kataa

The Supreme Court (Filipino: Kataas-taasang Hukuman; colloquially referred to as the Korte Suprema) is the highest court in the Philippines. The Supreme Court was established by the Second Philippine Commission on June 11, 1901 through the enactment of its Act No. 136, an Act which abolished the Real Audiencia de Manila, the predecessor of the Supreme Court.The Supreme Court Complex, which was formerly a part of the University of the Philippines Manila campus, occupies the corner of Padre Faura Street and Taft Avenue in Manila, with the main building directly in front of the Philippine General Hospital.

View More On Wikipedia.org
  1. Rorscharch

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kataa ndoa ni zao la mfumuko wa gharama za maisha na wahanga ya wanawake wasiojielewa

    Si mara kwa mara huwa napitia Jamii Forums, lakini mara nilipokuja kuvutiwa na mijadala kwenye jukwaa hili, nilikutana na kundi la vijana wanaojiita “Kataa Ndoa.” Vijana hawa wanazua mjadala mkubwa, na maoni juu yao yanatofautiana sana – kuna wale wanaowaona kama wanaokwepa majukumu, wengine...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani kujiunga Chama la Kataa Ndoa ila Roho bado inasita-sita

    Natamani kujiunga hili Chama la Wana ila roho bado inasita-sita. Nimejifungia sehemu bado natafakari
  3. doup

    JamiiForums Tanzania Kataa Ndoa Wazidi kupata Support: Pep Guardiola Talaka Mononi

    Nisikuchoshe ndugu msomaji Kocha hi nguli duniani Mzee Pep Guardiola wa Man City (Naweza kusema muasisi og wa Gusa Achia Twende Kwao) naye limemkuta baada ya wife kuomba taraka kisa jamaa yuko busy sana kutengeneza mkwanja Kwa ajiri ya familia ,imagine wife anakutema kisa tu uko fucus na kazi...
  4. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Vijana tujiajiri, kataa kuwa mfungwa

    Kuna watu wanapata pesa nyingi na hawapo katika mfumo rasmi wa ajira Ni kweli kuwa wazazi, ndugu na jamaa wanatamani upate ajira serikalini wakiaamini ndiyo njia sahihi ya kufanikiwa katika maisha yako jambo ambalo sio la kweli moja kwa moja na hii yote ni kutokana na ile dhana ya uoga wa...
  5. Brojust

    JamiiForums Tanzania Kwaheri 2024, Karibu 2025, Matukio katika picha. Mpaka sasa kataa ndoa hana goli, mpinzani wake anaongoza kwa goli 3

    Hongera kwa Afande, Hivi kufuta hii kitu tena ukiwa umepiga magoti na mikono miwili tena kimahaba, huwa ina maanisha nini kwenye ulimwengu wa kiroho ? Hii picha nimeangaliaaaaa, nikawaaaza, nikaangalia tena, nikawaza. Jibu la haraka haraka likaja kwamba ndio champagne salute au inaiitwaje...
  6. Surya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Timu kataa Ndoa kuweni Makini sana tunaishi na kiumbe kinaona zaidi yetu

    Sijui nieleze vip nieleweke vizuri, lakini kwa utafiti wangu ninachokiona Mwanaume anamuhitaji sana Mwanamke kuliko Mwanamke anvyomuhitaji Mume. Mwanamke kaumbwa kuwa kijakazi, au utumishi chini ya Mwanaume, Mwanamke anaweza kuwa Kijakazi hata kwa Mwanamke mwenzie. Mwanaume ukikataa uwepo wa...
  7. Rahidin73

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anaweza kataa kudate na mwanaume anayeishi kwa mama yake....

    Mwanamke anaweza kataa kudate na Mwanaume anayeishi kwa Mama yake, Lakini yuko tayari kudate na Mwanaume anayeishi na mke wake.
  8. Yoda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kataa ndoa wanaozalisha wanawake wachukuliwe kama wahujumu uchumi

    Wanaume au vijana wote wanaokataa ndoa halafu wanazalisha mabinti wa watu nafikiri wachukuliwe kama zaidi ya wahujumu uchumi, hawa ni aina fulani ya waharibifu wanaotakiwa kulaaniwa, kupingwa na kukataliwa na jamii kwa ujumla.
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu wa kataa ndoa hii tunaiitaje!?

  10. mr pipa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kataa ndoa naona mmeamua kufika mbali h

    KUNa vitu vina tia sana uchungu
  11. Royal Son

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ni kweli kataa ndoa wana point tatu

    Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani. Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba...
  12. Girland

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Team “Kataa ndoa” wapuuzwe, hawana maadili, ndoa iheshimiwe na watu wote

    Kumekuwepo na wimbi kubwa la "Vijana wa ovyo " wakiendesha kampeni yao maarufu Kama Kataa ndoa! Wengi wanaopinga ni kuonyesha kiasi gani jamii yetu inakosa maadili! Mwanaume anaogopa na hawezi kuiongoza familia ,anaishia kuandika KATAA NDOA? hebu tukumbushane! Umewahi kuona mgombea urais asiye...
  13. oko majimaji

    JamiiForums Tanzania Kataa umasikini

    Nawasalimu nyote. Umasikini ni laana, tafiti tofauti zinaonyesha umasikini unarithishwa kwa hiyo unatakiwa kukaa ki machale kijana mwenzangu uliezaliwa kwenye familia masikini ili uondokane na hiyo laana isikukute wewe na vizazi vyako vinavyokuja vunja kabisa hilo daraja unatakiwa upambane...
  14. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Hashtag Kataa Eacop: Vijana wa CHADEMA Wanatumika na Wanaharakati

    CHADEMA na kale kakundi ka @MariaSTsehai wanapush hushtag #KataaEACOP kwa lengo la kudhoofisha ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Uganda mpaka bandari ya Tanga. Acheni kutumika kiboya. EACOP stand for East African Crude Oil Pipeline. Ni kampuni lenye share holders wanne yani...
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi nyie kataa ndoa huwa mnamaanisha kutokuishi kabisa na mwanamke au mnamaanisha kutofunga ndoa kisheria (harusi )

    Aisee unajua tunaweza kuwa tunabishana kuhusu kataa ndoa sijui kubali ndoa lakini hatujui maana yake vizuri. Ndo maana Nina swali je mnachomaanisha ni hamtaki kabisa kuishi na mwanamke pika pakua au hamtaki tu kufunga ndoa kisheria. Kama ni kutoingia kisheria hata mimi nitawaunga mkono ila je...
  16. haszu

    JamiiForums Tanzania Mtu mzima ambae bado una “ungaunga” unaweza kataa kazi kwa kigezo unakula sikukuu?

    Sikukuu ni watoto, mtu mzima siku yoyote ukiwa vizuri unaenjoi tu. Kama kuswali ushaswali, kilichobakia ni kula, na kula ni hadi mchana. Unakataa kufanya kazi et “ mi leo nakula sikukuu”. Mambo ya ajabu sana. Mi napendaga kazi kazi. Watu wa pwani na Tanga mbadilike, wengine tunaenda kwa ratiba.
  17. True Believer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

    Habarini wakuu, Hivi karibuni kumeibuka mjadala wa baadhi ya wanaume kukataa NDOA, (dronedrake ) muda huohuo pia kua baadhi ya wanaume wanakimbilia NDOA. Jambo hili linaibua hisia za wanaume na wanawake wengi pia, na vilevile linapelekea wengine kubaki kwenye kitendawili cha kufuata NDOA au...
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa KATAA NDOA hawajielewi

    JF habari!!! Mwanzo 1:28 (KJV) Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi. Hilo ndilo kusudio kuu la Mungu. Yeyote yule anapinga ujue wazi yupo upande...
  19. Kaka yake shetani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kataa ndoa inavozidi kuleta taharuki

    Jinsi maisha haya inaonesha idadi ya wakataa ndoa inazidi kuwa kubwa yani siku hizi ndoa zimekuwa kama uchaguzi NEC tanzania. jamaa kavisha pete kumbe pembeni kuna jamaa alishapitia kitambo
Back
Top Bottom