kanisa katoliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwambieni Samia, Kanisa Katoliki sio Kanisa la Gwajima. Hana ubavu wa kulifungia

    Kanisa la Roman Catholic linajitosheleza kwa kila idara lina kitengo cha ujasusi The Jesuit lina benki yake Bank of Vatican, lina miradi mikubwa dunia nzima, uchumi wake Tanzania ikasome. Inakadiriwa Kanisa Katoliki linamiliki kati ya hekta milioni 71 na 81. Takwimu hii inajumuisha mali kama...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kweli utajiri wa Kanisa Katoliki unatokana na Serikali?

    Wakuu, Naomba kufahamu kuhusu suala la utajiri wa Kanisa Katoliki. Je, kweli utajiri wake unatokana na mgao kutoka serikalini? Baadhi ya Mashekhe wamekuwa wakidai kuwa Kanisa Katoliki hupokea fedha au mgao maalum kutoka serikalini, lakini sijui kama hizi ni tuhuma tu kama nyingine zinazotolewa...
  3. JamiiForums Tanzania Katoliki Kanisa Imara sijapata kuona

    I admire Catholic's level of being unbothered. You'll criticize their religion, they will listen for u to finish. They go to church...they eat their sacrament, they pass by their locals, catch a bottle of their favourite beer and go home. They don't even waste their energy defending their...
  4. JamiiForums Tanzania Nyerere: Wakati tunapigania uhuru wa nchi hii kanisa katoliki lilinitenga

    Friends and Our Enemies, Katika hotuba yake mashuhuri ya mwaka 1985 ambayo hivi sasa imeachwa kuwekwa katika mfululizo wa hotuba za Mwalim Nyerere amekuwa anakiri kwa kinywa chake namna gani ambavyo kanisa katoliki lilimtenga kiasi cha kufikia kuacha au kuachishwa kazi ya ualimu pugu sekondari...
  5. JamiiForums Tanzania Tukisikia kanisa katoliki limehujumiwa kwa namna yoyote ile au viongozi wao kudhuriwa; tunajua tatizo liko wapi

    Data zimetunzwa!
  6. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Rais Samia kateua Mawaziri, waislam wangapi? Wamejaa wakatoliki, ndio wanataka vile

    Ustadhi huyu anasema wakatoliki wao wanataka vyeo vikubwa viwe vya wakatoliki, hata Baraza la Mawaziri lililoteuliwa na Rais Samia, waislam ni wachache kama robo, baraza limejaa wakristo ambao wengi ni Wakatoliki ndio wanataka iwe hivyo.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lilikuwa na lengo la kuleta machafuko nchini DRC

    Katika Historia inaonyesha Kanisa Katoliki ni jadi yao kuchokonoa akiwepo Rais wasiyemtaka au akishinda wasoyemtaka. Hii sio Tanzania au DRC tu. Hata Rwanda mauaji ya 1994 vivyo hivyo. Kanisa Katoliki lilikua na lengo la kuleta machafuko nchini DRC kwa kutaka kumtangaza muumini wao.
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 TEC na Kanisa Katoliki mnasema Serikali hii ni haramu. Kwanini mnaendelea kuvuna mabillion ya fedha kila mwezi kutoka serikalini? Hiyo MoU ivunjwe

    Friends and our Enemies, Kuna msemo unasema baniani m'baya ila kiatu chake ni dawa. TEC na KANISA KATOLIKI... Mwaka 1992 waliingia mkataba wa kinyemela na serikali ili waweze kupata msaada wa kusaidiwa kuendesha hospital zao kwa gharama mbali mbali kama kulipa mishahara ya wafanya...
  9. JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki laja na mkakati wa kuleta orodha ya majina ya Watanganyika waliouawa October 29,2025

    Hakika TEC imejaa wasomi Mapdre sio watu wa kubwabwaja tu Kanisa Catholic limeagiza majimbo, Parokia, vigango na jumuiya zote za TANZANIA kuwatambua marehemu na majeruhi wote waliopigwa risasi Oktoba 29 TEC watatoa idadi ya majina ya Watanzania wote bila kujali dini zao Kutumia jumuiya ndogo...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 TEC Na Kanisa Katoliki tambueni kuwa hamna mamlaka ya kuitaka Serikali ikiri chochote kwenu

    Friends and Our Enemies, Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali yetu tukufu chini ya amiri jeshi wetu MKuu Daktari Samia Suluhu Hassan kwa kusimam imara katika kuilinda amani ya nchi hii dhidi ya wachochezi na wafanya vurugu wa tareh 29.10.2025 na wengine wote ambao wanasimama eti...
  11. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padri Kitima: Kanisa Katoliki linaposimamia vitu halitafuti maslahi ya kikatoliki, bali ustawi wa watu

    Akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, amesema kuwa Kanisa Katoliki linasimamia ustawi wa jamii, heshima ya utu na haki za msingi, ushiriki wa watu katika kujitawala na kuheshimu vyombo vya chini.
  12. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki na makundi ya kiraia Zambia yatangaza maandamano ya nchi nzima tarehe 28 Novemba kupinga mchakato haramu wa Katiba

    Maaskofu wa kanisa katoliki Zambia wamepinga mabadiliko ya katiba Zambia wakidai timing yake si nzuri kwa sasa tokana na ukosefu wa umeme wa uhakika nakupanda kwa gharama za kimaisha Wamepanga kuandamana pamoja na raia 28th November =============== Zambia iko katika hali ya wasiwasi huku Kanisa...
  13. JamiiForums Tanzania Jeuri ya Kanisa katoliki Tanzania (TEC) hii hapa

    Ni kweli nimeamini hili kanisa lina mali mingi mno, kama jimbo 1 tu la mkoa wa Pwani ambao wengi wanachukulia ni mkoa wenye waislamu wengi kuliko wakristo parokia ndogo tu 1 inakusanya billion 1 na, vipi kwenye ile mikoa yenyewe wakatoliki wengi? Kuna kipindi mbunge mmoja wa upande wa pili...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mali za Kanisa Katoliki ni zaidi wa uwekezaji wa Mo, Azam, DP world, Voda na Taifa gas kuchanganya

    Hamuwezi na hamtaweza kuwatingisha kanisa katoliki maana wameshikilia uchumi wa Tanzania kuanzia vyuo, mashule, mahospitali, land . Pesa za kanisa katoliki zikichanganywa zinazidi kampuni zote za uwekezaji Tanzania. Sasa anafikiri anaweza kuja kuiba uchaguzi na kubadilisha haya. Ataondoka na...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania: waislamu tukemee upuuzi wa kuitumia dini kuwashambulia viongozi wa kanisa katoliki TEC

    Kumetokea wimbi hatari la vikundi vya watu wachache wanaojiita waislamu au viongozi wa waislamu, lakini wanachofanya hakina uhusiano wowote na Uislamu. Vikundi hivi vinatumiwa na watawala na mitandao ya kisiasa kueneza chuki, kutukana na kushambulia Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) kwa sababu...
  16. T

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Anatafuta sababu ya kufungia Kanisa Katoliki

    Huo ndio ukweli Sababu zinazotafutwa hapa ni kufungia kanisa katoliki au kuvunja kufuta usajili wa TEC. Hii nayo itakuwa mission impossible.
  17. JamiiForums Tanzania Sheikh Bakoz: Wizi unaofanyika bandarini unabarikiwa na kanisa Katoliki

    Mashekh kadhaa wametoka na kutoa mapovu yao kwa Kanisa Katoliki na kutoa tuhuma nzito sana! Wamedai kwamba wizi unaendelee katika Bandari umebarikiwa na Kanisa Katoliki, na kusema kwamba waislamu wa leo si kama walipita wa sasa wameenda shule na wamesoma.
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Bagonza: Kuna “vita” imeanzishwa kulishambulia Kanisa Katoliki nchini

    Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook anasema; WARAKA WA TEC: Kuna Watu Wanaiharibia Serikali. Kuna “vita” imeanzishwa kulishambulia Kanisa Katoliki nchini. Vita hiyo inaiumiza serikali kuliko walengwa wa vita hiyo. Nashauri...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Rusaganya: Viongozi wa dini nyingine mnaotoa matamko kuweni na adabu! Kwanini kila Rais anapokuwa muislamu mnatoa matamko?

    Mwalimu wa masuala ya dini ya Kiislamu, Sheikh Hashim Rusaganya, amewajia juu viongozi wa dini nyingine kwa kutoa matamko kuhusu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Amesema kuwa Rais Samia anatukanwa sana, hivyo ni vyema viongozi wa dini nyingine wakaacha kutoa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki, naomba maombi yenu ya tarehe 9.11 na misaada mtakayoikusanya viwaendee pia waliodhulumiwa Mali zao na kazi zao! Mungu awabariki sana

    Bwana asifiwe! Mmeamrishana kufanya Ibada maalumu jumapili hii ya tarehe 9.11.2025 kwa ajili ya kuwarehemu marehemu waliotokana na fujo za juzi katika uchaguzi mkuu pamoja na kuwaombea uzima majeruhi wote. Aidha, mmewataka watu kupeleka misaada kwenu kwa ajili ya majeruhi. Ni jambo jema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…