kasi

KASI (1430 AM, "News Talk 1430") is a radio station licensed to serve Ames, Iowa. The station is owned by iHeartMedia, Inc. and licensed to iHM Licenses, LLC. It airs a News/Talk radio format.The station was assigned the KASI call letters by the Federal Communications Commission.The transmitter and tower are located in northwest Ames. According to the Antenna Structure Registration database, the tower is 124.4 m (408 ft) tall.In January 2016 KASI applied for an FM translator to rebroadcast the AM signal at 94.1 MHz. That application has since been approved to KASI by the FCC as of February 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Nani anaelekeza madereva Mwendo Kasi kupakia abiria kupitia milango iliyoangalia barabarani (Kibaha to Kimara)? Hadi abiria wagongwe?

    Nimeona jambo lisilo la kawaida katika eneo la Temboni, gari la mwendo Kasi linapakia abiria kupitia milango inayotazama katikati ya barabara. Kibaya Zaidi wakati wanapakia Kuna gari zinapita kwa Kasi huku abiria nao wakikimbia Kwa Kasi Jambo ambalo kiusalama siyo SAHIHI. Wakati haya yanafanyika...
  2. JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu yameamua kwa makusudi kupunguza kasi ya internet?

    Leo siku ya tatu nina experience low speed ya internet, awali nilidhani nilijua shida ni airtel nayotumia nikaunga voda bado nikapata tatizo lile lile. Nilipouliza na wengine malalamiko ni hayo hayo. Vipi kwako hali ikoje? Kama sote iko hivyo je ni maagizo ya TCRA? Maana juzi niliona...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Silverlands Tanzania miongoni mwa kampuni zinazokuwa kwa kasi Afrika

    London, 3 Mei 2022 Ripoti ya utafiti ya ‘Financial Times’ imeitaja Kampuni ya Silverlands Tanzania kuwa ni miongoni mwa kampuni zinazokuwa kwa kasi barani Afrika. Ripoti hiyo imezitaja jumla ya kampuni bora 75 barani Afrika kwa kuzingatia vigezo vya ukuaji mkubwa wa mapato kati ya mwaka 2017...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Panya Road wamewashinda? Wamerudi kwa kasi ya kutisha sana

    Jamaa yangu anaishi Makubuli anasema hawa watu wamerudi kwa kasi kubwa,ari na guvu kubwa sana. Wanaweza pora nyumba mpaka 20 kwa usiku mmoja. Ni vijana wa umri wa miaka 12-30 wanakuwa wengi wakiwa na mapanga ,visu ,magongo na bisibisi. Kiukweli wameuteka mji wa Dar es Salaam. Nadhani kwa hiki...
  5. JamiiForums Tanzania Watu wahoji kwa nini CHADEMA imeanza kupunguza kasi ya kudai Katiba Mpya

    Wananchi mbalimbali wanaotaka katiba mpya wameshtushwa na ubaridi wa ghafla wa chama cha Demokrasia na maendeleo (ChADEMA) katika kudai katiba mpya. Watu hao wanasema walikuwa na tumaini kubwa sana kuwa kupitia pressure ya taasisi hiyo yenye nguvu nchini pamoja na kuunganisha nguvu za wananchi...
  6. JamiiForums Tanzania Uvuvi haramu umerudi kwa kasi kubwa Kanda ya Ziwa baada ya kifo cha Dkt. Magufuli

    Nilikuwa maeneo ya Nzera jimboni kwa Msukuma uvuvi haramu umetamalaki. Makokoro na nyavu zilizopigwa marufuku maarufu kama Timba ndio zinatumika. Nikaamua kuambaa ambaa mpaka mwambao wa ziwa wilaya Sengerema mwendo ni uleule. Kumbe usimamizi wa sheria za nchi hutegemea na mkuu wa nchi aliepo...
  7. JamiiForums Tanzania Utoroshwaji wa rasilimali za taifa letu uliofanyika awamu ya nne umerejea kwa kasi awamu hii ya Rais Samia. Watanzania tutaibiwa sana wakati huu

    Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa halafu mnanegotiate nae nini? Kwanini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania? Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi? Awamu ya Jakaya ndio kipindi tuliibiwa? 👇...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la ‘Ukanda Mmoja, Njia Moja’ la China lashika kasi barani Afrika

    Caroline Nassoro Mwaka 2013 rais Xi Jinping wa China alitoa pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja". Mwezi Septemba mwaka 2013, rais Xi Jinping wa China, akiwa nchini Kazakhstan, alitoa mpango wa ujenzi wa ukanda wa kiuchumi wa "Njia ya Hariri", na mwezi Oktoba mwaka huo huo, akiwa nchini...
  9. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina apinga majibu ya Serikali kuhusu kauli kuwa hawana taarifa ya agizo la Mahakama kuhusu kurudisha mifugo ya wafugaji

    Dodoma. Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amepinga majibu ya Serikali kuhusu kauli kuwa hawana taarifa ya agizo la Mahakama kuhusu kurudisha mifugo ya wafugaji kama ilivyoamuliwa na mahakama. Mpina amesema inashangaza na kusikitisha kuona kuwa, Mahakama ilishamuru wafugaji warudishiwe mifugo yao...
  10. JamiiForums Tanzania DAR: Kasi ndogo ya wanaochanja yamshtua Mganga Mkuu

    Kasi ndogo ya chanjo ya kujikinga na Ugonjwa wa UVIKO-19 imemshtua Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk. Rashid Mfaume, na kuwahimiza wakazi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kupata chanjo. Dk. Mfaume alitoa msisitizo huo jana Aprili 5, 2022 baada ya kubaini kuwa kasi ya watu kupata huduma...
  11. JamiiForums Tanzania Wizi umerudi kwa kasi tena. Vibaka ni wengi mtaani

    Usiku huu nimekuja kumtembelea rafiki yangu huku Msumi. Namkuta Yuko kwenye kikao Cha ulinzi kilichoitishwa kwa dharura jioni hii. Kumetokea wizi wa majumbani usiku kwa siku tatu mfululizo. Serikali na Jeshi la polisi chukueni hatua. Familia zaidi ya saba zimeibiwa majumbani usiku ndani ya...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya taa yafanyika kwenye ukumbi wa kuteleza kwenye barafu kwa kasi wa kitaifa

    Katika kipindi cha Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi, maonesho ya taa yamefanyika kwenye ukumbi wa kuteleza kwenye barafu kwa kasi wa kitaifa.
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume afariki akifanya tendo la ndoa, mwanamke asema "Alihema kwa kasi kisha akaanguka pu!"

    Mwanaume mmoja amefariki dunia wakati akiwa faragha na mpenzi wake katika nyumba ya wageni kwenye ghorofa moja jijini Nairobi. Taarifa za Polisi zinasema, Joseph Ngaruiya umri miaka 40, anadaiwa kupata shida ya kupumua akiwa na mpenzi wake katika vyumba vya Myra, Jumatatu, Februari 28, 2022...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Michezo ya majira ya baridi kati ya walemavu yaendelea kwa kasi nchini China

    Baada ya China kupata nafasi ya kuwa mwenyeji wa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing, michezo ya majira ya baridi ya walemavu imeendelezwa kwa kasi nchini China. Katika miaka 6 iliyopita, shule nyingi maalumu kwa ajili ya walemavu zimeanzisha masomo ya michezo ya...
  15. JamiiForums Tanzania TCRA: Kasi ya internet inasababisha kifurushi kuisha haraka

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetaja vitu vitatu vinavyosababisha kuisha kwa bando haraka ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa kasi ya internet, uwezo wa simu janja na kuwa na application nyingi kwenye simu. Pia imesema gharama za kupiga simu kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine nchini...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Ajira za muda mfupi Manispaa ya Temeke, Rushwa imerudi kwa kasi

    Kuna ajira zimetagazwa za muda mfupi hapa Manispaa ya Temeke lakini ni rushwa kwa kwenda mbele mpaka upate. Watendaji wa kata wana majina yao na wanatamba sana kuwa wanao-appply wanapoteza muda maana wao ndio wana majina. Sasa mpaka kumshawishi mtendaji aingize jina lako lazima mlungura upitike
  17. JamiiForums Tanzania Kufufuka kwa wafu - Ni maajabu yanayoendelea kwa kasi nchini huku wanahabari/jamii wakizipa nafasi ndogo kama habari zinazohitaji uchunguzi wa kina

    Habari za watu kufa na kuzikwa na baadae kupatikana wakiwa hai ni za kushangaza mnooo. Yaani mtu amekufa kwa kuugua au ajali au ghafla tuu, hospitalini wanahakikisha amekufa na wanatoa cheti cha kifo na mwili mnakadhiwa, mnaenda kuzika na viongozi wa serikali za mtaa, viongozi wa dini na...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga atoa wimbo wakati kampeni za uchaguzi zikishika kasi

    Magombea Urais nchini Kenya, Raila Odinga ametoa video ya wimbo alioshirikishwa, wakati kampeni za uchaguzi nchini humo zikishika kasi. Odinga ambaye ndiye mpinzani mkuu kwenye uchaguzi huo ametoa video hiyo ya wimbo unaokwenda kwa jina la Leo ni Leo (Remix).
  19. JamiiForums Tanzania Idadi ya watu wanaonuka midomo inaongezeka kwa kasi Tanzania

    Imekuwa zaidi ya ugonjwa unakuta mtu amependeza hasa aila akikusogele kuongea mdomo wake unato harufu si nzuri. Nashauri elimu itolewe kwa kila namna kuondoa hili tatizo.
  20. JamiiForums Tanzania Lugha asili, Makabila, Mila na Utamaduni wa Mtanzania vinafutika kwa kasi sana

    Niko kijijini kabisa huku ndanindani. Nimekuja kumzika bibi yangu aliye fariki akiwa na miaka 97 lakini akiwa bado mrembo na nguvu zake. Kilichonuogopesha na kunishangaza, mimi wakati nakua, tulikiwa hatujui Kiswahili, tunabonga tu lugha yetu ya asili, huku tukisimuliana hadithi za Masala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…