kanisa

The following list consists of concepts that are derived from both Christian and Arab tradition, which are expressed as words and phrases in the Arabic language. These terms are included as transliterations, often accompanied by the original Arabic-alphabet orthography. Although Islam is the dominant religion among Arabs, there are a significant number of Arab Christians in regions that were formerly Christian, such as much of the Byzantine empire's lands in the Middle East, so that there are over twenty million Arab Christians living around the world. (Significant populations in Egypt, Lebanon, Brazil, Mexico, Jordan, Syria, Palestine, Sudan, Iraq, USA, Canada, UK and Australia.) Christianity has existed in the Arab world since the 1st century. Readers should also note that Arabic is written with the Arabic alphabet, and that different individuals and Christian groups may transliterate certain Arabic words into the Latin alphabet in various ways.

View More On Wikipedia.org
  1. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa kanisa ni NoReformNoElection

    Ndugu Watanzania, hususan Wakristo Wakatoliki, salaam za haki, amani, upendo na uadilifu kwenu. Awali ya yote, napenda kusema kuwa sisi Watanzania hatukufunzwa wala kulelewa tangu utotoni kuelewa thamani ya siasa na umuhimu wake katika maisha ya kila siku. Mwelekeo huu umeikosesha jamii yetu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa tafariji na tahadhari kutoka kwa kiongozi wa kanisa

    Ndugu wapendwa katika Kristo, Ni nani anayeweza kujidai kuwa na mamlaka ya pekee ya kuifahamu kweli yote ya Mungu? Ni nani anayeweza kudai kusikilizwa kwa sababu ya utakatifu wa nje, huku moyo wake ukiwa mbali na upendo wa kweli wa Kristo? Tunasikitika na kutafakari kwa uchungu juu ya majeraha...
  3. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Tamko la TLS kuhusu kinachoendelea kwa waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima pamoja na haki ya kuabudu

    Siku chache zilizopita niliandika uzi unaoitwa: “Watu wanasali, mabomu yanalia. Je, kuna uhuru wa kuabudu?”Ulikuwa ni mwitikio wa kile tulichoshuhudia tarehe 22 na 29 June 2025: waumini wa dhehebu flani wakitawanywa kwa mabomu wakati wakiwa kwenye ibada. Sikuandika kwa lengo la kutetea mtu...
  4. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais wa TLS kuhusu kufunga kanisa la Gwajima

    NINA LAANI NA KUKEMEA UNYANYASAJI NA SHAMBULIO LA KIIMANI LINALOFANYWA DHIDI YA WAUMINI WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA.Ni Vema Viongozi wa Serikali wakatambua kwamba 1.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Tanganyika nitachagua Yesu. 2.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Ukimya munao uita amani...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kanisa lile la kwanza, linarudi mahala pake

    Salaam, Shalom! Hauwezi kusema ukweli wote bila kuficha, ukabaki salama, Kanisa la kwanza, hapa kuwa na urafiki kati ya mamlaka na kanisa sababu vitu hivi havichanganani. Yaani uwaambie hadharani kwamba acheni wizi wa kura, utabaki salama kweli? 1. Yohana Mbatizaji aliwaambia polisi...
  6. tpaul

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha kanisa katolilki nalo limeingia kwenye kundi la makanisa ya mchongo; ushahidi huuu hapa!

    Kabla ya kuandika uzi huu, naomba kutangaza maslahi kuwa mimi ni mmojawapo wa watu waliokuwa wakiliamini kanisa katoliki 100% hadi juzi nilipogundua kuwa hata kanisa katoliki nalo kumbe ni kanisa kanjanja kama yalivyo makanisa mengine ya ovyo hapa nchini Tanganyika. Katika pitapita zangu za...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Kufungiwa Kanisa la Gwajima, Uhuru wa Kuabudu na Hatima Yetu

    Tafadhali mods naomba muuache uzi huu ili tuulizane na kupata majibu ya maswali yanayohusu hatima yetu. Wadau wa JF na Watanzania wote. Ni juma la tatu sasa Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Gwajima limefungwa na kusababisha Waumini kunyimwa haki yao ya Kikatiba juu ya uhuru wa...
  8. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mgogoro kati ya serikali na kanisa la GCTC chini ya Askofu Gwajima: Polisi wazuia waumini kuabudu, wawapiga mabomu na kuwajeruhi wengi leo

    https://www.youtube.com/live/o_B5LqZdbCY?si=omR1VXMDoSHBZPLq Honestly, nimeshindwa kuelewa hii maana yake ni nini hasa... Polisi wamezuia majengo na mali zote za kanisa la GCTC - Ufufuo na Uzima Tanzania nzima zisitumiwe na wenye Mali kwa kuwa eti "jina la kanisa" lililosajiliwa serikalini...
  9. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Polisi waimarisha ulinzi eneo la maombi ya waumini wa Askofu Gwajima

    Leo Juni 29, 2025 eneo ambalo waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Glory of Christ Tanzania Church wamekuwa wakitumia kwa maombi, liko chini ya ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi leo Jumapili. Hali hiyo imejiri baada ya zuio la kufanya ibada katika majengo ya kanisa hilo lililopo Ubungo Kibo, Dar...
  10. Bezecky

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi ufunguzi wa jengo jipya la Kanisa la Mwamposa (Arise & Shine)

    Habari mpya ndio hiyo kila mtu anakaribiahwa siku ya tarehe 5.7.2025 wahi bila Kukosa kwani Kitakuwa na watu wa Mataifa mengi.
  11. ommytk

    JamiiForums Tanzania Eneo linauzwa makongo mwisho kuelekea kanisa katoliki karibu na josam apartment

    Wadau eneo linauzwa lipo makongo mwisho njia kwenda kanisa katoliki lina ukubwa sqm 2231 lina hati ya wizara.halina shida yoyote ni tambalale na bei ya kutupa linuzwa kwa ajili ya shida tu bei ni 300m Karibu
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kanisa limepiga marufuku wanasiasa kusalimia kanisani, wamekosea sana

    Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia. Huwezi kuhubiri na kueneza duniani...
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lazuia mkusanyiko wa Waumini wa Kanisa la Gwajima maeneo ya Ubungo

    Jeshi la Polisi limezuia mkusanyiko wa waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima waliokusanyika kufanya ibada pembezoni mwa barabara karibu na lililopo kanisa hilo Ubungo Kibo. Video: Jambo TV
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki linahitaji reforms

    Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao. Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi...
  15. aka2030

    JamiiForums Tanzania K Basil sasa ni askofu chini ya kanisa la Gwajima

    Ni askofu akihudumia mkoa wa Arusha
  16. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Kanisa Katoliki kufanya ‘sala maalum’ kuombea uwepo wa Haki na Amani katika nchini

    Huu ndo mwongozo maalum umetolewa leo
  17. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Vita ya serikali na kanisa; je, Tanzania ina cha kujifunza kutoka Uingereza

    Tarehe Mei 28 hadi Juni 2, 1982 itakumbukwa kwa Papa John Poul II, kuwa Papa wa kwanza wa Kanisa Katoliki kutembelea taifa la Uingereza tangu mgawanyiko wa Reformation 1530, uliosababisha kuundwa kwa Kanisa la Anglikana, yaani Church of England. Mojawapo ya matukio muhimu katika ziara hiyo...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Gwajima ladai Polisi wameshikilia mali zao bila makabidhiano

    Mkuu wa Utawala na Fedha wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church - Ufufuo na Uzima, Askofu Baraka Thomas Tege amedai kuwa, tangu kanisa hilo lilipofungwa Juni 2, 2025 na hatimaye majengo ya yao kulindwa na Jeshi la Polisi nchi nzima, hakujawa na makabidhiano yoyote ya mali zikiwamo fedha za...
  19. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Walianza CHADEMA, zikaja nchi jirani halafu kanisa sasa huenda ni zamu ya wasukuma mwisho kabisa ni wanaCCM

    Kuna wimbo wa DMX unaimba move..... get out of my way.... Ole wake aletaye kikwazo ni kulala nae mwendo wa ngiri wanasema R Chugas. Tuendelee kunywa mtori.
  20. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Iran linashambuliwa papa Leo 14 yuko kimya. Papa Francisco asingekubali wala kukaa kimiya, watu wanauawa ovyo huko Iran bila huruma

    Tumsifu YESU KRISTO watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Mda huu nimekaa roho yangu imeniuma sana kwa kweli Kwan dunian hapa hatuwezi zungumza tu tukaelewana mpaka tuuwane jaman Leo nimetizama jinsi watu wa Iran wakikimbia Tehran kuokoa maisha yao aisee nimehuznika sana Mda huu Israel...
Back
Top Bottom