kasi

KASI (1430 AM, "News Talk 1430") is a radio station licensed to serve Ames, Iowa. The station is owned by iHeartMedia, Inc. and licensed to iHM Licenses, LLC. It airs a News/Talk radio format.The station was assigned the KASI call letters by the Federal Communications Commission.The transmitter and tower are located in northwest Ames. According to the Antenna Structure Registration database, the tower is 124.4 m (408 ft) tall.In January 2016 KASI applied for an FM translator to rebroadcast the AM signal at 94.1 MHz. That application has since been approved to KASI by the FCC as of February 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya plastiki imerudi kwa kasi ya 5G

    January Makamba alifanikiwa sana kuweka mikakati ya kupambana mifuko ya plastiki. Ile mieusi ya kubebea chipsi nk. Hongera kwake. Mifuko hiyo imerudi tena kwa kasi kubwa na safari hii ni rangi ya buluu bahari. Hata Waziri Suleiman Jaffo anazijua. Tunakwama wapi vita ya mazingira?
  2. JamiiForums Tanzania Thamani ya pesa yetu inazidi kuporomoka. Shida ni nini?

    Leo dola moja ni Tsh 2350 mtandaoni. Gharama za vitu tunavyoagiza itazidi kupanda. Shida nini pesa yetu kuporomoka namna hii? Hivi kuna namna tunaweza kuachana na kuagiza vitu kwa dola?
  3. JamiiForums Tanzania UN: Tanzania Namba Tatu kwa Kasi ya Ukuaji wa Uchumi Afrika mwaka 2023

    Umoja wa Mataifa, UN unaripoti kwamba Tanzania kuwa namba 3 Kwa Kasi ya kukua Kwa uchumi Africa ikitanguliwa na Ivory Coast na Rwanda. Uchumi wa Tanzania unatarajia kukua Kwa wastani wa Asilimia 5.6 mwaka huu wa 2023 ikiwa ni Juu ya makadirio ya IMF/WB na Serikali ya ukuaji wa 5.3% My Take...
  4. JamiiForums Tanzania Sudan: Wanadiplomasia na raia wa kigeni waendelea kuhamishwa kwa kasi

    Idadi ya Nchi zinazowahamisha raia wake kutoka Sudan inazidi kuongezeka kutokana na mapigano yanayoendelea kuwania madaraka katika Jiji la Khartoum. Baadhi ya mataifa yanayoondoa raia wake ni Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Hispania, Argentina, Colombia, Ireland, Portugal...
  5. JamiiForums Tanzania Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

    Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David...
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI Kinachosababisha mlevi kuyumba ni kasi ya mzunguko wa damu kuongezeka

    Kuna mahala nimesikia kuwa mlevi huyumba yumba kwa kuwa kasi ya mzunguko wa damu yake huwa kubwa. Hii ni kwa sababu pombe hiyo husababisha mabadiliko hayo Je, ni kweli kuwa hali ya mlevi kuyumba yumba husababishwa na ongezeko la kasi ya msukumo wa damu? Na sio pombe kuathiri mishipa ya fahamu?
  7. JamiiForums Tanzania Tafiti: Ugumba kwa wanaume unakua kwa kasi sana

    Imegundulika kua katika kipindi cha takribani miaka 50 nyuma kufikia sasa, kumekua na upungufu wa zaidi ya 50% ya manii(sperm) kwa wanaume wote duniani, na kusababisha kukua kwa kasi, kwa tatizo la ugumba kwa wanaume. mbaya zaidi, upungufu huu umeonekana kua mkubwa zaidi kwa wanaume wakiafrika...
  8. JamiiForums Tanzania life linavoenda kasi

    kuna muda una mchukia mtu bila yeye kujua 🤞ila ukipa shida unamshirikishaa ana kusaidia kiroho safi kabisa heshim watu this 's life✅
  9. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi, hii kasi ya kuwapa ardhi raia wa kigeni kulikoni? Kelele zimekuwa nyingi, Sasa unataka kunyang'anya familia ya Karume nyumba!

    Rais Mwinyi amekuwa akipigiwa kelele sana kwamba ananyang'anya wananchi ardhi anawapa wageni kwa kisingizio Cha kukodisha. Baadhi wanasema, anachukua ardhi hiyo yeye mwenyewe kwa mlango wa wawekezaji. Anahamisha mashule, maeneo ya shule anawapa wawekezaji, anakodisha visiwa kwa bei ya kutupa...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali inavyosambaza kwa kasi mashine za X-Ray na Ultrasound nchini

    Hadi kufikia mwaka 2023 jumla ya mashine za mionzi (X-ray) za kisasa za kidijitali 213 zimesimikwa huku vipimo vya Utra sound 67 vimesambazwa na kusimikwa kwenye vituo vya kutolea huduma za afya msingi nchini. Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Afrika Mashirika kwa kasi kubwa kuhamia kwenye magari ya umeme

    Kwa mujibu wa ripoti ya E-Mobility Alliance, ambayo ilitolewa mwezi uliopita, inaonyesha kuwa kuna angalau magari 5,000 ya umeme (EVs) nchini Tanzania Ingawa uagizaji na utumiaji wa magari ya umeme yana changamoto nyingi kwa nchi Tanzania serikali imeanza kuweka nguvu kutanua wigo wa watumiaji...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwa Kasi iliyopo ya viongozi kwenda Kwa wataalam huko Tanga mamlaka za uteuzi zisilalamikiwe bali tuziombee

    Ukikaa vijiwe vya Kahawa Tanga hasa kwamsisi, Handeni na Pangani ukasikiliza Stori za wananchi utatambua umuhimu wa kuziweka mamlaka za uteuzi mikononi mwa Mungu. Watu wanaratiba kabisa yakwenda kuongeza nguvu za kimamlaka wengine wanatumia magari binafsi huku wachache wakitumia magari ya umma...
  13. JamiiForums Tanzania Yale mambo ya zama za Magufuli zimerudi tena kwa kasi: Bora tumefungwa

    WanaCCM na wanasiasa walishaandaa mabango na Mapambio ya kupeleka Sifa na Utukufu kwa Mama... Ingesemwa, "TUNAMSHUKURU MAMA KWA USHINDI WA LEO...NA MILIONI KUMI TAYARI TUNAZO KIBINDONI...NANI KAMA MAMA...MAMA KAFANIKISHA.!" Alafu uwanja Ukarabati wa taa ovyo...WALIMU WANALIPISHWA FEDHA ZA...
  14. JamiiForums Tanzania Majeruhi ajali ya mwendokasi aruhusiwa kutoka hosptali

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imesema majeruhi pekee wa ajali ya basi la mwendokasi iliyotokea tarehe 22/2/2023 Jijini Dar es Salaam, Osam Milanzi ameruhusiwa kutoka Hospitali baada ya afya yake kuimarika. === Tunapenda kuuarifu umma kwamba majeruhi pekee wa ajali ya basi la...
  15. JamiiForums Tanzania Picha: Wachezaji Kinda Wanaokuja kwa kasi Chama na Inonga Wakutana na Mayele, Wamuomba picha ya kumbukumbu

    Kushoto ni mchezaji kinda anayekuja kwa kasi anayechezea Kilabu cha mpira cha Simba Sc na Kulia Kabisa ni Mchezaji anayetajwa kuwa tarajio kubwa kwa kikosi hicho, Wakiwa katika picha ya pamoja na mchezaji Nyota anayekipiga katika klabu maarufu na kubwa ukanda wa mashariki ya Afrika na Afrika...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia amegusa mioyo ya Wamarekani - Balozi wa Marekani, Tanzania

    Marekani imeahidi kuendelea kuiunga mkono Tanzania katika kuimarisha uchumi na maendeleo ya wananchi kwa kutoa fedha na ujuzi pamoja na kuvutia uwekezaji kupitia ubia kati ya sekta ya umma na binafsi. Ahadi hiyo imetolewa na Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania, Michael Battle alipokutana na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yaanza kutumia 'soft power' yake kuzuia moto wa kukataa ushoga kushika kasi Afrika

    Baada ya Vladmir Putin kutangaza kuwa Taifa hilo linapinga ndoa za jinsia moja, ilipelekea watu wengi sana wa dunia ya tatu kumuunga mkono licha ya udhalimu wake wa kupeleka majeshi Ukraine kuivamia ardhi ya nchi hiyo ili kupora baadhi ya maeneo. Uungwaji mkono huu wa Vladmir Putin kutoka kwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe tatizo kubwa la waafrika weusi kubaguliwa Tunisia ni kasi ya kuzaa na wanawake wao

    Uhusiano kati ya wanaume weusi na wanawake wa Tunisia kufikia hadi kuzaa imeshika kasi hadi kuwashtua. Mahusiano kama hayo hayakuwepo zamani. Kwa miaka ya karibuni hali imekuwa tofauti na kuleta wivu na chuki. Wahamiaji kutoka sub Saharan wako elfu 21 moja tu kati ya idadi ya watunisia million...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeongezeka uzito kwa kasi ya ajabu; Kilogramu 9 ndani ya wiki 2 (72-81)

    Hii ni baada ya mahakama Kutupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa Na dada zangu wawili na waume zao(mashemeji) Sijui nani aliwadanganya kumbe baba aliniandika Kusimamia Mali zake kwenye wosia Kuhusu mgawanyo wa Mali za urithi Na hatimaye mahakama kunipa umiliki wa urithi 100% (Mashamba 2, nyumba...
  20. JamiiForums Tanzania Rapa mwenye kasi kuliko wote duniani, Twista, amepotelea wapi?

    Eti wakuu huyu mwamba alipotelea wapi. Alivunja rekodi ya kuwa rapa mwenye kasi zaidi akifuatiwa na eminem. Licha ya kasi pia alitoa nyimbo kali nzuri. Kapotelea wapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…