kanisa

The following list consists of concepts that are derived from both Christian and Arab tradition, which are expressed as words and phrases in the Arabic language. These terms are included as transliterations, often accompanied by the original Arabic-alphabet orthography. Although Islam is the dominant religion among Arabs, there are a significant number of Arab Christians in regions that were formerly Christian, such as much of the Byzantine empire's lands in the Middle East, so that there are over twenty million Arab Christians living around the world. (Significant populations in Egypt, Lebanon, Brazil, Mexico, Jordan, Syria, Palestine, Sudan, Iraq, USA, Canada, UK and Australia.) Christianity has existed in the Arab world since the 1st century. Readers should also note that Arabic is written with the Arabic alphabet, and that different individuals and Christian groups may transliterate certain Arabic words into the Latin alphabet in various ways.

View More On Wikipedia.org
  1. Pongezi kwa Kanisa Katoliki kwa Kusimamia Kidete Msimamo wa TEC

    Katika picha mjongeo inayoonekana hapo chini, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mbalali ambaye sasa ni Mgombea ubunge ndani ya CCM, Jimbo la Kyerwa, Karagwe anaonekana akizuiwa kutumia jukwaa la Ibada ya mazishi ya Padre Vitalis huko Karagwe kupiga siasa. Nalipongeza kanisa Katoliki kwa kwa kuwa firm...
  2. Vita kati ya freemason na kanisa katoliki

    June 24 mwaka wa 1717 kundi la freemason walifanya kikao sehemu iitwayo Gridion ambayo ilikuwa katikankiwanja cha mtakatifu paulo huko wingereza.. Kwenye kikao hicho moja ya ajenda kubwa ilikuwa ni kuunganisha kundi la freemason liwe moja, kwa maana kipindi hicho walikuwa wamegawanyika bila ya...
  3. Tupo Kanisani usiku wa maombi, mhudumu wa guest ameomba atoe ushuhuda wazee wa Kanisa wamekataa

    Imenishangaza mno! Dada wa watu ambaye ni mhudumu wa Guest jirani na Kanisa amemwomba Mchungaji atoe ushuhuda ajabu wazee wa Kanisa wamekataa kata-kata!
  4. Tuwakomboe waumini wa kanisa la Gwajima

    Waumini wa kanisa la Gwajima ni watanzania wenzetu ambao wametekwa kiimani. Wanahitaji kukombolewa kutoka kwenye kadhia hii. Waumini hawa wanatumiwa kama vitega uchumi na ngao ya binadamu dhidi ya watu wajanja wanaofanikisha ajenda zao kupitia kwao. Taarifa zilizothibitishwa na DC Msando...
  5. Rais Samia amechangia millioni 200 Ujenzi wa kanisa Kuu la Christ Cathedral Church, Dayosisi ya Mount Kilimanjaro

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Kenan Laban Kihongosi, akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa Kuu la Christ Cathedral Church, Dayosisi ya Mount Kilimanjaro na kufanikisha kuchangishwa jumla ya Shilingi...
  6. Lawyers tusaidieni; Kwa hiyo kanisa langu likifungiwa sitakiwi kuabudu kabisa hata nikikodi ukumbi?

    Ni hoja niliyojiuliza, kwamba watu hawatakiwi kuabudu hata sehemu zingine, walau hata kukodi ukumbi ili kujifunza Neno la Mungu bila kwenda maeneo waliyozungushia utepe, kwa hiyo ile haki yao ya kuabudu imesimamishwa hadi kesi itakapoisha hata kama ni miaka 10? ndivyo katiba inavyotaka ilipotoa...
  7. D

    Muda rasmi kwa wanaufufuo na watu wote tutenge siku ya kufanya karamu ya kuchinja na tuachilie sadaka maalum kwa wana wa anaki waliofunga kanisa

    Majeshi majeshi! VAENI SILAHA ZOTE ZA IMANI KUPIGANA NA YULE MUOVU! Elewa neno SILAHA ZOTE (MASHINE mpya yesu na analogi za maombi ya sadaka na karamu za zamani katika agano la kale hatuwezi kuzipuuza) Kama mulivyoona ibada iliyopita wana wa anaki bado wapo na sisi kutufuata fuata! Muda wa...
  8. Kanisa kuzidiwa na Uchawi (Giza)

    Sitaweka vifungu vya biblia lakini kwa atakayetaka apewe na vifungu wapi imeandikwa Tutampa. Mada ni Taifa la Mungu Israel na Taifa la Mungu Tanzania. Ushindani kati ya nguvu ya Uchawi (giza) na nguvu ya Nuru umeanza tangu Binadamu alipoumbwa hapa duniani. Na sehemu nyingi kuonekana Nguvu ya...
  9. Vita ya kuliua kanisa sasa rasmi imehamia katika Elimu

    Je kwanini target iwe Chuo cha SAUT . Je mtaweza, ebu tusubiri ? No time no space that will erase God's Spirit.
  10. Amani Golugwa ajitokeza kusali na waumini wa kanisa la Askofu Gwajima

    Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Bara Amani Golugwa amefika ukumbi wa Tanzanite Kimara Korogwe kushiriki ibada ya jumapili na waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima. Golugwa amepokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima Glory Of Christ Tanzania Church...
  11. Simulizi: Kanisa la Shetani

    Hii ni simulizi ya kijana Musa, kijana ambaye ametafuta kazi kwa miaka mingi bila kupata, katika matembezi yake, Musa anakutana na Bibi ambaye anamshauri aende kuombewa katika kanisa, anakwenda huko na kupokea maombi yake. Anataka kurudi nyumbani, lakini anazuiliwa na kuambiwa anayeingia humo...
  12. IDF yashumbilia kanisa katoliki Gaza

    Jeshi la Israel (IDF) lashutumiwa kwa kulenga kanisa kwa makusudi Kardinali Pierbattista Pizzaballa amesema: “Tunachojua kwa hakika ni kwamba tanki — IDF wanasema kwa bahati mbaya — lakini sisi hatuna uhakika, lilipiga moja kwa moja Kanisa la Familia Takatifu, Kanisa la Kilatini.” Kanisa...
  13. W

    Askofu Gwajima: Kuhusu utekaji simuogopi mtu, hata wafunge kanisa miaka 100

    Askofu Gwajima amesema kuhusu suala la utekaji hamuogopi mtu hata kama kanisa litafungw akwa miaka 100. Ameyasema hayo wakati kizungumza na waandishi wa habari leo Julai 16, 2025. Amemalizia kwa kusema haina maana kuwa CCM ndiyo watekaji. "Nimeshauri yote haya kwa namna nzuri kanisa likafungwa...
  14. Uwepo wa kanisa la Mwamposa karibu na maeneo yetu..kwa kweli tunalala kwa amani, wachawi waganga wanaumwa.wengine wamehama kabisa

    Kwa kweli Nitoe shukrani kwa aliewapa kibali kanisa la calvary assemblies of god arise n shine kujenga eneo lile Kiukweli wakazi wa eneo hili kama walikuwa wanasubiria kwa hamu hizi ibada Yaan toka waanze ibada kanisa jipya kwa kweli kuna waganga wametesa wengi sana eneo la kawe Hivi...
  15. Kanisa ni Bibiarusi, twende nalo kwa makini

    Unapogusa kanisa, unamkusa Kristo mwenyewe kwa sababu ila hilo ukristo duniani hautambuliki, bila hilo, ukristo dunaini hauhubiriwi, watu hawaabudu Mungu kwa njia ya ukristo, fanya vyote ila usiguse kanisa, kwa sababu utapambana na mwenye kanisa mwenye ambaye ni Yesu Kristo. Hii ndio sababu...
  16. Askofu Mwanamapinduzi: Kanisa la KKAM tulipokuwa tukisalia limevunjwa kwa madai kuwa liko eneo la barabara

    Naibu Katibu Mkuu wa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima), Askofu Maximilian Machumu maarufu Askofu Mwanamapinduzi, amesema Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM) la Ubungo Kibo walilokuwa wakisalia limevunjwa kwa madai kuwa liko eneo la barabara. Waumini wa Ufufuo na Uzima walikiwa...
  17. L

    Kanisa wanaposali Waumini wa Gwajima Lavunjwa

    Ndugu zangu Watanzania, Soma hapo 👉Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) lililopo Ubungo Kibo Jijini Dar es salaam ambalo kwa Wiki tatu limetumiwa na Waumini wa KKAM na Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima kufanya Ibada, limevunjwa na kubomolewa...
  18. R

    Kanisa la KKAM walilosali waumini wa Gwajima limevunjwa

    Kanisa la Kilutheri la Africa Mashariki KKAM lililokuwa Ubungo Kibo jijini Dar Es Salaam ambalo pia kwa jumapili mbili waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima wamekuwa wakisali hapo limevunjwa na eneo hilo panaonekana hakuna ibada zitakazoendelea siku ya leo Jambo TV imefanya jitihada za...
  19. K

    GE2025 Kama Kweli CCM mtawaondoa Wachangamsha Bunge Akina Mpina, Bunge lijalo litakuwa Mithili ya Kanisa la Mwamposa

    Kama fununu kuwa Mpina kaondolewa asigombee ubunge,Bunge lijalo litakuwa la Watoa pongezi kwa viongozi kama waimba mapambia makanisani. CCM tukumbuke kuwa wananchi wanaliona bunge la Sasa ni afadhali mabunge ya enzi za Chama kimoja. Enzi hizo wabunge walikuwa machachali kama alivyo Mpina...
  20. S

    Utata wa kanisa la Arise and Shine. Je, linatumia usajili wa Calvary Assemblies of God(CAG)?

    Kanisa la arise and shine ni la muda mrefu sana tangu nianze kulifahamu chini ya Muhubiri Mwamposa, lkn usajili wake mpaka sasa sijaelewa kabisa, je lipo chini ya usajili gani? Na nani mmiiki wa hili kanisa? Naombeni kwa wajuzi mnijuze. Pia soma >> Nani anawajua Wajumbe wa Baraza la Wadhamini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…