kanisani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Je, Askofu Gwajima kujivua Uanachama wa CCM kanisani?

    Hili ni swali tu lililotokana na mazingira yanayoonekana , nimechezwa na machale tu , ikumbukwe kwamba Gwajima hakuwahi kuwa MwanaCCM, huyu baadaye alikuja kuwa Mfuasi wa Magufuli kutokana na Makubaliano fulani na sasa Magufuli hayupo na kimsingi yale makubaliano yamekufa kifo cha kawaida. Kama...
  2. Jasusi Mbobezi

    JamiiForums Wachungaji wa Kisabato Wachana mashairi ya Hip Hop kanisani

    Jamaa ni wakali sana, msikilize huyo wapili alivyo flow na biti. Anaweza fanya collabo na nani?
  3. Determinantor

    JamiiForums Updates: Kukamatwa kwa Wanachama wa CHADEMA Kanisani Mwanza

    Wakuu, nimepata hii updates ila kwa kweli hata kama Polisi wetu wanatumwa basi at least watumie hata akili. Why wanalazimisha kujenga chuki isiyomithilika kwenye jamii?? Was it necessary? Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi na baadhi ya Askari Wanyama pori wanaozea gerezani kwa kufanya...
  4. tyc

    JamiiForums Mwalimu wa Kanisa ahukumiwa miaka 30 kwa kosa la kulawiti

    Mahakama ya Mkoa wa Kinondoni imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Elisha Mushi, mkazi wa Ubungo Kibangu baada ya kuthibitika kumlawiti mtoto wa miaka minne kanisani. Mushi, ambaye alikuwa akifanya kazi ya kufundisha watoto kanisani anadaiwa kutenda kosa hilo Februari 19, mwaka huu katika...
Back
Top Bottom