kanisa katoliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki ndio taasisi inayoweza kumuokoa Lissu na kuirudisha CHADEMA katika uchaguzi kwa sasa.

    Kati ya taasisi ambazo zingeweza kupiga kelele kushinikiza Lissu asihukumiwe kwa uhaini ni balozi za Marekani na Umoja wa Ulaya lakini kwa sasa ni dhaifu sana na zimepoteza hadhi na heshima ya kutiliwa maanani na dola. Taasisi muhimu iliyobaki yenye ushawishi mkubwa katika jamii inayoweza...
  2. JamiiForums Tanzania Nguvu ya kanisa katoliki, Kesho ijumaa kuu. Butcher zitafungwa

    Najivunia kuwa mkatoliki Kesho ijumaa kuu, sisi wakatoliki katika Amri za kanisa, tunaamriwa kufunga siku ya ijumaa kuu na kutokula kitoweo Hii imeathiri pote Machinjioni kesho hawachinji wanyama Wale wasiokuwa wakatoliki watakula maharagwe Yaani ni hivi Kesho taka usitake, uwe mkatoliki...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kanisa Katoliki lahoji uhalali wa Tume ya Uchaguzi, lasema wajumbe ni wateule wa Rais

    Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
  4. JamiiForums Tanzania Nimefikia Conclusion Kanisa Katoliki ni waungwana, na wavumilivu, dini zote zina ibada za sanamu ukiwemo Uislamu

    Hili kanisa katoliki lipewe mauwa yake, unajuwa utandawazi unakuja na mengi sana na kuyafahamu hata yaliyojificha. Kwa muda mrefu Kanisa katoliki limekuwa likishambuliwa na madhehebu mengine ya kikristo hasa Wasabato na waislamu kwamba wanaabudu sanamu, kumbe hizi rituals zinafanywa na dini...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Mara yawasilisha ripoti ya vifo na upotevu kwa Kanisa Katoliki

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara kimewasilisha ripoti maalum kwa Kanisa Katoliki, ikielezea matukio ya watu waliouawa au kupotea katika mkoa huo. Sambamba na hilo, chama hicho kimetumia nafasi hiyo kueleza msimamo wake wa No Reform No Election, ukimaanisha kwamba kitazuia...
  6. JamiiForums Tanzania Maaskofu Kanisa Katoliki watoa utaratibu wa Misa kujikinga na Ugonjwa wa Mpox

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa utaratibu wa misa zake ikiwemo kusitisha kupeana amani kwa mikono ili kujikinga na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Mpox (homa ya nyani). TEC inechukua hatua hiyo ikiwa ni siku moja baada ya Serikali kupitia Wizara ya Afya...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Ibada ya shukrani kumbukizi ya Hayati John Magufuli kufanyika Jumatatu, Machi 17, 2025 Kanisa Katoliki Chato

    Wadau hamjamboni nyote?
  8. U

    JamiiForums Tanzania rafiki yangu msabato akiri yapo mafundisho kinyume na Biblia yaliyoingizwa kanisani mwao analaumu kanisa katoliki lengo lao kuwavuruga kiimani

    Wadau hamjamboni nyote? Nilikuwa naongea na Msabato mmoja rafiki yangu kuhusu Kanisa kuruhusu baadhi ya mafundisho au Imani zinazoenda kinyume na Biblia Katika mazungumzo yetu nilimtajia mambo mawili tu ambayo yameruhusiwa Kanisani karibuni kuwa ni kuruhusu wachungaji wanawake , idara ya...
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi wa kanisa Katoliki na kanisa la kristo nchini DRC wamekutana na kufanya mazungumzo na waasi wanamgambo wa AFC-M23

    VIONGOZI wa Makanisa Katoliki Nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (CENCO) pamoja na Kanisa la Kristo nchini humo (ECC), mapema leo Februari 12, 2025 wamekutana na kufanya mazungumzo na waasi wanamgambo wa AFC-M23 lengo likiwa ni kujadili udumishaji amani nchini humo. Viongozi hao...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki halipaswi kufanya mambo ambayo wengine wanaweza kuyafanya vizuri

    Ni wakati sasa wa Kanisa Katoliki kwenda level nyingine na kuachana na kufanya mambo ambayo kila mtu anaweza kuyafanya vizuri. Kanisa linapaswa kujikita kutoa special education na sio tena universal education ambayo sasa inatolewa na taasisi nyingi tu nchini. Kwa kuwa Kanisa lengo lake sio...
  11. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki na Ujenzi wa Uongozi wa Kitaifa kupitia Elimu ya Seminari

    Katika kila jamii inayokusudia maendeleo endelevu, uongozi wa kweli ni nguzo muhimu. Kanisa Katoliki, kupitia shule zake za seminari, limekuwa mstari wa mbele katika kuandaa vijana kuwa viongozi bora wa taifa. Seminari sio tu ni shule za kiroho, bali pia ni vyuo vinavyolea viongozi wa kitaifa...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna vita ya chinichini inaendelea dhidi ya viongozi wa dini wanaokosoa Serikali

    Kwanini wanapotosha, kwanini hakuna anayeweka uthibitisho wa video habari hii ya madai kuwa Tundu Lissu amethibitisha Padre Dkt. Charles Kitima kushiriki vikao vya siri vya CHADEMA? Katika video ya mahojiano na Waandishi wa Habari pale Uwanja wa Ndege hakuna mahali Lissu amemtaja Kitima lakini...
  13. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa TEC ajitafakari kwa sababu anatajwa kuligawa Kanisa kisiasa kwa kushindwa kuzuia mahaba yake

    Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania anafaa kujitafakari, kwasababu anatajwa kuacha majukumu yake ya kuhubiri neno la Mungu na kuhusika kuligawanya kanisa hilo kisiasa na kushindwa kuzuia mahaba yake ya kikabila dhidi ya mgombea uenyekiti wa chadema Taifa ambae ni wa kabila lake...
  14. JamiiForums Tanzania Dada yangu amerudi nyumbani amesema wito wa usister wa Kanisa Katoliki umemshinda na anataka kuolewa

    Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa Daaah familia mzima tumepigwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Pamoja na madhaifu ya Kanisa Katoliki lakini kwenye kipengele cha kukemea na kuonya watawala ambayo ni Kazi ya kinabii na kitume, Hongereni Sana

    Kwema Wakuu! Ingawaje Mimi ni mtibeli msabato lakini hiyo hainifanyi nisione mazuri ya madhehebu na dini zingine. Sisi wasabato tunajinadi na huenda kwa sehemu tunajulikana kwa kufuata maandiko matakatifu ya Biblia. Hiyo inatufanya tuwakalie kooni watu wa dini na madhehebu mengine yasiyofuata...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maaskofu wa Katoliki wakataa mchango wa Shilingi milioni 5.6 kutoka kwa Ruto kwa kanisa la Soweto

    Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limekataa michango yote iliyotolewa na Rais William Ruto na Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki la Soweto Jumapili. Katika taarifa yao, Maaskofu walieleza wasiwasi juu ya kutumia majukwaa ya kanisa kwa faida za...
  17. W

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Maaskofu wa Kanisa Katoliki "Kiongozi anayepatikana kwa mbavu na Uongo, hutumia Ulaghai kuongoza"

    Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limetoa tamko kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, leo Novemba 15, 2024 likisistiza una umuhimu mkubwa kwa ustawi wa Jamii na Nchi kwa ujumla Tamko hili limewasilishwa na Rais wa TEC, Askofu Wolfgang Pisa, amesema "Tunasisitiza TAMISEMI...
  18. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki wamwambia Ruto kuwa Utamaduni wa Uongo lazima Ukomeshwe

    Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limeikosoa serikali ya Rais William Ruto kwa kushindwa kutimiza ahadi zake kwa Wakenya na kudumisha utamaduni wa uongo na kutumia mitambo ya Serikali kunyamazisha wapinzani Aidha, Mwenyekiti wa Baraza hilo, Askofu Maurice Muhatia amewashutumu viongozi...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Taja mambo mazuri yaliyoasisiwa na Kanisa Katoliki na hadi leo yanatumika maeneo mbalimbali na yenye manufaa kwa Wakiristo na wengineo duniani kote

    Moderator: naomba Uzi huu sio wa uache uwe huru na ujitegemee wenyewe lengo ni kujifunza Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Kisiasa, kiuchumi, kijamii Karibuni Muwe na siku njema
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…