kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huyu mwenye nyumba sasa anatunyanyasa. Rais/Serikali iingilie kati jambo hili wanaichonganisha na wananchi

    Nyumba ya kupanga tupo hapa Buguruni Mnyamani ni shida sana. Ni manyanyaso kwa sisi ambao ni mambo safi. Maana naona vijana hapa tunashindana sana kuweka madish ya visimbusi mbalimbali. Na kutumia masabuwufa ya sauti kubwa. Tuliwasha jioni hatusikilizani na hatuna shobo na mtu. Mi nimenunua...
  2. JamiiForums Tanzania NI BORA HIYO mechi namba 184 kati ya Simba na Yanga. Ni BORA IFUTWE KULINGANA NA KANUNI...

    Ukizingatia wenye mamlaka Wana assets zao , ukizingatia historia ya nchi ilivyo na inavyohusisha timu hizo mbili... Na ukizingatia yoyote Yale NI BORA IFUTWE TUUUU ILI KU BALANCE MZANI WA TIMU HIZI......LIGI IISHE TIMU MBILI ZINA PUNGUFU YA MECHI 1 WENGINGE 14 WAKO SAWA.... ASANTENI..
  3. JamiiForums Tanzania Ipi ramani nzuri kati ya izi mbili apa chini

  4. JamiiForums Tanzania Ipi ramani nzuri kati ya hizi mbili hapa chini?

  5. JamiiForums Tanzania Kupata Mke China: Safari Takatifu Kati ya Mila, Maadili na Umuhimu wa Dhamira

    Katika ustaarabu wa China, ndoa haikuwahi kuwa tu muungano wa wapendanao wawili; bali ni muungano wa koo, uzalishaji wa urithi, na uendelevu wa heshima ya familia. Kila hatua ya harusi ilikuwa ibada; kila zawadi ilikuwa ishara; na kila makubaliano yalijengwa juu ya heshima, sio haraka ya hisia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu na Tamisemi ingilieni kati baadhi ya shule zimegoma kutoa likizo ndefu kwa mujibu wa ratiba ya Wizara ya Elimu

    Ni jambo la kawaida kwa mujibu wa mitaala ya elimu nchini wanafunzi wa shule za secondari na shule za msingi kuwa na likizo ya mwezi mmoja kati ya mwezi wa sita hadi wa saba.Hata hivyo , kuna baadhi ya shule zimetoa likizo ya wiki moja tu. Hakuna asietaka mwanafunzi kuwa na ufaulu mzuri, lakini...
  7. JamiiForums Tanzania Shemsa Mohamed Asema CCM Itaendelea Kuwa Daraja Kati ya Serikali na Wananchi

    SHEMSA MOHAMED ASEMA CCM ITAENDELEA KUWA DARAJA KATI YA SERIKALI NA WANANCHI Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Ndugu Shemsa Mohamed amesema kuwa Chama cha Mapinduzi kitaendelea kuwa daraja kati ya Wananchi na Serikali katika kuhakikisha kuwa changamoto za wananchi zinapatiwa ufumbuzi na wananchi...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Wanu Ameir Atunukiwa Tuzo Maalum na UWT Wilaya ya Kati, Zanzibar

    MBUNGE WANU AMEIR ATUNUKIWA TUZO MAALUM NA UWT WILAYA YA KATI, ZANZIBAR Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Unguja Kusini na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), Mhe. Wanu Hafidh Ameir ametunukiwa Tuzo Maalum na viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)...
  9. JamiiForums Tanzania Kati ya Mungu/Dini na Siasa kipi kilianza duniani na kipi kina nguvu kuliko mwenzie!

    Ningekuwa Rais, muda huu ningekuwa nimeshamla kichwa Waziri wa Mambo ya Ndani (Bashungwa) kwani button aliyogusa ni nyeti mnoo na huwa haiguswi ovyo ovyo. Bila Dini, hakuna siasa. Kumbuka watu wako tayari kufia dini lakini siyo chama cha siasa. Waumini wanawaamini viongozi wao wa dini zaidi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kati ya hawa Nani ni Dikteta Tanzania

    https://www.facebook.com/share/v/1BgsNVZPy9/ Sikiliza kwa makini hii Video clip ndipo utajua nani ni Dikteta Tanzania anayeteka, kupoteza na kuua watu. Akili za kuambiwa changanya na za kwako( Mbayuwayu style). Tafakari
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ngoja tuone kati ya Mungu wa ukristo na Mungu wa uislam ni Mungu yupi mwenye nguvu.

    Leo nimemsikiliza Fr kitima anasema Mungu lazima ajibu na at the same time Gwajima naye anasema Mungu hawezi kunyamazishwa. It is as if kuna vita ya kidini ukiangalia kwa macho makaliwith 3D na kwa critical thinkers pekee. Sasa ngoja tuone kati ya Mungu wa wislam na Mungu wa wakristo ni Mungu...
  12. JamiiForums Tanzania TFF tokeni zama za mawe za kati

    Wasalaam, Soka la Tanzania limekua kwa kasi sana hivi karibuni kiasi cha kuvutia watu kadhaa kuanza kuwekeza kwenye mpira wetu,Azam tv, Vodacom,nbc,sportpesa,GSM,MO na wengineo.watanzania wengi wamekua wakijipatia kipato kupitia soka;wachezaji,wauza jezi,watu wa usafirishaji,wenye nyumba za...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la Gwajimanization, kati ya hawa nani utampigia kura ya urais

    Hotuba ya Mh Rais jana imeleta feelings mpya among Tanzanians particularly kuhusu watu kutekwa, kuuawa, kupotezwa. Swali lilikuwa nani anawateka? ni akina nani watu wasiojulikana? Ni kama kitendawili kimeteguliwa jana! Watu fikra zinaweza kuwa zimebadilik kuhusu mustakabali wa taifa hili...
  14. JamiiForums Tanzania Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma

    Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma Au hayo qfl ndio magodoro Dodoma Nahitaji kununua 5x6 my budget 300,000tzs Pia Ushauri wa godoro zuri kwa mwenye uzoefu inches 8 vs 10
  15. JamiiForums Tanzania Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma

    Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma Au hayo qfl ndio magodoro Dodoma Nahitaji kununua 5x6 my budget 300,000tzs Pia Ushauri wa godoro zuri kwa mwenye uzoefu inches 8 vs 10
  16. JamiiForums Tanzania Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma

    Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma Au hayo qfl ndio magodoro Dodoma Nahitaji kununua 5x6 my budget 300,000tzs Pia Ushauri wa godoro zuri kwa mwenye uzoefu inches 8 vs 10
  17. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la Gwajimanization, kati ya hawa nani utampigia kura ya urais

    1. Lisu 2. Gwajima 3. Samia Active please moderator futa thread hii nimetengeneza nyingine as per your format
  18. JamiiForums Tanzania Kutatengwa budget kati ya sh billion 500 mpaka Trillion 1 kwa ajili ya kuboreshwa mazingira ya shule za msingi, secondary na vyuo vya ufundi

    Kwa Tanzania Bara kumekuwa na ongezeko la Idadi ya shule za msingi kutoka shule 3,270 mwaka 1961 hadi shule 20,384 mwaka 2024.Shule za sekondari zimeongezeka kutoka 41 mwaka 1961 hadi kufikia shule 6,263 mwaka 2021. Kwa mfano kila shule ikatengèwa billion 5 ili iwe katika kiwango kinachotakiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Je, wajua? Kati ya mwaka 1998 hadi 2012, Nokia ilikuwa mtengenezaji mkubwa zaidi wa simu za mkononi duniani

    Nokia ni kampuni ya Kifinland iliyozinduliwa mwaka 1865. Hii ni kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na mawasiliano na teknolojia ya taarifa. Makao makuu ya Nokia yako Espoo, Finland. Kampuni inafanya kazi katika zaidi ya nchi 100 na ina wafanyakazi takribani 130,000 duniani kote. Nokia...
  20. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya (W) Ngara Col. Mathias Julius Kahabi Tishio la Kisiasa kwa Vijana wa Ngara : Mamlaka za Uteuzi Ingilieni Kati

    Mkuu wa wilaya ya Ngara COL. MATHIAS JULIUS KAHABI kupitia kikao cha Halmashauri kuu ya CCM (W) Ngara cha mapema Mwezi huu Mei alinukuliwa akitoa kauli za vitisho dhidi ya vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akitishia kuwakamata na akikishauri chama kutowateua katika nafasi za uongozi uchaguzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…