kataa

The Supreme Court (Filipino: Kataas-taasang Hukuman; colloquially referred to as the Korte Suprema) is the highest court in the Philippines. The Supreme Court was established by the Second Philippine Commission on June 11, 1901 through the enactment of its Act No. 136, an Act which abolished the Real Audiencia de Manila, the predecessor of the Supreme Court.The Supreme Court Complex, which was formerly a part of the University of the Philippines Manila campus, occupies the corner of Padre Faura Street and Taft Avenue in Manila, with the main building directly in front of the Philippine General Hospital.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    ukinunua gari kataa kabisa ofa ya kujaziwa mafuta mengi, jaza lita chache kuona ulaji wake wa mafuta

    Kuna tatizo kubwa sana huwa linafichwa kwa kujaziwa full tank Gari inaweza kuwa na tatizo la kubugia mafuta kupitiliza kiwango cha kawaida, matatizo haya ukafichwa kwa kujaziwa mafuta mengi ni mpaka siku za mbele kabisa utakuja gundua uliuziwa mbuzi kwenye gunia
  2. Damaso

    Kataa unafiki wa SMS za Mwisho wa Mwaka: Kataa Drama za Dakika za Mwisho

    Bado masaa machache tu kuaga mwaka wa 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, wakuu ndipo simu zinapoanza kulia kwa fujo. Ghafla, watu waliokuwa kimya na jeuri kwa siku 364 na zaidi wanakumbuka uwepo wako. Unakutana na liujumbe refu: “Kama nimekukosea nisamehe,” “tusameheane kabla ya mwaka kuisha,”...
  3. Allen Kilewella

    PostGE2025 Kwanini kataa maandamano inahimizwa Sana kuliko kataa utekaji?

    Kwangu Mimi kuandamana siyo jambo kubwa na la hatari kuliko watu kutekwa na kuuawa na watu wasiojulikana. Sielewi ni kwa nini wakati watu wanatekwa na kuuawa hakukuwa na harakati kama hizi za Sasa kulaani utekaji na uuaji. Ina maana jamii yetu inaona ni sawa watu kutekwa na kuuawa lakini si...
  4. comrade_kipepe

    Humphrey Polepole: Kataa Wahuni - Official Song 🎵

    Polepole alituachia wimbo huu kabla ya kunyakuliwa na kupelekwa pasipofahamika. Aliandika 👇👇👇 Nimelazimika kuingia studio na kuzalisha wimbo huu. Nina "udediketi" wimbo huu kwa mwana CCM mwenzangu aliyetumia vyombo vyote vya habari jana. Ujumbe huu uende kwake na kwa kundi lote haram la CCM...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Video:-Mwenyekiti wetu wa KATAA WAHUNI Akiserebuka uhakika

  6. BabaMorgan

    Ukiwaza kwa facts utagundua kataa ndoa ni watu smart sana kichwani.

    Let's set feelings aside and go with the facts. Mtu anakwambia anaoa ili apate mtu wa kumsaidia majukumu hii ni hoja ya kiwaki ambayo inajibiwa kwa swali moja tu wote ambao wapo kwenye ndoa wanasaidiwa majukumu? Mwingine anasema anaoa ili apunguze uzinzi huu ni unafiki wa kiwango cha juu watu...
  7. 1Africa54

    Kuna watanzania bwana eti kataa baiskeli uinusuru tanzania eeeeti

    Nouma sana kataa baiko🤣🤣🤣🤣
  8. M

    GE2025 Samia kataa hizi aibu, Ripoti ya Uchunguzi: Hitilafu na Utofauti Kati ya Matokeo ya Wilaya/Mikoa na Tangazo la Kitaifa la CCM, Mkutano wa Mtandaoni

    “Ogopa Mungu na teknolojia,” na tena: “Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.” Katika mazingira ambayo upatikanaji wa intaneti si wa uhakika—hata simu za kawaida hupata shida ya mtandao.lengo liliikiwa kunyima haki ya mawazo mbadala na kuendeleza hofu ya watawala. Matokeo yake yamekuwa aibu...
  9. Youbettersleep

    Je, Ndoa ni Jela ya Wanaume? Je, walioko ndani wanatamani kutoka?

    Kijiweni hapa Nyasaka! Jana nilitoa mada kuhusu vijana kutokufanya maamuzi magumu ya kuwa na familia (ndoa) na kutulia na mwanamke. Wengi wao waliona heri atafute watoto tu ila sio kukaa na mwanamke sababu wengi hawaeleweki nini wanataka. Nilipowauliza swali vijana waliooa walisema ingekuwepo...
  10. The Burning Spear

    Hivi ndivyo Mgombea Urais wa CCM anavyopitishwa

    GT Kikwete na Samia waliogopa nini? Unampitisha Mgombea uraisi kwa kusema unadhani tumekubaliana unadhani like seriously?
  11. Samson Ernest

    Kampeni Ya Kataa Ndoa Ilitabiriwa Zamani Itakuja Nyakati Za Mwisho

    Kama utabiri utatolewa alafu usitimie huo utabiri bila taarifa za uhakika kutoka kwa Mungu, utakuwa utabiri wa uongo. Kama kile kimeandikwa kwenye biblia kisiwe kama kilivyosemwa, tutakuwa hatuna haja kuendelea kujivunia neno la Mungu. Tunajivunia neno la Mungu(biblia) kwa sababu ilituambia...
  12. Wagumu Tunadumu

    Kataa Ndoa, huyu hapa ndugu yenu

    Mwarabu Hemedyphd anasema ndoa sio kitu anachokiamini katika maisha yake na yupo tayari kuishi miaka 100 na mwanamke lakini asimuoe/wasioane. Akipiga story na #PlanetBongo ya @eastafricaradio amefunguka 👇 "Katika maisha yangu kuna vitu vitatu vikubwa ambavyo sio ndoto yangu, cha tatu ni hiyo...
  13. M

    Mwanzo nilikua nawashangaa sana Kataa ndoa, sasa hivi nawakubali kinoma

    NRNE. kama ujumbe unavyosoma hapo juu.
  14. Organic Uncle

    Mbinu za asili za kupambana na wadudu/visumbufu kwenye mimea. Kataa kemikali

    ZIFUATAZO NI MBINU ZA ASILII ZA KUPAMBANA NA WADUDU KWENYE MIMEA. 1.PILIPILI KALI Hii ni Moja ya dawa asili ambazo zimekuwa zikitumika na kuleta matokeo Mazuri sana. JINSI YA KUTENGENEZA ...gramu 55 za pili pili ..kata vipande vidogo chemsha kwenye maji kwa dakika 20 maji yawe lita 5...
  15. PSL god

    Nifanyeje nipo KATAA NDOA lakini nataka mtoto nianzie wapi?

    Za ijumaa wakuu, Mimi ni mwanaume mtu mzima wa 35 namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uwezo na hekima ya kuyakimbia mahusiano na mapenzi kwa ujumla toka nizaliwe Kwanza, Changamoto yangu kuu ni kwamba nimefika umri wa kuwa na mtoto lakini bado sina na hii inatokana na kwamba sina circle au...
  16. Friji la mtumba

    TEAM KATAA NDOA – Ulevi wa Ubinafsi Usio na Maono

    Ni ajabu sana kuona kizazi kinachojiona "kimeamka" kikikumbatia falsafa ya ubachela kana kwamba ni mafanikio ya juu kabisa ya maisha. Team Kataa Ndoa wamechagua njia rahisi ya kuepuka majukumu, wakijificha nyuma ya visingizio vya uhuru, starehe, na "kupambana kivyao." Je, kweli wana akili...
  17. The Father of All

    Kataa ulimbukeni na uzinzi linda na penda ndoa

    Nimekuwa nikisoma kampeni chafu na uchwara za kataa ndoa zinazosambazwa na kutangazwa humu. Sifichi msimo wangu. Nachukia wale wote wanaokataa ndoa na kutaka kulazimisha wengine. Kama wanazikataa tokana na matatizo yao fichi, ni haki yao. Lakini wasilazimishe wengine. Nami hapa silazimishi...
  18. Ndengaso

    Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

    Rejea kichwa cha habari.
  19. KENZY

    Tamko la kataa ndoa dhidi ya chama cha CHAPUTA!.

    Awali ya yote natumai mu buheri wa afya.. Mimi kama katibu wa chama cha kataa ndoa, napenda kutoa rai ama ushauri juu ya chama cha CHAPUTA yani chama cha wapiga punyeto Tanzania!. Kwanza ieleweke hivi kwa watu wote chama chetu cha kataa ndoa si kwamba kukataa ndoa ndo kukosa mpenzi!, la...
  20. Killing machine

    Hivi ndivyo maisha yalivyo kubali kataa

    Ukifika polini/mbugani utaona Simba wakiwala swala ili waishi japo swala nao Wana taka kuishi ila Wana kula majani amabayo nayo Yana taka kuishi Ukienda baharini utakuta samaki wakubwa Wana Wala samaki wadogo ili waishi japo samaki wadogo nao wanataka kuishi na wanakula wadudu wa baharini na...
Back
Top Bottom