kanisa

The following list consists of concepts that are derived from both Christian and Arab tradition, which are expressed as words and phrases in the Arabic language. These terms are included as transliterations, often accompanied by the original Arabic-alphabet orthography. Although Islam is the dominant religion among Arabs, there are a significant number of Arab Christians in regions that were formerly Christian, such as much of the Byzantine empire's lands in the Middle East, so that there are over twenty million Arab Christians living around the world. (Significant populations in Egypt, Lebanon, Brazil, Mexico, Jordan, Syria, Palestine, Sudan, Iraq, USA, Canada, UK and Australia.) Christianity has existed in the Arab world since the 1st century. Readers should also note that Arabic is written with the Arabic alphabet, and that different individuals and Christian groups may transliterate certain Arabic words into the Latin alphabet in various ways.

View More On Wikipedia.org
  1. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Sala Maalumu ya kuombea Haki na Amani ya nchini Tanzania kama ilivyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)

    SALA YA KUOMBEA HAKI NA AMANI Ee Mungu tunakusifu, tunakuheshimu, tunakutukuza, tunakuabudu na kukushukuru sisi Watanzania kwa kutujalia Nchi nzuri. Tunakushukuru pia kwa zawadi ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei 2025. Tukiwa Mahujaji katika Matumaini, tunakuomba utuepushe na changamoto zinazoweza...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Kanisa dhidi ya haki, Bakwata na uchawa wa je unasimama na nani?

    Huu ndiyo ukweli wenyewe Kanisa limeamuwa kusimama na haki dhidi ya watawala huku Bakwata na baadhi ya Waisilamu wameamua kugeuka chawa kwa kweli Taifa linaenda kuwaka moto
  3. R

    JamiiForums Tanzania Takribani watu 30 wamefariki na zaidi ya 200 kujeruhiwa baada ya jengo la Kanisa kuporomoka Ethiopia

    Takribani watu 30 wamepoteza maisha na zaidi ya 200 kujeruhiwa baada ya skafoldi kuporomoka katika Kanisa la Menjar Shenkora Arerti Mariam, jimbo la Amhara kaskazini mwa Ethiopia. Tukio hilo lilitokea asubuhi wakati waumini walipokusanyika kusherehekea sikukuu ya kila mwaka ya Bikira Maria...
  4. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Ruwa'ichi: Kanisa katoliki halilumbani wala kushindana na serikali

    Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam Mhashamu sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap. amekanusha na kutolea ufafanuzi taarifa inayosambaa katika mitandao ya kijamii ikionyesha kuwa warsha ya waamini jimboni humo itafanyika Oktoba 29, siku ambayo ni ya uchaguzi mkuu wa Tanzania, kuwa taarifa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Haki nchini kuelekea uchaguzi mkuu, haki za wapalestina Gaza: Kanisa katoliki ni la kupigiwa mfano dhidi ya madhehebu za kilokole, waisilamu nk!

    Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na uchaguzi mkuu 2019/20, 2024 na huu unaotarajiwa 2025 uko wazi: Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na wapalestina Gaza huko, unajulikana: Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani Tofauti ya wazi kabisa baina yao...
  6. Damaso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Engagement ya kihistoria Kanisa la Free Church

    Kanisa la Free Church chini ya Mchungaji Masanja Mkandamizaji limeandika historia mpya ya kipekee baada ya kushuhudia uchumba ulioacha wengi midomo wazi na wengine wakibaki na mshangao. Kauli mbiu iliyosikika ikitamba ilikuwa: “Mungu asiyewahi kuchelewa yupo!” — ishara kuwa hakuna...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa Msabato, lakini nikaondoka kwa sababu Kanisa halikuwa na athari chanya kwenye jamii na maendeleo. Sikutaka watoto wangu wapitie hivyo.

    Kwanza kabisa, ni muhimu niseme kwa upande wangu, uhusiano wangu na Mungu ni wa kipekee na unatokana na matendo yangu zaidi kuliko kujitolea kwa kanisa moja. nipo tofauti kidogo na watu wengi wanaoliabudu kanisa au mchungai zaidi kuzidi Mungu. Sababu kuu iliyosababisha uamuzi wangu wa kuhama ni...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu kanisa la Ufufuo na Uzima (Askofu Mwanamapinduzi) akimbia nchi kunusuru maisha yake

    Hii taarifa rasmi imetolewa na Askofu Emaus Mwamakula. Nimewawekea hapa chini tamko lake soon hapa (kwa njia ya video). Ameelezea kwa kina kilichomsibu na hata kutishiwa maisha. Askofu Gwajima yupo hatarini
  9. Think2

    JamiiForums Tanzania Mwamposa ni mfanyabiashara kupitia kanisa lake na wala sio mtume kama wengine wanavyofahamu

    Naanza na hii ●kaingia mkataba na kampuninya ice drop kwamba awe anatumia maji yanayozalishwa kwenye kampuni hio kama majinya upako baada ya kuyaombea kwaio ice drop na A rise and sunshine ni trade partners Uthibitisho unajionesha wazi maana kuna logo ya ice drop na hio ya mwamposa A rise and...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Napenda kumwandika papa Leo alifute kanisa katoliki Tanzania mana limekuwa la kisiasa zaizi limepteza focus.

    Hivi maslahi yenu yameguswa? Mbona hamuwi wawazi tukawarudishia wizi wenu. Mtu mzima tena skofu unahubiri siasa eti jk asimshauri rais ni akili kweli hiyo? Rais ni asset ya serikali ndo mana analipwa till death ili atumike kisawasawa. Mboa Pengo alistaafu lakini bado yuko mimbalini na...
  11. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Sisi ni simba wa Yuda: Makanisa yanakubalije kanisa la Gwajima kufungiwa wao wakiwepo? Ule upendo wa Kristo unaohubiriwa umeishia wapi?

    Mughonile! Roman Catholic, Lutheran, Anglicana, Wasabato, Walokole na Wakristo wengine. Mnakubalije Ukristo kufanywa Kama nyumbu wakati sisi ni simba wa Yuda. Kanisa la wenzetu limefungiwa kisa kosa la mtu mmoja ambalo sio kosa kwani alikuwa anahubiri injili ya kukemea maovu ya watekaji. Padri...
  12. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Gwajima limefungwa; Je wakristo hawana umoja kama Yesu alivyowaagiza?

    Mughonile! kanisani leo tumesoma Yohana 17:22-23, ambapo Yesu anaomba kwa Baba: "Nimewapa utukufu ambao Umewapa mimi, ili wawe wamoja kama sisi tulivyokuwa wamoja mimi na Wewe, Mimi ndani yao na Wewe ndani yangu, ili wawe wamoja kabisa, na dunia ije kuamini kwamba Umewatuma." Nauliza, je...
  13. P

    JamiiForums Tanzania KANISA KINONDONI (KRC) LINATETEA MATAPELI

    Kanisa moja maarufu kinondoni biafra (KRC ) lomekuwa likimkingia kifua muharifu wa utapeli kwa zaidi ya miaka 3 sasa. Tapeli anatumia njia ya ulokole na muhumini wa pale kanisani, jamaa anauzaga nguruwe kama mboga pale kanisani kila jumapili ila yeye ni bodaboda pale chuo kikuu huria kilichopo...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Je? Polepole anatumiwa na kanisa kuwachafua viongozi wetu?

    Ni swali linalo ulizwa na watu wengi wengi, je polepole anatumiwa na nani kuichafua Serikali ya dkt Samia pamoja na viongozi wakuu wastaafu? Je polepole anatumiwa na kanisa au ni yeye mwenyewe? Sitaki kuamini kama kuna baadhi ya viongozi wa kanisa wanamtumia huyu polepole kuwachafua...
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kanisa Katoliki toeni tamko ya kugomea chaguzi za kitapeli

    Tumesali novena sawa lakini ni unafiki kwenda kwenye chaguzi ambazo kwa kila namna hazina maana na tayari tume imeweka mfumo wa kura fake. ! Sasa wakatoliki twende kupiga kura fake! Toeni tamko tuache uoga na unafiki
  16. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kulitenganisha Kanisa Katoliki na nchii...Hongera Roman Catholic Mungu atajibu maombi

    Kanisa katoliki kila siku ku a sala ya kuwaombea viongozi na kwa namna ya pekee Mhe. Raisi Kanisa Katoliki bado linashirikiana na selikari katika mambo mengi ikiwemo ustawi wa amani kwa mafundisho na utoaji wa huduma mbali mbali za kijamii kama afya na elimu bila kuchoka hata pale inapotokea...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kanisa Katoliki Tanzania: Mkombozi wa Kweli wa Taifa. Leo tumefunga Novena; Tunakesha na Kuomba, kuiombea Tanzania - A Very Powerful Prayer!

    Wanabodi Mimi mwanabodi mwenzenu,pamoja na mambo mengine yote,mimi pia ni Mkristo Mkatoliki, ila Ukatoliki wangu, ni wale Wakatoliki tulioendelea endelea, kwa Lugha ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. Kwa maelekezo ya Baraza la Maaskofu Katoliki la Tanzania, TEC, Kanisa Katoliki Tanzania,na...
  18. tpaul

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kanisa la Gwajima kufunguliwa hivi karibuni

    Kufuatia Askofu Dr Josephat Gwajima kutoa ultimatum ya siku 10 kwa kanisa lake kufunguliwa, taarifa za chinichini zinasema kwamba serikali, kupitia msajili wa vyama vya kijamii, iko mbioni kuandaa press conference kwa ajili ya kujiokoa na zahma ya bomu atakalolipua Gwajima ikiwa siku zitaisha...
  19. Bei Rahisi Electronics

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nifungue kanisa

    Nahitaji nifungue kanisa sina ajira nimetoka chuo Procedure zake miujiza ya uwongo ninayo
  20. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Makaburi saba yakutwa ndani ya Kanisa Huko Tarime

    Ni jambo la Kustaajabisha na ni halisi kabisa limetokea Huko Mkoani Mra wilaya ya Tarime ambapo inadaiwa makaburi saba yamekutwa Kanisani Humo Hadi sasa Hijafahamika wazi ni nani aliyachimba na yalitumika Vipi Taarifa kamili hii hapa https://youtu.be/tKE8-hIRyBk?si=W57s4O3HXa2DRc83
Back
Top Bottom