kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Matatizo/Mambo 7 Ya Kukagua kwenye Simu Used Kutoka Dubai , Uk , USA Kabla ya Kununua Kwenye Maduka ya Kariakoo.

    #Mwanakidigitali utajisikiaje umetoa pesa yako kununua simu kisha ukauziwa simu yenye matatizo kibao. Moja kati ya hofu ya Wateja wengi kutoka Tanzania wanapotaka kununua simu / Laptop used kutoka Dubai ni kuuziwa bidhaa zenye shida kedekede na pia bidhaa feki. Nimekuwa kwenye soko la...
  2. JamiiForums Tanzania Nguvu inayotumiwa na vijana Kwenye mijadala ya Timu mbili za Kariakoo meshauriwa kuhamishiwa:

    Vituo karibu vyote vya redio pamoja na vya madhehebu ya dini vimehamia kwenye mpita. Vituo hivyo, mbaya zaidi, kuanzia asubhi mpaka usiku wanajadili timu mbili za Kariakoo. Inasemekana vijana wanaojadili mpira mpaka kusahau wake zao na kuchapiwa na wasio washabiki wa mpira ni wengi na wangeweza...
  3. JamiiForums Tanzania Thread ya machimbo ya wachina nguo vyombo viatu kariakoo Kwa wote manayoyajua machimbo weka hapa hii inaitwa fuluza winga na utapeli kariakoo

    Wakuu hii ni thread ya kujua machimbo ya wachina nguo viatu vyombo mashuka Kila kitu yaani mchina alipo na sisi tupo tumechoka kupigwa Kwa kigezo Cha kuitwa washamba hivyo washamba Sasa tumejanjaruka tunawaambia nyie mawinga Mali mtaipata shambani Ili muache kukaa kariakoo mkiibia wananchi pesa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Summary ya Matukio na Maoni Yangu Kuhusu Derby ya Kariakoo

    Hii ni summary ya matukio yaliyojitokeza kuhusu Derby ya Kariakoo na Maoni yangu. Nagusia mambo muhimu tu, sitaorodhesha maoni sijui ya wachambuzi maana wengi wapo na bias: Inatangazwa tarehe ya Derby ya Kariakoo kama itachezwa tarehe 8 March Maandalizi yamepamba moto huku kila pande...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Serikali iwaache wachina wafanye biashara Kariakoo: watanzania wameibiwa na kudhulumiwa sana na wale wafanyabiashara wanaojiita wazawa

    Baba wa Taifa alituaambia kaburu siyo rangi, hata km we ni mweusi km tabia zako ni za kikaburu za kibaguzi we ni kaburu tu! Wafanyabiashara wale ni wezi, ni waongo, bei wanazouzia bidhaa ni za dhuluma, kwanini bei yao itofautiane sana na ya wachina. Wachina wale zile bidhaa kule kwao hawapewi...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna jamaa kaibiwa simu Kariakoo halafu kwenye laini yake ya Yas mixx kulikuwa na milioni 5, wameiba zote

    Hivi Hawa jamaa inakuaje mpaka wanaweza kuiba pesa na namba ya Siri hawana maana Leo ni kilio jamaa yetu hapa mtaani aliibiwa simu jana na alishapigia Yas wakaifunga laini ila Leo amerenew laini Leo anakuta Salio zero inawezekana vipi Hawa wezi kutoa pesa huku wakiwa hawana namba ya Siri Wala...
  7. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi: Kama Yanga wameenda CAS ni kichekesho, busara itumike sio kanuni

    Sakata la kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, iliyokuwa ichezwe Machi 8, 2025, limechukua sura mpya. Awali, suala hili lilionekana kama masihara, lakini sasa linaonekana kuingia katika hatua nzito. Mwananchi Digital imebaini kuwa Yanga imewasilisha rasmi kesi hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Ivi wachina wanatumia mawinga kama Wabongo kariakoo

    Maana imezoeleka ukienda kununua bidhaa unatajiwa Bei ya juu tofauti na bei halisi na hao wanajiita mawinga na hii inaumiza watanzania wengi Kila siku. Je Kwa Hawa wachina Hali ikoje,?
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kijana wa UVCCM anasema bila CCM Kariakoo isingekuwepo kama ilivyo sasa, kulikuwa na vibanda vya nyasi

    Akizungumzia maendeleo yaliyoletwa na chama cha mapinduzi (CCM) tangu tupate uhuru, kada wa chama hiko - Antipas Pamba ambaye ni Katibu wa umoja wa vijana chama cha mapinduzi (CCM) tawi la Milenia 3 kata ya Kimara, anasema Kariakoo zamani ilikuwa na vibanda vya nyasi tu. Pia soma: Pre GE2025...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kariakoo ni kitovu cha nchi ya Tanzania kibiashara lakini uhuni ni mwingi bado

    Wamekuwa wakitusaidia kupata vitu kwa bei nafuu lakini pia wamekuja na ubunifu mwingine wa usafirishaji kwa njia inayoitwa CARGO ni nzuri na ya haraka.. Pia wanajitahidi kiuaminifu kwa asilimia kubwa sasa, hela inakuwa ktk eneo salama Ila dosari ipo kwenye utumaji wa mzigo hasa watu wa mikoani...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kuhairishwa kwa debi ya kariakoo yachukua mlengo WA uchaguzi wa 2025 Zanzibar leo

    Bodi ya ligi yaangalia kuhairishwa kwa debi ya kariakoo
  12. JamiiForums Tanzania Mwizi wa simu anaepigwa hapa kariakoo mda huu ni hatari sana

    Aisee jamaa anapigika hapa kariakoo mda huu ni mwizi wa simu wale ambao ukipishana nao wanasema umewakanyaga dakika 2 ukijisachi mfukoni huna kitu Leo naona kajichanya hesabu zake zimefeli jamaa wanaelekea kumchoma moto hapa aisee Hawa jamaa sijui hawakomi
  13. JamiiForums Tanzania Yanga yatoa msimamo mkali: Yadai pointi 3 kwa Simba, yakataa mechi ya marudio na kutaka Kamati ya Ligi Kuvunjwa!

    Kamati ya Utendaji ya Yanga, chini ya Rais Mhandisi Hersi Said, imefanya kikao cha dharura kujadili sintofahamu ya kuahirishwa kwa mechi yao dhidi ya Simba iliyopaswa kuchezwa tarehe 8 Machi 2025. Katika taarifa yao, Yanga imetoa pole kwa mashabiki waliokuwa wamejitokeza kushuhudia mchezo huo...
  14. JamiiForums Tanzania Usiogope kwa 200,000 mpaka 250,000 unapata fremu ya biashara kariakoo.

    Habari wana JF it's another beautiful day. Thread hii inahusu kariakoo, Kuna watu wanahitaji/tamani kufanya biashara Kariakoo lakini wanahofia bei za fremu lakini pia hawajui wanaanzia wapi kupata fremu za kufanyia biashara kama za kuuzia nguo, viatu, urembo, vyombo, huduma za kifedha kama...
  15. JamiiForums Tanzania Maoni yangu juu ya kuahirishwa kwa derby ya Kariakoo

    MAONI YANGU JUU YA KUAHIRISHWA KWA MECHI YA WATANI WA JADI KATI YA YANGA DHIDI YA SIMBA MAARUFU KAMA KARIAKOO DERBY YA TAR. 8/03/2025 Naanza kwa kuwasalimia wadau na wapenzi wa soka. Naomba nieleweke kwamba ninaandika makala hii nikiwa nimeweka ushabiki wangu pembeni. Iko hivi, yaliyotokea...
  16. JamiiForums Tanzania SI KWELI Barua ya bodi ya ligi kuwaambia Simba mchezo upo kama kawaida, Kariakoo Derby Machi 8, 2025

    kuna ukweli juu ya hii taarifa au uzushi tu
  17. JamiiForums Tanzania Bashiri utabiri wako kuelekea Kariakoo Derby

    Tuone kipawa chako cha ubashiri. Kuelekea mchezo wa weekend hii, Yanga Vs Simba, tabiri matokeo yatakuaje. Mimi naanza Yanga 1-3 Simba, Tutakuepo
  18. JamiiForums Tanzania Derby ya Kariakoo TFF na Bodi ya ligi lindeni mali za uwanja kwa mchezo safi.

    Asikwambie mtu bhana, Simba na Yanga ndizo timu zinazoendesha biashara ya mpira nchini; hata timu nyingine na Dar na mikoani mapato yao yanazitegemea Simba na Yanga; wadhamini wooote wanadhamini mpira kwasababu ya Simba na Yanga. Hivyo, nisingeona ajabu kama mechi zoooote zinazozihusisha Simba...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini iitwe Kariakoo Derby wakati ni timu ya Simba SC pekee iliyo Kariakoo?

    Mada zangu zina kawaida ya kuwa mbele ya muda. Ukija kibishibishi muda utakuumbua. Kuna siku nilihoji uhalali wa kusema ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora Africa, wengi wakanibishia bila chanzo cha kuaminika cha hiyo ranking. Matokeo yake sasa hivi, kila mtu, kuanzia mashabiki, wachambuzi hadi...
  20. JamiiForums Tanzania Kariakoo derby kupigwa Saa 1:15 usiku jumamosi, TFF wamezingatia kweli Usalama wa mashabiki?

    Mechi ya watani Simba Vs Yanga itapigwa saa 1:15 usiku kutokana na sababu za mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Mechi ikianza Saa 1:15 maana yake itaisha saa 3:00 usiku Vipi usalama kwa mashabiki watakaojitokeza na ambao wengine huambatana na familia zao, TFF wamezingatia kweli suala la usalama?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…