kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Unaweza kuianzisha kampuni Tanzania kwa uficho?

    Nimeona kwa wenzetu inawezekana. Vipi kwa huku kwetu? Labda unataka kufanya siri kwa lengo la kuepuka "umaarufu". Hutaki marafiki, ndugu zako, mkeo na watoto wako wajue mwanzoni, ingawa unaweza kuja kuwaambia huko mbeleni, labda ikiwa "imeshabreak even" Hufanyi hivyo kwa lengo la kukwepa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats)

    Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats) Tafadhali BRT rejeleeni muongozo wa waundaji wa basi zenu. Muongozo unasema abiria waketi katika seats na sio kusimama, vile vile eneo la milango na korido...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Kampuni na Biashara (e-services)

    🔹 Tuwasiliane leo: 📲 WhatsApp: +255674916323 📞 Piga: +255674916323 🌐 Tembelea: Huduma Zetu: 🚀 USAJILI wa Kampuni, Jina la Biashara,Vikundi na NGOs - Kwa muda mfupi! ✅ Tax Clearance ✅ Leseni za Biashara 🔥 Company/NGOs Profile 🎨 Usajili wa Alama za Biashara na Huduma 🌐 Blog na Website, na...
  4. JamiiForums Tanzania Mtu mwngine amepandikiziwa kifaa cha akili bandia kwenye ubongo kutoka kampuni ya Elon Musk imeleta faraja kubwa

    Los Angeles, Mei 7, 2025 – Mr. Smith ameweka historia kwa kuwa miongoni mwa watu wachache waliopokea upandikizaji wa kifaa cha Neuralink – teknolojia ya hali ya juu inayowezesha mawasiliano ya moja kwa moja kati ya ubongo na kompyuta. Operesheni hiyo ilifanyika kwa mafanikio katika kituo cha...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde atangaza kiama kwa kampuni 95 za uchimbaji madini

    SERIKALI imetoa Hati za Makosa kwa Kampuni 95 za Uchimbaji Mkubwa na wa Kati wa Madini kutokana na wamiliki wa leseni hizo kukiuka masharti ya Leseni kama yalivyoainishwa kwenye Sheria ya Madini. Akizungumza leo Mei 6, 2025 jijiini Dar es Salaam, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde...
  6. JamiiForums Tanzania Mavunde: Tutazifutia leseni kampuni 95 za uchimbaji zilizoshindwa kuendeleza maeneo waliyopewa na Serikali

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ametoa agizo kwa makampuni ya uchimbaji takribani 95 ambayo yamepewa leseni za uchimbaji lakini bado yanaendelea kusuasua kuaza uchimbaji. Akizungumzia suala hilo Mei 6, 2025 bila kutaja majina ya wawekezaji hao, Mavunde amesema kwamba wameainisha makampuni...
  7. JamiiForums Tanzania Kampuni ya kusafirisha mizigo toka Japani kwenda Tanzania (Dsm).

    Nina ishi Japani Nataka kuleta baadhi ya mizigo Tanzania (haifiki kontena). Nahitaji kampuni itakayo nisafirishia na ku clear mizigo yangu bandarini. Kama kuna mtu mwenye kampuni yupo humu Au unaijua kampuni Naomba tuwasiliane. Kama kuna mwenye uzoefu pia naomba share nami. NB: Nahitaji...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujua Taarifa za Kampuni Yoyote

    Inashauriwa ni vyema kufanya search na kupata taarifa za Kampuni kabla hujaingia nayo ubia au kufanya biashara. Lakini swali la msingi hua ni namna gani unaweza pata taarifa zote za muhimu za Kampuni? Linapokuja suala la search watu wengi hukimbilia online sites na ku search Kampuni husika, na...
  9. JamiiForums Tanzania Eti samaki samaki za Dar ni kampuni moja na ya ile ya Morogoro

    Nyie wazururaji nijuzeni Mimi nilikuwa sijui mmiliki wa samaki samaki anaitwa nani na Kuna mtu kaniambia ndo mwenye wavuvi camp..swali langu fupi ni je mwenye hizohizo samaki samaki za dar masaki na mlimani city ndo huyohuyo anamiliki ile ya morogoro.
  10. JamiiForums Tanzania Kampuni za mikopo online zimerejea kwa kasi kubwa

    Hawa watu benki kuu iliwaondoa Cha ajabu wamerejea kwa Kasi sana.
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo afanya mazungumzo na Uongozi wa Kampuni ya Viettel

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Viettel, ambayo ni kampuni tanzu ya Kampuni ya Mawasiliano ya Haotel Tanzania Kanali Dao Xuan Vu, katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Hanoi, Vietnam...
  12. JamiiForums Tanzania Tulishawaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hawa 'QNET' ni 'Matapeli' hamkusikia sasa ngojeni 'Wawanyoosheni' ili mkome

    WAATHIRIKA WA AJIRA ZA QNET WAANZA KUREJESHWA MAKWAO: Waathirika wa utapeli unaofanywa kupitia Kampuni ya Biashara ya Mtandao Q Net katika eneo la Mbezi Dar es Salaam wameanza kurejeshwa makwao kupitia operesheni maalumu inayofanywa na ofisi za wenyeviti a serikali za mitaa ikihusisha kuondolewa...
  13. JamiiForums Tanzania Tujiburudishe na vichekesho: Mpe ex wako jina la bidhaa, kampuni, mnyama au eneo!

    Huu uzi haumlengi mtu yoyote na ni kwa ajili ya sanaa ya vichekesho na ubunifu. Naanza: Audiomack - kwa sababu huwa ananiimbia uongo on repeat. Cocacola - alikua amejaa gesi, hana ladha na ni hatari kwa afya yangu. Nike - kila muda alikua anataka we “just do it”. Kunguru - alikua mweusi...
  14. JamiiForums Tanzania CAG asema amebaini TANROADS wameilipa kampuni ya Kichina malipo ya ziada ya Tshs Milioni 586.43

    Wakuu, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amesema amebaini Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) alimlipa mkandarasi malipo ya ziada kwa wakandarasi ya Sh.milioni 586.43. Amesema katika ukaguzi wake alibaini Agosti mosi mwaka 2023, TANROADS ilimlipa Kampuni ya M/S China...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Phase 3 ambazo kampuni inabidi Ipitie Ili Ikamilike

    Watu wengi hudhani kwamba ukishapewa Certificate of Incorporation basi Kampuni yako imekamilika. Vipi kama nikikwambia pamoja na kua na hio certificate of Incorporation Bado unakua huruhusiwi kufanya biashara? Ndio, ili iruhusiwe kufanya biashara, Kampuni yako inabidi Ipitie hatua hizi Tatu...
  16. JamiiForums Tanzania Kampuni gani iliyopewa tenda ya vifaa vya uchaguzi ikiwemo tenda ya kuchapisha karatasi za kupiga kura?

    Ikiwa imebaki miezi mitano tu mpaka uchaguzi ufanyike bila shaka maandalizi kabambe yatakuwa yameshaanza, Je ni kampuni gani walipewa tenda ya vifaa vya uchaguzi ikiwemo karatasi za kupiga kura?
  17. JamiiForums Tanzania Baadhi ya kampuni za mawasiliano acheni masihara, fungeni cable zenye uwezo wa kurusha 5G, na sio 5G ya maneno matupu wakati vipimo vinaonesha 3G

    Baadhi ya kampuni za mawasiliano acheni masihara, fungeni cable zenye uwezo wa kurusha 5G, na sio 5G ya maneno matupu wakati vipimo vinaonesha 3G Dunia ya leo sio ya kudanganya watu kwasababu kuna vipimo vya kila aina vya kupima kasi na aina ya Band hivyobasi ni ngumu kudanganya vitu vinavyofaa...
  18. JamiiForums Tanzania Tajiri namba 2 Duniani, Jeff Bezos kuja na Kampuni ya Magari Slate Auto: Wataanza na EV Truck ya $25,000 tu!

    Mmiliki wa Amazon nae sasa kuja na Kampuni yake ya Magari. Kwa kuanza, anakuja na 2 seater Pick-up truck itayouzwa kwa $25k tu. Hii ni bei ndogo kuliko Tesla yoyote iliowahi kuuzwa. Taarifa zaidi za gari kama battery, motor na power hazijawekwa wazi ila sio muda zitakua wazi. Ikumbukwe kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ushahidi kuhusu kampuni za mikopo mtandaoni

    Habari wana JF, Ngoja nisonge kwenye mada, kwa kipindi cha miezi ya hivi karibuni nilikumbwa na changamoto iliyohitaji fedha ya haraka. Basi katika pita pita zangu nikaangukia kwenye kampuni za mkopo mtandaoni ambazo ni PesaX pro na Zimacash. Nilikopa na kulipa kwa wakati. Baada ya hapo...
  20. JamiiForums Tanzania Kuishitaki kampuni kwa kutokulipa mishahara na kuchangia NSSF

    Habari za muda huu wana JF, Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni mhanga wa kutokulipwa mshahara kwa muda wa miezi 3 sasa na kampuni moja inayojihusisha na utoaji elimu msingi kwa lugha ya Kiingereza, yaani English Medium. Shule hizo ndio kama waanzilishi wa mfumo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…