kaskazini

Unguja North Region is one of the 31 regions of Tanzania. Located on the island of Zanzibar, Mkokotoni serves as the region's capital. Zanzibar North is divided into two districts, Kaskazini A and Kaskazini B.

View More On Wikipedia.org
  1. Majambazi yateka Watu 100 Kaskazini Magharibi mwa Nigeria

    Majambazi wanaodaiwa kutumia Pikipiki huku wakiwa na silaha za moto wamewateka Watu 100 Upande wa Kaskazini Magharibi mwa #Nigeria katika Vijiji vya Jimbo la Zamfara. Wenyeji wa Vijiji husika wanadai utekaji huo umefanyika kwa Watu walioshindwa kulipa 'kodi' iliyodaiwa na Watekaji hao, ikiwa ni...
  2. M

    Hamas yawakabidhi mateka Kaskazini mwa Gaza ambapo majeshi ya Isreal yadai yameuteka. Isreal washangaa yanayotokea

    Al Jazeera:Al-Qassam Brigades handed over prisoners in the northern Gaza Strip with the population, confirming Israeli statements that Israel has lost control of the northern Gaza Strip.(Israel had declared the northern area a dangerous war zone and banned the passage of civilians) Juzi na jana...
  3. TANZIA Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Kaskazini ( KKKT) Dkt. Erasto Kweka afariki Dunia

    Taarifa zaidi zitaendelea kutufikia. Poleni kwa msiba mkubwa!
  4. Wapalestina kusini ya Gaza wavunja ngome za Israel na kurudi Kaskazini

    Muda mfupi baada ya kusitishwa kwa vita kunakotarajiwa kuendelea kwa siku 4 makundi ya wapalestina waliotiii amri ya kwenda kusini ya Gaza walionekana kuandamana kutaka kurudi makwao. Jeshi la Israel lilisema watu hao hawatakiwi kuvuka barabara kuu ya Salahudin inayoigawa Gaza ya kusini na ya...
  5. B

    Kwa maoni yangu, Arusha inaongoza kuwa na warembo Kanda ya Kaskazini

    Hasahasa maeneo ya Arusha Mjini, usipokua makini unaweza gongwa na bajaji kwa kushangaa wanawake. Wanawake wengi huku Arusha wana makalio makubwa yenye shepu nzuri balaaa, miguu ya bia ilionona daah, huwa saa nyingine nakutana na pisi, naishia tu kuguna kwa tamaa!
  6. M

    Makomandoo wa HAMAS waangamiza wanajeshi wengine watano wa Kizayuni kaskazini magharibi mwa Ghaza

    Nov 05, 2023 06:50 UTC Habari za karibuni kabisa za Palestina zinazungumzia kuendelea mashambulizi ya anga na mizinga ya utawala wa Kizayuni dhidi ya maeneo tofauti ya raia kwenye Ukanda wa Gaza na kukiri duru za Kizayuni kwamba Tel Aviv imenaswa katika mtego wa wanamapambano wa Palestina...
  7. B

    Korea ya Kaskazini Yafunga Balozi Zake za Nje Katika Nchi Kadhaa

    01 November 2023 Seoul, South Korea Korea ya Kaskazini yafunga balozi zake kadhaa ikiwemo ya nchini Spain, Angola na Uganda. Hii ni kufuatia hali mbaya ya kifedha kufuatia vikwanzo vya kiuchumi ambavyo vimeikaba nchi hiyo ikiyokaidi kufunga mradi wake wa kuwa na silaha kali za nuclear, ambapo...
  8. Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas, Wabunge wa Israel walia

    Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas wabunge wa Israel walia A picture[emoji1313][emoji1313] of the killed unit from 'Givati Brigades' who were blown up together in northern Gaza. Hii ni unit nzima ya wanajeshi wa Israel waliouliwa wote na Kombora la Hamas hii imewafanya hadi...
  9. Uyahudi waliivamia Tanzania kutokea Kaskazini

    Kuna historia inayotia mashaka kuhusu imani ya kiyahudi katika Tanzania. Shaka hiyo inaendana na matukio yanayoendelea ndani ya nchi na katika uwanda wa kimataifa. Kwa mujibu wa historia hiyo ni kwamba walifurushwa nchini Yemeni mwaka 1880 wakatawanyika na kusafiri kupitia Morocco, Ethiopia...
  10. Nkasi Kaskazini: Oparesheni 255 yapokelewa kwa Shangwe, Maelfu ya watu wahudhuria Mkutano

    Kama tulivyoahidi hapo awali , Oparesheni 255 yenye lengo la kuwakumbusha Wananchi umuhimu wa Katiba mpya ikiwa ni pamoja na kuwafungua macho wananchi hao ili wajionee ubovu wa Mkataba wa Bandari za Tanganyika na DP WORLD ya Dubai , imefika Nkasi Kadkazini. Kwenye Jimbo hilo kumetokea Mshangao...
  11. Donald Trump aweka rekodi ya kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kukanyaga ardhi ya Korea Kaskazini

    Donald Trump aweka rekodi ya kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kukanyaga ardhi ya Korea Kaskazini kwa mujibu wa ripoti ya White House. Katika moja ya ziara aliyowahi kuifanya Donald Trump ambayo iliingia mpaka kwenye record za Marekani. Ni ziara ya Donald Trump kuingia nchini Korea Kaskazini na...
  12. Kazi chafu: Hamas wanategeshea mabomu wanaohama Gaza Kaskazini ili kuwatisha wabaki, wanawasingizia Israel kuwalipua wanaohama

    Hamas wanategesha mabomu kwenye magari yanayohamisha watu Gaza kaskazini, Hamas hawaoni taabu kuua wapalestina kwa lengo la kutengeneza propaganda kuwasingizia Israel ndio wanafanya haya mashambulizi
  13. Waarabu kiasili ndio wavamizi wa ardhi ya Israeli na Afrika Kaskazini

    Ukisoma Historia vizuri ya Waisraeli kwenye vitabu vya Dini na historia ya kidunia utagundua waisraeli walipitia misukosuko mingi tangu kipindi cha Musa, hadi kuja kwa Adolf Hitler ambao wengi walikamtwa na kufanywa watumwa, bila kusahau njama za Adolf Hitler kuwaua wayahudi (Waisraeli) wote...
  14. DOKEZO KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki(Tanga) walipe madeni ya walimu wa Bangala na Lwandai sekondari

    Uongozi wa Kkkt Dayosisi ya kaskazini mashariki (KKKT-DKMS) wasidhulumu haki za watumishi wa Lwandai sekondari na Bangala seminari n.k Ni miaka kadhaa umepita tangu uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri-DKMs ubadilishwe toka kwenye uongozi wa Dr. Munga kwenda kwa Ask. Dr Mbilu Msafiri, na...
  15. Marekani yazishtukia Urusi na Korea Kaskazini, yadai zina mazungumzo ya siri

    Ikulu ya White House ya Marekani, imesema kuwa Urusi inaendelea na mazungumzo ya siri na Korea Kaskazini ili kupata risasi na nyenzo nyingine za kivita dhidi ya Ukraine. Mtandao wa BBC umeripoti kuwa msemaji wa usalama wa taifa hilo, John Kirby, amesema kuwa pamoja na vifaa vya kijeshi, Moscow...
  16. Wadukuzi wa Korea Kaskazini wadukua kampuni ya silaha ya Urusi

    Ni kampuni kubwa ambayo hutengeneza mizinga ikiwemo ile ya hypersonic, wamedukuliwa kizembe sana tena kwa miezi mitano bila kushtukia.... North Korean leader Kim Jong Un and Russia's Defense Minister Sergei Shoigu visit an exhibition of armed equipment on the occasion of the 70th anniversary...
  17. Miradi Mipya ya Elimu Jimbo la Mufindi Kaskazini

    NAIBU WAZIRI EXAUD KIGAHE AKAGUA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA MADARASA JIMBO LA MUFINDI KASKAZINI Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe tarehe 29 Julai, 2023 mpaka tarehe 30 Julai, 2023 amefanya ukaguzi wa ujenzi wa Madarasa, Vyoo na Nyumba...
  18. U

    Mkataba wa Bandari: Mbunge Aida Khenani akiri kupelekwa Dubai, lakini mpaka wanarudi hakujua walikwenda kufanya nini

    Hakika shetani ana trick za ajabu sana anapotaka kutenda au anapotenda uovu wake kwa kuwatumia watu waovu hususani viongozi wenye dhamana kubwa za kuongoza nchi na wananchi wa nchi yetu.. Hebu twende pamoja, soma na sikiliza hii👇👇👇 Mkataba wa DP WORLD ni zaidi ya mkataba tu! • Kumbe kulikuwa...
  19. Mbunge Assa Makanika akutana na viongozi wa dini zote Jimbo la Kigoma Kaskazini

    Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Mhe. Assa Makanika mnamo tarehe 10 Juni, 2023 alikutana na viongozi wa dini zote wa Jimbo la kigoma kaskazini ikiwa ni utaratibu wake kukutana na taasisi mbalimbali jimboni. Lengo la kikao hicho ni Muendelezo wa kushukuru, kupokea ushauri na maoni kutoka kwa...
  20. KOREA ya Kaskazini kuboresha uhusiano wake wa zamani na mataifa ya Afrika

    KOREA Kaskazini imesema siku ya ya Alhamisi kuwa inakusudia kuboresha uhusiano wake wa zamani na mataifa ya Afrika na kuapa kupanua uhusiano huo wa "urafiki na ushirikiano." "Tumejitolea kuziunga mkono kikamilifu nchi za Afrika katika juhudi zao za kufikia amani, utulivu na uadilifu wa kisiasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…