kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uzi wa TV bei za jumla kariakoo

    Huu uzi nitapost bei za jumla za tv brand zote . Ni kwaajili ya wafanyabiashara wa tv mikoani na wateja wanahitaji pieces nyingi pekee. Tupo kariakoo mtaa wa magila 📍 Whatsapp 0745588735
  2. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Miaka 13 Adai Kupigwa Kikatili na Mwajiri Wake Kariakoo

    Mtoto anayefahamika kwa jina la Nikson (13), ambaye alikuwa akifanya kazi katika eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam, ameripotiwa kupata majeraha makubwa baada ya kile kinachodaiwa kuwa kipigo kutoka kwa mwajiri wake. Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana, mtoto huyo alikuwa akiomba arejeshwe...
  3. JamiiForums Tanzania Moto wazuka katika moja ya Ghorofa Mtaa wa Agrey, Kariakoo

    Leo Juni 15, 2026, moto umezuka katika moja ya nyumba zilizopo Mtaa wa Agrey, Kariakoo, Jijini Dar es salaam huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijafahamika. Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamedai kuwa moto huo ulianza ghafla na kisha kusambaa kwa kasi ndani ya jengo husika. Jeshi la...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mgambo Kariakoo wanatumia kigezo cha 'faini' kuomba rushwa kwa Bodaboda na Bajaj

    Kuna mgambo Kariakoo wanakamata bodaboda kila siku na kuwabambikia faini kuanzia Shilingi elfu 50 hadi 70, mbaya zaidi wanakuomba rushwa si chini ya elfu 30 ukikataa wanapeleka pikipiki yako kule Mnazi Mmoja. Baada ya pale wanakujazisha fomu kwa nguvu kwamba umefanya wrong parking, baada ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kariakoo sio sehemu salama. Wengi mnapasifu mnapata vihela

    Kariakoo sio sehemu salama. Wengi mnapasifu mnapata vihela ila ni sehemu hatari ,is like hell,Haina usalama kiafya,kiuhai kikila kitu. Yaani kama ndio sehemu tunajivunia! We are done. Leo nikiwa naungaunga daladala kikaishia buguruni, nikaunga tena daladala lingine la mnazi, nikashuka karume...
  6. JamiiForums Tanzania Machimbo ya Kariakoo yapo usiku wa manane tu, mchana hutayaona utadalaliwa tu

    1. Ukitaka chimbo la bidhaa zote acha usingizi, nenda Kariakoo muda kama huu saa 8 za usiku 2. Machimbo ya bei nafuu sio Siri, yapo wazi usiku tu kuanzia saa 7,8,9 ndo utayaona 3. Usije Kariakoo saa 5 asubuhi 😂 eti oooh naulizia chimbo la vifaa vya simu, chimbo la abaya, Chimbo la Raba...
  7. JamiiForums Tanzania Operesheni ya kuondoa Spika za matangazo Kariakoo Yaiva!

    Jiji la Dar es Salaam limeanza rasmi operesheni ya kuondoa spika za matangazo ya biashara zinazotajwa kusababisha kelele katika maeneo mbalimbali ya biashara, hususan Kariakoo, kwa lengo la kurejesha utulivu na kuboresha mazingira ya wafanyabiashara pamoja na wanunuzi. Hatua hiyo inalenga...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta chimbo nzuri la kariakoo la saa, jewellery, accessories

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema na kamtaji changu cha 1M hapa. Nataka kuanzisha biashara ya kuuza saa ,accessories, jewellery kwa anayefahamu machimbo mazuri zaidi naomba tusaidiane
  9. JamiiForums Tanzania Apartment For Sale at Kariakoo

    Apartment For Sale at Kariakoo. Location: Livingstone/Tandamti Street. Features: 2nd Floor, No Lift, 3 Bedroom House: 1 Master Bedroom, 2 Normal Bedroom, Sitting with Dinning Room, Kitchen, Store Room, Common Toilet, Balcony. Price: Tsh. 200M (Slightly Negotiable). Document: Unit Title. For...
  10. JamiiForums Tanzania Midoli ya kike iliyo uchi ipigwe marufuku Sinza na Kariakoo!

    Midoli ya kike yenye kuonyesha viungo vya uzazi vya mbele na vya haja kubwa imekuwa ikizagaa madukani na kuvalishwa chupi na mingine sidiria pasi na kusahau shanga! Midoli hiyo pia ambayo ipo uchi imekuwa ikiacha maziwa yaliyosimama yakiwa wazi, huku watu wa jinsia zote wakijione pasi na...
  11. JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka yupo Mahakamani kwa ajili ya kesi ya wafanyabiashara 'wapangaji' katika jengo la ghorofa lililoporomo Kariakoo

    Wakili Peter Madeleka, tayari amefika kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Ardhi ambapo kesi inayowahusu waliokuwa wafanyabiashara 'wapangaji' kwenye jengo la ghorofa lililoporomo Kariakoo, Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka 2024 inaanza kusikilizwa leo, Jumatatu Mei...
  12. JamiiForums Tanzania Shigongo: Biashara za Wazawa Kariakoo zinafungwa, tutunge sheria Biashara chini ya Bilioni 50 isifanywe na Wageni

    Katika kikao cha Bunge kilichofanyika leo Mei 22, 2026, Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ametoa mchango wake kwenye Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa mwaka wa fedha 2025/2026 akiibua kilio cha wafanyabiashara wazawa wa soko kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam...
  13. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Plot For Sale at Kariakoo Gerezani

    Plot For Sale. Plot details: Prime area, along tarmac road near new SGR train station and Dar port. •Perfect for; Yard, Garage, container’s storage, godown. Location: Gerezani street/Sokoine drive. Size: 903sqms. Permit: Residential & Commercial. Document: Title Deed. Price: Tsh 2B. For more...
  14. JamiiForums Tanzania Winga wa Kariakoo Pitia Hapa!

    Habari mawinga wa kariakoo. Kuna wazo nimepata la, ecommerce ila kwa njia ya WhatsApp Business, ambapo mteja anatafuta bidhaa husika mfano pazia na kukutana na mawinga wa hiyo bidhaa, winga wenye completion rate kubwa ya oda ndiyo anakuwa juu kwenye search engine. Baada ya mteja kuchagua winga...
  15. JamiiForums Tanzania Derby ya Kariakoo na Derby za Kwa Bed 😉🔥

    Guys leo ni weekend, tutaenda kushuhudia baadaye derby ya Kariakoo na kuona magoli ya moto 🔥 Kabla ya hiyo derby sasa, hebu tuzungumzie magoli ya kwa bed 😅 Kuna goli likifungwa unasahau kabisa kuwa mboga mboga bado wapo sana mpa ripoti ile unasahau kabisa yoooooo ni fire 🔥 😅 Ni derby gani...
  16. JamiiForums Tanzania Kariakoo – Fremu ya Wakala Inapangishwa

    Fremu kwa ajili ya M-Pesa, Airtel Money, Mix by Yas inapatikana Msimbazi Rd, karibu na Kituo cha Polisi Msimbazi. 📞 Kwa bei na maelezo zaidi: Call/WhatsApp 0784 225 000
  17. JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi Diwani wa Kariakoo asiye na Ithibati kuwa mtangazaji?

    Inawezekanaje TCRA na JAB kuruhusu Diwani wa CCM Kata ya Kariakoo Haji Sunday Manara kufanya kazi za utangazaji wakati bado ni mwanasiasa active mwenye nafasi ya uongozi? Je, sheria inaruhusu hali hiyo? Je, kweli anaweza kuwa fair mbele ya hadhira? Tumeshuhudia interview mbili alizofanya kwa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaa wa Swahili - Kariakoo unatia aibu Taifa kwa wageni

    Kariakoo ni kitovu cha biashara na panaingiza fedha nyingi sana lakini ni eneo ambalo ni limesahaulika na watu wa manispaa au serikali za mitaa wanachojua ni kukusanya service levy tu. Mfano, mtaa mmoja wa Sikukuu una matope, chemba zinatiririsha maji machafu, mtaa unanuka na kibaya zaidi ni...
  19. JamiiForums Tanzania Apartment For Sale at Kariakoo

    Apartment For Sale at Kariakoo. Location: Livingstone/Tandamti Street. Features: 2nd Floor, No Lift, 3 Bedroom House: 1 Master Bedroom, 2 Normal Bedroom, Sitting with Dinning Room, Kitchen, Store Room, Common Toilet, Balcony. Price: Tsh. 200M (Slightly Negotiable). Document: Unit Title. For...
  20. JamiiForums Tanzania Biashara yako kwenye eneo lenye wateja wengi! Kariakoo!

    Je, unatafuta sehemu sahihi ya kukuza biashara yako? Hii ndio nafasi ambayo umekuwa ukiisubiri. 🏢 Jengo jipya kabisa, lenye muonekano wa kisasa na mazingira yenye mzunguko mkubwa wa wateja (high foot traffic). Biashara yako itapata mwonekano na uhai unaostahili. 🔹Maduka yanapatikana kuanzia: •...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…