kasi

KASI (1430 AM, "News Talk 1430") is a radio station licensed to serve Ames, Iowa. The station is owned by iHeartMedia, Inc. and licensed to iHM Licenses, LLC. It airs a News/Talk radio format.The station was assigned the KASI call letters by the Federal Communications Commission.The transmitter and tower are located in northwest Ames. According to the Antenna Structure Registration database, the tower is 124.4 m (408 ft) tall.In January 2016 KASI applied for an FM translator to rebroadcast the AM signal at 94.1 MHz. That application has since been approved to KASI by the FCC as of February 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Utambue 95-95-95: Mpango utakaosaidia kupunguza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) na kupunguza vifo vitokanavyo na UKIMWI

    Awali ya yote nimshukuru Mungu aliyetupatia uzima na afya mpaka tulipofika sasa. Pia, niwapongeze wanajamii kwa kuendelea kufuatilia machapisho mbalimbali katika ukurasa wetu huu pendwa. KARIBU UFAHAMUJUU YA MPANGO UJULIKANAO KAMA 95-95-95: Naomba twende pamoja mwanajamii mpaka mwisho...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mapigo matatu yapunguza Kasi harakati (agenda) za kudai katiba mpya

    1. IGP Siro haja na taarifa zenye utata dhidi ya Lissu 2. Dialo na Mtaka watoa kauli nzito kuhusu watawala na kutakiwa kuomba radhi kinyume na misimamo yao 3. Msajili wa vyama ahoji kwanini wabunge 19 walifukuzwa chadema Huu ni mwendelezo wakuwatoa Wana vuguvugu la katiba kwenye harakati za...
  3. JamiiForums Tanzania 15 Julai, 2021; Hayati Magufuli atakumbukwa kwa kasi sana na watu wa kada zote

    Kwa kweli nisiwe mnafiki. Niliacha kupenda siasa toka baadhi ya wapinzani kuanza kuunga mkono juhudi za JPM. Marufuku ya siasa ikachangia pia. Utendaji wa hayati nao nikaupenda. Kilichonifanya nisimpende Magufuli baadae ni hali ya mgawanyiko uliokuwa unaendelea nchini. Haya ni Rais wetu JPM...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA yawavutia kasi Halima Mdee na wenzake 18

    Baraza Kuu la Chadema litaketi muda wowote baada ya viongozi wakuu wa chama hicho kumaliza ziara ya vikao vya ndani waliyoifanya zaidi ya mikoa 20 ya Tanzania Bara na Zanzibar. Pamoja na majukumu mengine, Baraza Kuu la Chadema ndilo lenye jukumu la kusikiliza na kutoa maamuzi juu ya rufaa za...
  5. JamiiForums Tanzania Zambia yafunga baa na casino kupunguza kasi ya maambukizi ya COVID-19

    Zambia ambayo inakabiliwa na wimbi la tatu la Virusi vya Corona imesema maeneo ya starehe ikiwemo baa na casino zitafungwa kwa siku 14, ili kupunguza kasi ya maambukizi ya Ugonjwa huo. Wiki iliyopita, Shule zilifungwa kwa siku 21 ili kuruhusu Tawala kuchukua tahadhari za kuhakikisha usalama...
  6. JamiiForums Tanzania Siku 100 za Rais Samia kwa kasi na viwango

    Kimya kina mshindo, Watu wanasema Mlimwengu huoni? Mbona husemi? Mlimwengu nilichagua kutumia milango yangu ya fahamu vizuri kutathmini yanayofanyika. Baada ya dhiki ni faraja. Tulipata msiba wote, tukahuzunika wote na ikawa hakuna wa kumfuta machozi mwenzake.Baba yetu Hayati Magufuli...
  7. JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator. Kujiuliza na kufikilia kwangu kumetokana onyo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security-DHS) lililotolewa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Ujenzi tazama kasi ya ujenzi wa barabara ya bandari Dar, ikiwezekana wajenge usiku na mchana

    Barabara inayopitia bandarini dar iko katika ujenzi! Lakini kasi ya ujenzi iko taratibu sana! Hili linawagusa pia mamlaka za usimamizi kwa kushindwa kumuelekeza mkandarasi umhimu na uharaka wa barabara hiyo kiuchumi! Haiwezekani barabara kama ile ambayo ni lango la kuu la mizigo kimataifa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi umezidi, hamu ya kurudi nyumbani inanijia kwa kasi

    Mzuka Wanajamvi, Kuna ubaguzi wa hali ya juu hasa kwa sisi Ma-nigger. Sasa hivi eti sisi wote tuna Corona hata ukivaa maski wanaziba pua. White nationalist and far right wanaendeleza propaganda zao za chuki eti tume kuja kuchukua social money (what is rightful there's) na mademu zao wenye...
  10. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina ampongeza Rais Samia kasi ya Ujenzi wa Miradi, asema hakuna ambao unasuasua

    LUHAGA MPINA AMSIFU BUNGENI MH. SAMIA SULUHU HASSAN KWA KASI NZURI YA UJENZI MIRADI YA SGR KIPANDE CHA MWANZA- ISAKA NA MIRADI YA TARURA "Mhe. Spika na mimi nashukuru sana kwa kunipa nafasi ili niweze kuchangia wizara hii muhimu sana, wizara ambayo inatunza rasilimali za W atanzania. Na...
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Hali ni tete Uganda, Corona yashika kasi tena kupelekea shule kufungwa. Rais Samia Hassan aharakishe chanjo

    Habari wadau..! Taarifa zinasema hali ya uviko 19 nchini Uganda imezidi kushika kasi kwa siku wanareport wagonjwa 500. Shule zimeanza kufungwa tena vifo vimeongezeka maradufu katika hii phase ya pili ya Corona nchini Uganda. Kwa niaba ya watanzania wazalendo naomba mheshimiwa rais Samia Hassan...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume wa aina hii wanapotea kwa kasi sana duniani

  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Treni za moja kwa moja "Express Service" Nairobi

    Zitakua zinatoka mitaani na kusafiri hadi mjini bila kusimama popote ili kuwahisha idadi kubwa ya wasafiri, jameni hii poa sana maana kuvusha maelfu ya wasafiri kwa muda mfupi hivi itachangia pakubwa kiuchumi, tunapoteza hela nyingi sana wakati tunaacha watu wanakwama kwenye mafoleni, kama...
  14. JamiiForums Tanzania Hii kasi ya ujenzi wa ofisi za CHADEMA Nchi nzima tena kwa michango ya kawaida ya wanachama wao ni ya kupongezwa

    Ni kasi na mwitikio wa ajabu! Kusini hadi Kaskazini,Mashariki hadi Magharibi jamaa wanajenga kwa kujitolea kabisa tena ofisi zenyewe ni za kisasa kabisa. Jambo hilo si tu linashtusha bali pia ni muhimu lipongezwe!
  15. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Mchambuzi wa Michezo anayekuja kwa kasi nchini George Ambangile wa Wasafi FM asema Ukweli huu Mchungu

    " Kwa Kikosi hiki cha Simba SC kilichoishia hatua ya Robo Fainali juzi na jinsi kilivyo Imara na Wachezaji mahiri hakuna Mchezaji yoyote wa Yanga SC hii ya sasa anayeweza si tu Kucheza bali hata Kuanzia Benchi " Ushahidi Kamili wa Kauli yake hii ipo YouTube Kipindi cha Sports Arena cha Wasafi...
  16. JamiiForums Tanzania Ni lini IGP Sirro utafanya mabadiliko ya MA RPC ili kwenda na kasi ya Rais Mpya ?

    Kumekuwa na Malalamiko mengi sana huko kwenye mikoa ya Kipolisi kutokana na utendaji wa kutiliwa shaka wa Jeshi la Polisi , ninaamini hata wewe IGP unafahamu , si vema kurudia malalamiko hayo hapa ili kuokoa muda. Sasa tumeona mabadiliko ya uongozi karibu kila idara na kila mahali...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru, Polepole, Biswalo na Ole Sabaya sasa tunawazungumza kama historia

    Hii ni kasi ya 5G kwa kweli. Leo ukienda Lumumba mabosi ni Chongolo, Mndeme na Shaka ukiwaulizia akina Bashiru na Polepole unaambiwa hao Boss wao ni Spika Ndugai. Ukienda Hai ndio hivyo tena ukimuulizia DC Ole Sabaya unaambiwa kwa sasa Boss wetu ni DAS. Eid Mubarak!
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kasi ya CHADEMA kujenga ofisi za majimbo kwa nguvu ya umma itufunze umuhimu wa kuwekeza kwa watu

    CHADEMA kwa Sasa inaendeleza operesheni achia wafungwa wa kisiasa inayoambatana na ujenzi wa ofisi za majimbo kote nchini. Ujenzi unafadhiliwa kwa 100 na wananchi wa kipato cha chini. Niwapongeza wanaofanya kazi hii na kuwatakia kila la heri kukamiliza mradi huu ndani ya miaka mitatu iliyopangwa.
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbegu, mayai ya uzazi biashara inayokua kwa kasi Kenya

    Miaka michache iliyopita kununua na kuuza mbegu na mayai ya uzazi lilikuwa jambo lisilofahamika nchini Kenya. Kenya. Miaka michache iliyopita kununua na kuuza mbegu na mayai ya uzazi lilikuwa jambo lisilofahamika nchini Kenya. Ila kwa sasa imekuwa biashara inayokua kwa kasi kwa wenza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…