewahi ungepona...... Kama ungewahi ningekusaidia..... ni Moja kati ya maneno yanayoumiza sana

    Kuchelewa ni adui mkubwa wa mafanikio na afya. Watu wengi wameponzwa na kusema "baadaye". Nitaenda baadaye hospitali, baadaye nitaomba msaada, baadaye nitaomba, baadaye nitarekebisha mahusiano yangu. Lakini "baadaye" nyingi huwa haziji. Unapokutana na shida ndipo unakumbuka watu na fursa...
  18. JamiiForums Tanzania Kati ya chama kilichowaua watu ,kufanya utekaji na anayedai haki nani ni Gaidi ?

    Kati ya chama kilichowaua watu ,kufanya utekaji na ulawiti wa watu na kuwapiga watu,kufanya ufisadi Nk na chama kingine kinachodai haki kipi ni chama gaidi? Nafikiri CCM mjirekebisheni kwa sababu Mungu anaweza kuzichoka tabia zenu na kuwaangusha.
  19. JamiiForums Tanzania Unajua kutofautisha kati ya neno furaha, neno utamu, na neno raha?

    Hivi unajua unaweza kuwa na furaha lakini usisikie utamu? Au ukasikia utamu lakini huna furaha? For me, furaha naiona kama ile hali ya moyo kuwa na utulivu na kujisikia vibe fulani hivi yaani ndiyo naiona ni furaha Then raha, naona kama ni ile hali ya kuhisi uko sawa, huna matatizo Exp...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tulisimamisha kila kitu kupisha mnyukano kati ya vijana wasio na silaha dhidi ya majeshi yenye AK47

    Baada ya oct29 nilitoka huku kijijini kwangu kwenda jijini Arusha kujionea halihalisi nakumbuka ilikuwa nov.4 hivi nilimkuta askari mmoja wa jeshi la wananchi nilosoma naye kule Dakawa akiwa amesima kwenye makutano ya kona ya mbauda akiwa ameshikilia silaha nzito huku akimsimamisha baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…