The following list consists of concepts that are derived from both Christian and Arab tradition, which are expressed as words and phrases in the Arabic language. These terms are included as transliterations, often accompanied by the original Arabic-alphabet orthography. Although Islam is the dominant religion among Arabs, there are a significant number of Arab Christians in regions that were formerly Christian, such as much of the Byzantine empire's lands in the Middle East, so that there are over twenty million Arab Christians living around the world. (Significant populations in Egypt, Lebanon, Brazil, Mexico, Jordan, Syria, Palestine, Sudan, Iraq, USA, Canada, UK and Australia.) Christianity has existed in the Arab world since the 1st century. Readers should also note that Arabic is written with the Arabic alphabet, and that different individuals and Christian groups may transliterate certain Arabic words into the Latin alphabet in various ways.
Kama serikali ina tatizo na Askofu Gwajima basi washughulike naye huko ila sisi tutaendelea na ibada jumapili kama kawaida.
Mkitaka mje na silaha na kutuua ila wala hatutaacha kukusanyika maana hilo ni agizo la biblia takatifu.
Askofu Gwajima sio mmiliki wa kiwanja au jengo na wala sio...
Ngongo ni mfuasi na muasisi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima.
Baada ya dhehebu letu takatifu kufutwa na kuzuiliwa kushiriki katika ardhi ya Tanganyika sasa nimelazimika kuanza kuswali Ijumaa 🕌.
Ustadhi Ngongo.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali hatua ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia kulifuta kanisa la Ufufuo na Uzima, likiuita uamuzi huo kuwa wa kidhalimu na unaokiuka uhuru wa kuabudu kama unavyolindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pia soma > ACT Wazalendo...
https://www.youtube.com/watch?v=vO-UWuTq9AU
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema kuwa chama hicho kinaungana na msimamo wa Askofu Josephat Gwajima, juu ya kupinga masuala ya utekaji ambayo ymekuwa yakiripotiwa nchini.
Heche ameongeza kuwa kutokana na msimamo huo wanapinga pia...
GTs,
Hebu fikiria tu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekemea vikali hatua ya kufungiwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima inayoongozwa na Askofu Josephat Gwajima, akieleza kuwa ni ukiukwaji wa haki ya kuabudu inayolindwa na Katiba. Hebu fikiria tu akizungumza haya...
Hello!
Nini hasa walikuwa wamelenga watu Hawa?
Baada ya kuona waumini wanaomba bila kufumba macho, wakaamua kuzima taa!
Sasa kuzima taa walilenga Nini ilhali sadaka zikiwa kapuni?
Haya!
Yawezekana amekosea, Yawezekana hayuko Sawa,Yawezekana kuna mahali kamkasirisha Yeyote katika Watawala
INapaswa atafutwe yeye,muhojiane nae mkitaka Mfanyeni mtakavyo
Lakini kulifunga Kanisa/Nyumba ya IBADA si sawa
Lile si KANISA tu ile ni sehemu watu wanaenda kukusanyika kuongea na Mungu...
Pamoja na kwamba alikuwepo wakati wanavamia kanisa siku ya jana, bado hawajafanikiwa kumuona.
Taarifa nilizopata ni kwamba anaenda kushusha "press" na wakali wa "Mahanaim" wanatinga mahakamani.
Bila kusahau kwamba mpambano katika ulimwengu wa roho nao unaendelea vikali dhidi ya jezebeli.
https://youtu.be/8reLapCOf0s?si=d0DkYnApY4VvHj_U
Hebu msikilize vizuri Afande Jumanne Muliro, RPC Kanda Maalumu ya DSM kwenye video hiyo akielezea namna alivyokuwa very sharp yeye na polisi wake kwenda kuzingira na kuwafurusha waumini waliokuwa wakiendelea na ibada ya maombi ya siku 7 ndani ya...
Chama cha ACT Wazalendo leo Juni 03, 2025 kimeitaka Serikali ya Tanzania kusitisha hatua ya kulifuta Kanisa la Ufufuo na Uzima ambalo linaongozwa na Askofu Josephat Gwajima.
Katika taarifa yao, ACT Wazalendo imesema kuwa kulifungia kanisa hilo kunakiuka haki ya uhuru wa maoni na kukusanyika...
Zilizothibitishwa rasmi kabisa ni kuwa;
Mwandishi wa barua kwenda CHADEMA kusema kuwa haitambui uteuzi wa wajumbe wa kamati kuu na baadhi viongozi wa Sekretariate hususani Katibu Mkuu na manaibu katibu mkuu Tanganyika na Zanzibar kwa jina la "Msajili wa Vyama vya siasa" ndiye huyuhuyu...
Baadhi ya waamini na Watu ambao wanaoelekea kwenye Kanisa la Askofu Gwajima au kwenye mwelekeo wa Kanisa hilo lilipo wanazuiwa na kuamriwa na askari kuondoka eneo hilo.
Mpaka majira ya saa tano asubuhi yaleo Juni 3, 2025, askari wenye magari na silaha wamezunguka njia zinaoelekea kwenye Kanisa...
Hii inamaana kwamba makanisa 2000 nchi nzima na wachungaji na maaskofu wote wa kanisa la ufufuo na uzima kuanzia dar mpaka huko ujiji na maeneo ya katonto huko sumbawanga wote wanaadhibiwa Kwa kosa la mtu mmoja !! Kanisa linafutwa !! Amekosea tundu lissu amekamatwa lissu na taasisi inaendelea na...
Wanabodi
Nimesoma bandiko hili humu jf News Alert: - Serikali yalifutia usajili Kanisa la Askofu Gwajima kwa kuingilia masuala ya siasa kwa nia ya kuichonganisha Serikali na Wananchi
Bandiko hili ni faraja kwa Baba Askofu Dr. Josephat
Gwajima, na wapenzi, wafuasi wa kanisa lake la Ufufuo wa...
Tarehe 2 Juni 2025, nimeona barua inayojinasibu kuwa ni ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya kulifungia Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church @ Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Mbunge wa CCM, Askofu Josephat Gwajima.
Kisingizio?
Lakini kwa anayesoma hali kwa makini, hoja ya kweli ni moja tu...
Baada ya Kanisa lake kupigwa pini ifuatacho kwa Askofu Josephate Gwajima ni kuvuliwa uanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM) na kukosa sifa ya kuwa Mbunge
Lengo la CCM na Serikali yake yake ni mkunyoosha Gwagima ili akose fedha na kumnyong'onyesha kiuchumi awe anyone asiwasemee wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.