kangi lugola

  1. K

    Mkakati wadaiwa kupangwa kuwashambulia Shabiby, Kangi Lugola

    KUNA mkakati wa siri unaodaiwa kupangwa na vigogo walioguswa na hoja ya ufisadi bungeni ili kumshambulia mbunge wa Gairo, Ahammed Shabiby na Kangi Lugola wa Mwibala, wote kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mkakati huo umefichuka siku moja baada ya Mkurugenzi wa taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
  2. A

    Wabunge kukemea ufisadi bungeni ni kumsaidia Rais Samia. Shabiby, Kangi Lugola wakitajwa

    Bunge la 13, Mkutano wa Pili unaendelea Jijini Dodoma ambapo waheshimiwa wabunge wanaijadili hotuba ya Rais Samia aliyoitoa Novemba, 2025 wakati akifungua bunge hilo tukufu la 13 tangu Uhuru. Kila mbunge aliyepata nafasi ya kuongea kuhusu hotuba hiyo, aliangalia kile ambacho anaweza kukichakata...
  3. Waufukweni

    TAKUKURU yawaita Shabiby na Kangi Lugola

    Gazeti la Mwananchi la Januari 31, 2026 hii ndiyo haba kuu ambapo wamedai, Bosi wa Takukuru afunguka sakata likichukua sura mpya, orodha yasubiriwa. Wasomi wataka hoja zisiishie bungeni, hatua zifuate. Huku Chief Odemba akiandika alichokisema, Crispin Chalamila, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya...
  4. DuaZaMama

    GE2025 Kangi Lugola: Mama Samia sio nguvu ya soda kwenye maendeleo

    Mgombea Ubunge Jimbo la Mwibara kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Kangi Lugola amesema kuwa wanaodhani kuwa Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa Tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan sio Nguvu ya soda katika Maendeleo ya wananchi Kangi ameyasema hayo Leo kwenye mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni...
  5. Mindyou

    GE2025 Hivi aina hii ya kampeni ni Tanzania tu au na nchi nyingine pia hali iko hivi? Viuno vya Kangi Lugola kwenye kampeni

    Wakuu, Huyu hapa Kangi Lugola akiwa anatoa burudani kwenye kampeni zake huko Jimbo la Mwibara Aina hii ya kampuni utakutana nazo Tanzania tu
  6. Heparin

    GE2025 Mzee wa mauno Kangi Lugola azindua kampeni kwa shangwe, full kukatika

    Mgombea Ubunge Jimbo la Mwibara kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Kangi Lugola, amezindua Kampeni katika jimbo hilo, huku akiwatumbuiza wananchi kwa kucheza ngoma na muziki, na kuahidi kuanzisha siku ya ruzuku ya Mbunge itakayosaidia wananchi kiuchumi, pamoja na siku ya elimu ambapo...
  7. DuaZaMama

    GE2025 Kangi Lugola: Samia ni jembe si jembe?

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mwibara kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Alphaxard Kangi Lugola amepanda jukwaani kuzungumza na wananchi wa Mkoa wa Mara waliojitokeza kumpokea Mgombea Mwenza wa nafasi ya Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi leo Agosti 30, 2025 mara baada ya kuwasili mkoani Mara...
  8. Influenza

    GE2025 Kangi Lugola: Kati ya Wagombe 17 wa Urais, 6 wamenambia wanagombea kwa sababu Samia katoa magari kwa Wagombea

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mwibara kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kangi Lugola amepanda jukwaani kuzungumza na wananchi wa Mkoa wa Mara waliojitokeza kumpokea Mgombea Mwenza wa nafasi ya Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi Agosti 30, 2025 mara baada ya kuwasili mkoani Mara. Kangi amesema...
  9. Mupirocin

    GE2025 Matokeo ya ushindi Kangi Lugola Jimbo la Mwibara yagubikwa na Sintofahamu

    Jimbo la Mwibara ni miongoni mwa majimbo matatu ya Wilaya ya bunda. Wilaya ya Bunda ina majimbo matatu ambayo ni Bunda mji, Bunda vijijini na Mwibara.
  10. Kinoamiguu

    Yuko wapi Kangi Lugola?

    Huyu alikuwa Waziri wa mapolisi kipindi cha giza. Tuliambiwa alikuwa mwalimu wa malaika. Aliposhindwa kura za maoni kwenye kinyang'anyiro mwaka 2020 hajaonekana tena. Je, mzee wa kukata mauno KANGI LUGOLA YUPO WAPO? Atakumbukwa kwa jitihada zake za kuyaruhusu mabasi ya abiria yasafiri usiku na...
  11. Just Pray

    Kumbukizi: Rais Magufuli akimtumbua Kangi Lugola, 'kama kuna wizara inanitesa ni wizara ya mambo ya ndani, kusainiwa kwa mikataba ya ajabu ajabu'

    Alhamisi ya Januari 23, 2020 aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli alionesha kusikitishwa na kitendo cha waliokuwa viongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutia saini makubaliano ya zabuni ya kununua vifaa...
  12. ESCORT 1

    Kangi Lugola akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani aliwahi kukilalamikia Kituo cha Polisi Gogoni mwaka 2019

    Mwaka 2019, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola “Ninja” aliwahi kukilamikia kituo cha Polisi Gogoni kwa ukiukwaji wa haki. Tujikumbushe hapo chini; Waziri wa @WizaraMNN Kangi Lugola leo Juni 23, 2019 amefanya ziara ya kushtukiza Kituo cha Polisi Gogoni, Wilaya ya Kipolisi...
  13. Just Pray

    Hivi Kangi Lugola yupo wapi?

    Ninawasalimu wanajukwaa! Tangu kutenguliwa na Magufuli kutoka nafasi ya waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola hasikiki kabisa hivi yupo wapi? Mwanajukwaa mwenzangu wewe ulikuwa unamkubali kwa kipi huyu mzee akiwa waziri?
  14. Mshana Jr

    Nimegundua 'KITI' na watendaji karibu wote hawaijui Katiba

    Kangi Lugola aliyewahi kuwa Waziri wa mambo ya ndani, alikuwa anaonesha uzalendo wake kwa kuvaa shati lililonakshiwa kwenye mifuko na bendera ya Taifa! Huku akitembea muda wote na kitabu cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwingine alijinasibu uzalendo kwa kuvaa tai yenye rangi za...
  15. M

    Yuko wapi Kangi Lugola?

    Yuko wapi Kangi Lugola? Aliwanyoosha Polisi kwa uonevu. IGP Sirro akaomba msaada Ikulu ili aondolewe uwaziri. Maarufu kama Mabendera ya taifa, huyu jamaa alistahili kuwa waziri wa mambo ya ndani.
  16. S

    Haji Manara amuibua Kangi Lugola ugomvi wake na Karia

    Haji Manara amemtaja Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola kwenye ugomvi unaoendelea baina yake na Rais wa TFF, Wallace Karia
  17. Meja Jenerali Isamuhyo

    Hivi ilikuaje Kangi Lugola akawa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi?

    Hayati Magufuli enzi za uhai wake alipata kumteua Kangi Lugola Ninja luwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Jana nikawa mtandaoni YouTube nikasachi jina la Kangi Lugola, video zilizokuja nyingi ni kukata viuno au kuongea ujinga huku alitambulika kama Waziri. Je, vigezo gani hayati alivitumia...
  18. Kamanda Asiyechoka

    Yuko wapi Kangi Lugola aka Mabendera?

    Kimyaaaa.
  19. Mackanackyyy

    Dr. Dorothy Gwajima na makeke kama Kangi Lugola

    Binafsi Siamini kama Wizara ya Afya, ambayo kwa maoni yangu ni Wizara nyeti kabisa inahitaji kuwa na Waziri, ama viongozi wenye makeke, ama makelele yasiyo na tija. Kwanza uzoefu unatuonesha viongozi wenye makeke/ makelele wala hawadumu katika nafasi zao maana huwa hawana Ufanisi wowote zaidi...
  20. Samia atosha tukutane2030

    Kangi Lugola alikuwa sahihi kuagiza vifaa kazi vya kisasa vya kuzimia moto, lakini akatumbuliwa kwa sababu zisizo na msingi

    Tukichukulia tukio moja tu la moto uliotikisa au unaotikisa hifadhi ya Mlima Kilimanjaro tunapata jibu moja kwa moja kuwa ni vyema Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likawa na magari na ndege za kisasa za kuzimia moto. Tanzania tuna hifadhi nyingi, hivyo lolote linaweza kutokea kwenye hizi hifadhi...
Back
Top Bottom