karatasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Fanya hivi kabla hujatupa karatasi yoyote yenye taarifa binafsi...

    Nyaraka hizi zikiangukia mikono mbaya, zinaweza kutumika kwa utapeli (identity theft), kuibiwa pesa, au kuharibu sifa ya mtu/kampuni. Chanachana (Shredding): ✂️ Hii ndio njia salama zaidi. Ikiwa huna mashine ya "shredder" ofisini au nyumbani, hakikisha unachana karatasi hizo vipande vidogo...
  2. PHD Kitima kanyooka sana akili kubwa hajaja kutusomea yaliyotengenezwa kwenye karatasi bali nondo zinatoka kichwani hapo hapo

    PHD Kitima kanyooka sana akili kubwa hajaja kutusomea yaliyotengenezwa kwenye karatasi bali nondo zinatoka kichwani hapo hapo.
  3. Mange Kimambi: Wasimamizi wa Uchaguzi Walipewa Maelekezo Wamtiki "Samia" Katika Karatasi za Kupigia Kura (Video za Ushahidi Zipo)

    Ameandika Mange Kimambi kwenye mtandao wa Instagram, "Wasimamizi wa uchaguzi walikuwa wanatiki wenyewe na sasa wameaniza kunitumia video walivyokuwa wanatiki. Na kwenye semina walikuwa wanaambiwa kabisa kama kituo chako kina watu 400 lazma urudishe kura 400 za Samia."
  4. Kilo Mia nne karatasi used Kwa recycle kutengeneza tissue paper

    EE Bwana ee Nina Kama Sheena ya karatasi ambazo unaweza kutumia Kama recycling kutengeneza tissue paper au matumizi mengine Kwa wanaoitaji muhimu NI kuelewa NI kitu gani ninauza .hizi karatasi sio magazeti na ninazo Kama kilo Mia nne hivi plus. Kama utakuwa interest NI PM na muhimu zaidi...
  5. Kesho hakikisha unaweka Bundle , mtajua mambo mengi kuhusu Super black kunyimwa karatasi , issue ya Mzee wa NRNE , na mauaji ya jamaa mweupe wa Tanga

    Kesho weka bundle Mkuu kuna good news zinakuja . Taifa linaenda kupona Timu zipo tatu -hana deni (Consumers) -NREN -Tubadilishe Striker la sivyo tukose wote . Wabaya zaidi wazee watukose wote wapo wengi na hapa mzee wa NRNE anaenda kujiokotea Dodo Kocha Mchezaji ambaye alipata GPA 2 kwa...
  6. Hivi aliemwambia huyu mkurugenzi wa tume ya mchongo sisi tunataka kupiga kura nani ? nimemsikia anasisitiza wananchi wasichane karatasi kwenye vituo

    Hivi aliemwambia huyu mkurugenzi wa tume ya mchongo sisi tunataka kupiga kura nani ? nimemsikia anasisitiza wananchi wasichane karatasi kwenye vituo. Hatupigi kura wala hakuna uchaguzi unaofanyika bila mabadiliko unaongelea masuala ya kuchana karatasi lakini kuiba kura uongelei ? Kama mnataka...
  7. KERO Usafiri wa Mabasi Mbeya hauzingatii ratiba, wanatoa tiketi za karatasi na baadhi ya madereva wanalewa

    Mabasi ya kutoka Mbeya hasa yanayosafiri Usiku hayafuati ratiba ya safari, kwa mfano kuna siku nilipanda basi kutoka Mbeya kwenda Morogoro walisema linaondoka Saa 12:00 Jioni ila tuliondoka Saa 2:00 Usiku pale Stendi Kuu. Tulipofika Uyole wakapaki tukaondoka Saa tano Usiku kwa hiyo...
  8. Kampuni gani iliyopewa tenda ya vifaa vya uchaguzi ikiwemo tenda ya kuchapisha karatasi za kupiga kura?

    Ikiwa imebaki miezi mitano tu mpaka uchaguzi ufanyike bila shaka maandalizi kabambe yatakuwa yameshaanza, Je ni kampuni gani walipewa tenda ya vifaa vya uchaguzi ikiwemo karatasi za kupiga kura?
  9. KUNA KIMFUKO KIDOGO CHA KARATASI NIMEKIKITA KWENYE MKOBA WA MKE WANGU

    Habari zenu? Kuna kitu kimenipa mashaka,,nilikuwa napanga vitu ndani, ghafla MKOBA WA MKE WANGU ukawa umedondoka,,Kuna KIMFUKO Cha nailoni kulikuwa kimefungwa fundo kilitoka kwenye MKOBA wake,, kiukweli kimenipa Wasiwasi,,,nilikifungua ndani yake Kuna kama unga unga hivi wa kahawia, kiukweli...
  10. R

    Taasisi zinazohitaji tujaze fomu za karatasi taarifa zetu nyeti za NIDA ni hatari, taarifa zinaweza Kutumika kwenye utapeli, wizi, kuomba mikopo, n.k.

    Kuelekea mapinduzi ya Teknolojia, mambo mengi nchini yameanza kufanyika kwa kutumia NIDA. Kwenye mifumo ya kusajili biashara, kuomba ajira, kuomba mikopo, kujisajili huduma za kiserikali mtandaoni, n.k. huwa unajaza Nida halafu baada ya hapo unaulizwa maswali matatu ya uhakiki mfano jina la...
  11. W

    Huwa unatumia njia Gani kuharibu Nyaraka na Karatasi zenye Taarifa zako binafsi?

    Kuharibu nyaraka zinazohusiana na taarifa za kibinafsi, kama vile kiatambulisho cha NIDA, cheti cha kuzaliwa, taarifa za benki, taarifa za kadi ya mkopo, stahili za malipo, au risiti, ni muhimu ili kuhakikisha kuwa taarifa zako binafsi haziangukii mikononi mwa watu wasiostahili kuziona. Hii pia...
  12. Haitatokea CCM kuondoka madarakani kwa sanduku la kura na karatasi. Never. Acha kujidanganya, CCM watatawala mpaka sisi vijana tuwe wazee

    Umri wangu huu nakaribia miaka 40, nina miaka 25 mbele kustaafu, kama sitaacha kazi basi nitastaafu CCM ikiwa bado madarakani. CCM kimekamata % kubwa ya Watanzania. Hata kura zihesabiwe kwa haki kabisa CCM bado wana miaka zaidi ya 20 ya uhai mbele. CCM ni kama kanisa la RC, wasabato wanavuna...
  13. B

    Jipsum board zenye karatasi kwa akili ya nyumba zinazovuja

    Wadau leo nimeambiwa na mtu kuwa eti kuna jipsum board zenye karatasi ya nylon kwa juu ili kusaidia km bati linavuja basi maji yasiingie ndani ya jipsum board na kuharibika. Binafsi hii material sikutishi kuona, jeo ni kweli kuna jipsum board za aina hiyo. Km zipo bei zake zikoje. Mwenye kijua...
  14. I

    Hivi hii pesa ya Iran ikoje.? Mbona kama karatasi tu wakati wanatumia pesa nyingi kufadhili ugaidi..😲😲

    CBI ilisema katika taarifa kwamba bei ya wastani iliyogunduliwa kwa ununuzi wa dola ya Marekani katika Soko lake jipya la Sarafu la Bei Zilizokubaliwa kwa Pamoja ilikuwa rial 596,470 mwishoni mwa biashara hiyo Jumamosi. Ilisema kuwa wauzaji bidhaa nje walikuwa wametoa baadhi ya dola milioni...
  15. LGE2024 Ludewa, Mkoani Njombe, Majina ya Wagombea Kupitia CHADEMA hayamo Kwenye Karatasi za Kupigia Kura.

    Mkoani Njombe, na hasa wilayani Ludewa, uchaguzi umevurugika kwa kiwango cha kutisha. Awali, katibu wa CHADEMA mkoani Njombe, alieleza kuwa wilaya ya Ludewa ilikuwa ya pili kitaifa kwa idadi kubwa kuenguliwa wagombea wa CHADEMA, ambapo kati ya wagombea 198 wa vitongoji, walienguliwa wote, kati...
  16. LGE2024 Shinyanga: Wananchi wafichua kukosekana kwa karatasi za kupigia kura. Karatasi za kwenye notebook zatumika kama mbadala

    Wakuu, Wakiwa wanahojiwa kwenye kituo cha TVE wananchi wa mbalimbali wametoa maoni kuhusu nini hasa kinaendelea kwenye Uchaguzi. Mmojawapo wa wapiga kura alidokeza kwenye mtaa wake hakuna karatasi maalum za kupigia kura na badala yake karatasi za notebook zinatumika...
  17. LGE2024 Simiyu: Karatasi za kupigia Kura zakamatwa zikiwa zimewekewa tiki kwa wagombea wa CCM

    Anaandika mkurugenzi wa mawasiliano na mambo ya nje wa CHADEMA John Mrema kupitia mtandao wa X "Karatasi za Kupigia kura zikiwa tayari zimekwa tiki kwa wagombea wa CCM zimekamatwa Mkoa wa Simiyu Jimbo la Bariadi Mjini Mtaa wa Ngashanda kata ya Malambo" Soma pia: Mbinu za wizi wa kura...
  18. LGE2024 Mikumi: Kata 8 hazijaanza kupiga kura, msimamizi adaiwa kutopokea simu

    Wakati zoezi la upigaji wa kura za kuchagua viongozi mbalimbali wa serikali za mitaa likiwa limeanza tangu saa 02:00 asubuhi nchini, hali ni tofauti kwa jimbo la Mikumi, wilayani Kilosa, mkoani Morogoro ambapo inadaiwa kuwa kata nane (8) kati ya 15 za jimbo hilo zoezi la upigaji wa kura...
  19. Je, Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo Kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa. Mimi kama mwandishi wa habari, ni muelimishaji umma, ukiona jambo zuri la jamii fulani, waelimishe na wengine wafuate. Hii ni mada ya swali jee wajua kuwa kwenye usafi binafsi wa mwili, kuna uwezekano Waislamu ni wasafi...
  20. Ni wapi naweza kupata wateja wa mifuko ya karatasi kwa jumla?

    Nawasalim kwa jina la jamhuri Wakuu nauliza wapi naweza kupata wateja wa hii mifuko ninategeneza na plani yangu ni kuongeza soko lake ili kujipatia kipato zaidi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…