Unguja North Region is one of the 31 regions of Tanzania. Located on the island of Zanzibar, Mkokotoni serves as the region's capital. Zanzibar North is divided into two districts, Kaskazini A and Kaskazini B.
Inasemekana kuwa Mwalimu amefeli kule Wydad.
Selemani Mwalimu anarudi kucheza Simba kutoka Wydad kwa visingizio vyepesi kabisa kama walivyorudi wengine kutoka Afrika ya waarabu. Waarabu hawawezi kuvumilia kumsubiria mchezaji mweusi asiyewapa matokeo ya leoleo uwanjani. Wanaweza kumvumilia...
Korea Kaskazini imekosea mazoezi ya pamoja ya kijeshi kati ya Korea Kusini na Marekani kama "uchochezi wa moja kwa moja wa kijeshi" na kuonya kuwa itachukua hatu za kujibu.
Onyo hilo linakuja huku kukiwa na dalili za kupungua kwa mvutano mpakani wa nchi hizo chini ya kiongozi mpya huko Seoul...
Chung Ju Yung: Mwanzilishi wa Hyundai na Mfano wa Mafanikio
Je Chung Ju Yung (1915–2001) alikuwa mfanyabiashara wa Korea Kusini ambaye alibadilisha historia ya uchumi wa taifa hilo kupitia uanzishaji wa Hyundai Group. Anaenziwa kama moja ya nguzo muhimu za “Miracle on the Han River”—kuinuka kwa...
The image above of the Korean peninsula was taken by NASA in 2016 and perfectly sums up why capitalism, for all it’s faults, is still a far, far better system than the communist alternative.
Capitalist South Korea takes up the bottom half of the peninsula, and you can clearly see all the bright...
Pamoja na mapungufu yao. Hawa vijana wa kaskazini kanda za Arusha, Moshi, kilimanjaro n.k ni waaminifu kwenye biashara.
Ukipata Mwanamke kutoka huko ukamkabidhi biashara mfano Duka, Pub, Mghahawa wanajua kupambania biashara kwa bidii. Pia hawana kona kona za leo hivi kesho vile ulilinganisha na...
Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Kati, Said Idd (katikati), Meneja wa Yas Kanda ya Kati Frank Anthony (kushoto), na Meneja wa Mixx by Yas Kanda ya Kati Charles Gasper (kulia) wakifurahia jambo wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni ya kitaifa ya “Anzia Ulipo” iliyozinduliwa jijini Dodoma Julai 16 mwaka...
Wakati utawala wa Trump unatafakari kuhusu kutuma silaha zaidi kwa Ukraine, mmoja wa washirika muhimu zaidi wa Urusi anaongeza kiwango cha ushiriki wake.
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jon Un, ametoa "msaada wake usio na masharti" kwa Moscow, kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya...
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesisitiza kuwa ataendelea kuiunga mkono Urusi katika vita dhidi ya Ukraine. Ameitoa kauli hiyo katika mkutano wake na Waziri wa Mambo ya nje ya Urusi Sergei Lavrov mjini Wonsan.Kim Jong Un amesema nchi hizo mbili zina mitazamo inayofanana kuhusu masuala...
Majimbo ya uchaguzi katika mikoa ya Kaskazini yanapaswa kuongozwa na watu waliowazaliwa au waliokulia katika maeneo hayo. Itakuwa ni dharau kwa wananchi wa mikoa hii iwapo watu wa nje – wasiokuwa na mizizi wala historia ya eneo – watateuliwa au kupitishwa kugombea nafasi za uongozi kwa kigezo...
Kazi ipo kule Kilwa Kaskazini, wakati Leo ndio tunatarajia kupata orodha ya majina matatu ya wagombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi ili yapelekwe kwa wapiga kura ndani ya chama, tayari mtia Nia mmoja katika Jimbo Hilo ambalo Mangungu analitolea macho amepata ajali alipokuwa anakwenda...
Mm nafuatilia nyendo zako za kisiasa, Kama nilivyoripoti hapa jamiiforums juzi kuwa Mangungu angechukua fomu jumamosi kWa ajili ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa jimbo la kilwa kaskazini kupitia chama cha mapinduzi, ni kweli Jana Mangungu ametinga ofc za CCM Wilaya zilizopo eneo la Kilwa...
‼️The new face of Kim Jong Un: North Korea's new tourist gem on the coast of the Sea of
June 28, 2025
North Korea has officially opened its most ambitious tourism project to date – the modern Wonsan-Kalma complex, located on the coast of the (East) Sea of Japan. 👇
kwa kutumia kilometres 4...
Kada wa chama cha Mapinduzi(CCM) Ndugu Kinjekitile Ngombale Mwiru Leo amechukua fomu za kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kilwa Kaskazini.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Mwenyekiti wa klabu ya Simba ambaye katika uongozi wake Simba imebamizwa mabao mengi kuliko wakati wowote ule Mhe Murtaza Mangungu siku ya Jumamosi Asubuhi anatarajiwa kuchukua fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kilwa Kaskazini.
Mangungu ambaye amewahi kuwa mbunge wa Jimbo Hilo kabla ya...
Wadau hamjamboni nyote, Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, EXCLUSIVE
Khamenei and his family hiding in bunker in Lavizan northwestern of Tehran, sources say
21 minutes ago
Iran's Supreme Leader Ali Khamenei was moved to an underground bunker in Lavizan in northeastern Tehran hours...
Wadau kwa nini huyu Kim wa Korea Kaskazini na utawala wake hawa shambuliwi kwa kuwa na silaha za Kinyuklia kama anavyo hisia Iran kutaka kuwa nazo hizo silaha japo haijathibitika mpaka sasa kama anazo
Luhaga Mpina, katika bandiko lake kwenye ukurasa wa X (zamani Twitter), mbunge huyo ameandika: "Miaka 8 nyuma nchi yetu ilishtumiwa na UN kuwa na uhusiano wa kibiashara na kiulinzi na usalama wa NORTH Korea unaohusisha mkataba wa \$12.5m. Tulikanusha! UN haikutoa ripoti ya uchunguzi, ikashia...
Akiwa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mollel Papaa, wilayani Babati, mkoani Manyara leo, Jumatano Juni 04.2025 Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla amesema fulamu ya 'The Royal Tour' iliyofanywa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imekuwa...
Hii ni nchi ambayo inakatiba ya kidemokrasia Rais wa nchi ya Tanzania kujihusisha na dikteta kama huyu sio kutendea haki nchi yetu
Hivi Tanzania tunamwelekeo gani kumwalika mwakilishi wa Kimjong Un (Korea Kaskazini)??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.