kashfa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi kama mkuu wa usalama anahusishwa na na kashfa za ufisadi wa kupindukia, tunaweza sema bado tuna nchi?

    Wakuu mimi kuna kitu bado sielewi, hivi inawezekana vipi huyu mtu kuwa na kashfa mpaka watoto wake kuanikwa hadharani anaweza vipi kulinda maslahi mapana ya nchi? Kama yeye yuko hivyo vipi hao wa chini yake hali ikoje? Ina maana huko idarani ndo kumeoza kabisa kwa viwango hivi? Hivi bado...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania wepesi wa kusahau. Kuna ile kashfa ya Kikwete kununuliwa suti za jamaa wa Dubai, ile scandal iliisha kimya kimya. Mjueni Kikwete vizuri.

    Wakati wa hafla iliyofanyika Kempinski wakati wa utawala wa Kikwete, kuna mwekezaji mmoja kutoka Dubai alitamka kuwa wanamvisha Kikwete na walimpa zawadi ya suti ambazo zilimbamba vizuri. Habari ilipokuwa si siri tena, Kikwete kama kawaida akajitokeza na kudai anasingiziwa na magazeti...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa kashfa za Ndugu Polepole, Kikwete ameshakosa uhalali wa kushauri Taifa?

    Kwa kauli ya Ndugu Polepole,kwamba Kikwete ni mmoja wa kundi la wana mtandao wanaokwamisha Taifa na Chama Cha Mapinduzi,je Kikwete anao uhalali tena wa kushauri Taifa? Au wenye uhalali abakie Mzee Warioba na Mzee Butiku!?
  4. JamiiForums Tanzania Unapata wapi ujasiri wa kumwacha kwa kashfa Mpenzi wako ambaye ana picha zako zako utupu?

    Swali langu ni hilo tu,mtu ambaye ulishamtumia picha/video zako ukiwa uchiiii na unajua bado anazo, unaweza vipi kuanza kumdhalilisha mbele za watu?
  5. JamiiForums Tanzania DOKEZO GE2025 Kashfa kubwa mchujo wa Ubunge Mwanga. Kama wewe sio Muislam hupiti. Sikiliza audio iliyovuja

    Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: John Mrema alijimikishia Chadema Media TV

    Kweli CHADEMA ilikuwa ni shamba la bibi. John Mrema alijimikishia Chadema Media TV
  7. JamiiForums Tanzania Diwani wa Kunduchi, Michael Urio na Mkiti wa Serikali ya Mtaa Bwana Kibele Katika Kashfa nzito

    Nani anasema ukweli katika sakata hili linaloendelea la kuwavunjia watu nyumba na makazi yao kwa kuwarubuni. Ni diwani wa kata ya KUNDUCHI bwana MICHAELI URIO ambaye aliwaambia wananchi : hwawezi kutajirika kwa pesa za fidia au bwana KIBELE anyewapigia wananchi simu usiku ili wampelekee hati zao...
  8. JamiiForums Tanzania Katoka hija juzi tu Leo kanaswa kashfa ya uzinzi alienda hija kusaka views au ibada

    Kwa yaliyotrend ni doa sana kwa alichokiendea hija ni ibada kila muumini utamani kabla hajaondoka duniani angalau aipate nafasi hio. Kupata kashfa kubwa kama ile si jambo la kusudio la kwenda kule. Ukiamua kufanya ibada achana na maasi na sio huku unataka kule unataka. Alienda kutrend views...
  9. JamiiForums Tanzania Kashfa ya Watergate iliyomgo'a Richard Nixon kwenye kiti chake cha Urais

    Naam am back, Wadau wa JF je mnaikumbuka kashfa au skendo maarufu ya kisiasa kuwahi kutokea na kuitikisa Marekani miaka ile ya 1970s? Hii ilikuwa ni kashfa kubwa ya kisiasa iliyomkumba rais wa 37 wa marekani wakati huo bwana Richard nixon iliyopelekea mgogoro mkubwa wa kikatiba miaka ya...
  10. JamiiForums Tanzania Njia za kukabiliana na kashfa za uongo, umbea na uzushi dhidi yako kwa kitu ambacho haujasema wala haujafanya

    MADHARA YA KASHFA NA TUHUMA ZA UZUSHI Madhara ya kashfa ni kwamba unaweza kufukuzwa kazi,kutengwa na familia pamoja na jamii, unaweza kupoteza ajira, unaweza kupoteza uaminifu katika jamii, unaweza kupoteza heshima yako kwenye jamii, mahusiano/ndoa kuvunjika ghafla, mauaji, umwagaji damu hasa...
  11. JamiiForums Tanzania Mbowe ni mgumu kuelewa, watu kama hawa ni pasua kichwa, ushauri wa kuachia madaraka ulikuwa mzuri ili ufute kashfa ya uroho wa madaraka lakini haelewi

    Mbowe ni mgumu kuelewa, watu kama hawa ni pasua kichwa, ushauri wa kuachia madaraka ulikuwa mzuri ili ufute kashfa ya uroho wa madaraka lakini haelewi Matokeo yake Wanachama pamoja na Wananchi watapoteza imani Lakini pia CHADEMA itapuuzwa na CCM pale itakapokuwa ikiwanyooshea kidole kwa madai...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume acheni kuwatumikisha wake zenu, waheshimuni

    Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa. Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?. Hajui...
  13. JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu wa Canterbury ajiuzulu kwa kashfa ya unyanyasaji iliyokumba Kanisa

    Askofu Mkuu wa Canterbury ametangaza kujiuzulu wadhifa wake kufuatia ripoti ya kulaaniwa kuhusu mnyanyasaji mkubwa wa watoto anayehusishwa na Kanisa la Uingereza. Uchunguzi uligundua kuwa Justin Welby, 68, "angeweza na alipaswa" kuripoti unyanyasaji wa John Smyth kwa wavulana na vijana kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Rais wa Guinea Ikweta, amteua Zenón Avomo kurithi Mikoba ya Baltasar Engonga, aliyeng’olewa kufuatia kashfa ya video za ngono 400

    Zenón Avomo ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) akichukua nafasi ya Baltasar Engonga, aliyeng’olewa kufuatia kashfa ya ukiukaji wa maadili katika ofisi ya umma. Kashfa hiyo iliibuka baada ya uchunguzi kubaini uwepo wa video zaidi ya 400...
  15. JamiiForums Tanzania Guinea: Video ya Baltasar Engonga akifungwa Pingu na kufikishwa Rumande kwa kashfa ya video za ngono ofisini

    Mkurugenzi wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) nchini Equatorial Guinea, Baltasar Ebang Engonga, ameonekana akiwa amefungwa pingu na kupelekwa kituo cha polisi baada ya video za ngono zilizorekodiwa kuenea mitandaoni siku kadhaa zilizopta. Engonga amekuwa gumzo kubwa kufuatia...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali ya Equatorial Guinea yaunyima uwezo WhatsApp usambazaji wa picha na video za ngono za Afisa wa Serikali

    Naona Serikali Equatorial Guinea wanafanya kila mbinu kuhakikisha mambo yasiwe mengi baada ya huyo jamaa kuchafua hali ya hewa kwenye taifa hilo na nje ya taifa hilo ============================ Serikali ya Equatorial Guinea imeminya Mtandao wa Whatsapp Nchini humo ili Raia wake wasiweze...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Bashe anaingia bungeni kesho akiwa hana kashfa ya Sukari

    JAJI wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Anorld Kirekiano amemsafisha Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwenye kashfa ya utoaji wa vibali vya sukari baada ya kuitupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mpina Mbunge wa Kisesa. Bunge linaanza kesho huku Bashe akiingia bungeni akiwa ni Mr Clean hana kashfa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa, taratibu zimefuatwa kujiuzulu Kwa Mzee Kinana?

    Salaam, Shalom!! Tangu uhame CHADEMA kwenda CCM umekuwa ukihuburi udikteta wa Mwenyekiti Mbowe kwamba hafuati taratibu nk, nk. Muda uliokaa CCM nadhani umekwishasoma Katiba, Ilani na Sheria na taratibu za chama na kuzielewa, Swali: Ndugu Msigwa, kujiuzulu Kwa Makamo Mwenyekiti wa Chama chako...
  19. JamiiForums Tanzania Ayubu jiandae kesho wanakupa kashfa kama Manula ilivyotokea kwenye dabi iliyopita Simba kufungwa goli 5

    Nawaza na kesho watasema Manula na Ayubu kawafungisha tena. Lengo si kuwatisha juzi niliandika goli 4 mpaka saa 10am goli zimefikia 5 ft kwahio Na hapo kuna matatu au 5 bila, 4 moja au 3 mbili. Kati ya haya ni matokeo ya kesho Yanga akishinda Kaka Ayubu hawa wahuni wanakupenda kabla ya derby...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Nani yuko nyuma ya kashfa ya Sukari?

    KASHFA ya Sukari iliyoibuliwa na Mbunge Mpina hivi karibuni bungeni imemgharimu hadi kufukuzwa bungeni vikao 15 huku Bunge la Mwezi Agosti ambalo Mpina hatashiriki litafanya kazi ya kubadilisha na kutunga sheria mbalimbali... Swali Je hizo sheria zinazokwenda kutungwa huku Mpina akiwa amefukuzwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…