kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Viongozi wawajubiswe kama watashundwa kutekeleza zile ahadi walizotoa wakati wa kampeni

    Kila mwaka wa uchaguzi, tunaahidiwa miujiza – shule mpya, ajira kwa vijana, hospitali kila kata… lakini ikishapita miaka miwili, hakuna hata kokoto moja iliyosogezwa. Na wananchi tunaambiwa tusubiri. Mpaka lini? Ni muda sasa tuanzishe sheria mpya – sheria ya kuwalazimisha wagombea kutekeleza...
  2. JamiiForums Tanzania Nimefiatilia kampeni za upinzani hawana hoja, wanafanya comedy tu.

    Habari wanajf.kwa kweli nmeona wengi wanafanya vichekesho hawana hoja za msingi kuwashawishi raia za kuweza kuitoa CCM madarakani.
  3. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kurasa za mitandao ya kijamii za serikali, kuchapisha maudhui ya kampeni kwa mgombea mmoja ni sahihi?

    Tarehe 29.08.2025, Ukurasa rasmi wa Ikulu Mawasiliano ulichapicha taarifa zenye kichwa kisemacho "Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Ngerengere kwa ajili ya kuzungumza na wananchi...
  4. JamiiForums Tanzania Uko Zanzibar Kuna kampeni kweli?

    Yawezekana ACT WAZALENDO wakaanza kampeni Bila mgombea wa jamuhuri? Lakini niliona hta Mwinyi alichukua peke yake baada ya Samia kuchukua Je yupi ni WA muhimu Kati ya mgombea wa jamuhuri na mgombea wa Zanzibar? Kama nchi ni Moja kwa Nini vyama wagombea wasichukue siku moja na wazindue...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Chama cha NLD chaomba radhi kwa kusitishwa kwa shughuli za kampeni za Mgombea Urais mnamo Agosti 31, 2025

    TAARIFA RASMI YA CHAMA CHA NLD KUHUSU KUSITISHWA KWA SHAMRASHAMRA ZA KUMPONGEZA MGOMBEA URAIS MHE. DOYO HASSAN DOYO NA MGOMBEA MWENZA BI. CHAUSIKU KHATIBU, NA KUOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE ULIOJITOKEZA Chama cha National League for Democracy (NLD) kinapenda kutoa taarifa rasmi kwa waandishi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Naomba kipindi hiki cha kampeni TBC muwe mnatuwekea hotuba za Magufuli

    Ndugu zangu CCM kipindi hiki cha kampeni ili tuwezi kushinda kwa kishindo basi tuombe tuwe tunawekewe hotuba za Magufuli ikiwezekana kwenye redio zote za Tanzania hizi hotuba ziendane kama tunavyomsifia Mama ili tuwapiga wapinzani kweli kweli
  7. JamiiForums Tanzania Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

    Taasisi tuliyoitegemea zaidi kuwa ya mwisho kama tegemeo kwa Watanzania inaoneka nayo imebebwa na maji ya Chama cha Mapinduzi. Taasisi iliyotegemewa kwa weredi, umakini na kuwa bold dhidi ya siasa na wanasiasa sasa inaonekana imekuwa compromised. Inasikitisha sana kuona helicopter za Jeshi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Eneo la mkutano wa kampeni za CCM hapa Dodoma siku ya jana, liligeuka kuwa stand ya Daladala kutokana na wingi wa mabasi ya kusomba watu

    Huo ndio ukweli na yeyeote aliekuwepo atakuwa ushahidi wa hiki nachokisema. Daladala zinazofanya safari zake hapa mjini, tangu asubuhi ya jana zilionekana zikiwa zinasafirisha watu waliovaa sare za CCM na jioni baada ya mkutano kwisha, eneo la mkutano liligeuka stand ya Daladala na ya mabasi...
  9. JamiiForums Tanzania Nani kampeni meneja wa Samia?

    Naomba kujua kampeni meneja wa Mama ni nani?
  10. JamiiForums Tanzania Car4Sale Marejesho yamenizidi uwezo naitupa “Toyota Surf“ yenye sunroof ya kupigia kampeni

    Bei/Price TSH 15.5M Call +255 747 999 927 TOYOTA SURF Year: 1996 Engine: 2.7L Mileage: 100K Transmission: AUTO Sunroof Sport Rims Android Radio Clean Interior In Good Condition Exchange Possible
  11. JamiiForums Tanzania CCM wanafanya matamasha sio kampeni !! Kampeni lazima iwe na mshindani!

    Nimeangalia kwa makini kampeni za CCM ,naona kinachoendelea ni matamasha tu ! Kama vile fiesta au festival ya wasafi . Unafanyaje kampeni bila kuwa na mshindani ? CCM wanawinda mnyama Ambae tayari wameshamuua, ccm Wana roho mbaya haijapata kutokea ,mara zote nawaambia kupitia sanduku la...
  12. JamiiForums Tanzania Sitashiriki kampeni kwa aina ya wagombea tulionao

    Mfano CCM na ahadi zetu Za siku zote zomerudiwa tena wakati zile za nyuma bado! Mgombea si halali. Kila wakipita pita ntakuwa nafungua macho watanzania !! Kesho kama kawaida Mchengerwa aliingiaje kwenye dili la ndege na Magufuli akafichwa Nani Hasa analipa kikosi cha kuteka watu...
  13. JamiiForums Tanzania Leo "Live" za mikutano ya kampeni ya CCM huko mitandaoni hazifikishi hata Viewers 100

    Ingekuwa wanaweza kusomba viewers kwa mabasi huko kwenye social networks hakika wangefanya ivo kama wanavyofanya huko mitaani. Hali ni tete, ukiunganisha viewers wa media zooote kwenye social media zoooote huenda wasifike hata 500 tu.
  14. JamiiForums Tanzania Mapokezi ya mgombea urais CCM Kibaigwa-Dodoma

    "Kibaigwa tumeshuhudia historia ikijengwa—umoja na maendeleo mbele kwa mbele! ✊🌍
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Picha hii ni nyomi iliyosombwa na Malori kwenye kampeni za CCM Morogoro

  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa namna Kibaigwa ilivyofurika mkutano wa kampeni, tumtarajie kaka kuitisha press saa tatu usiku

    Shalom Sikutegemea kuona umati kama ule ukijitokeza kumpokea mgombea wa CCM kwa kiasi kile. Watanzania tuwaeleweje? Kwamba Polepole hamumsikii?... Hamumuelewi au!! Kujazana vile kwenye mikutano ya CCM mnatupa ujumbe gani Watanzania wenzenu tusio na upande? Naogopa
  17. N

    JamiiForums Tanzania Dkt Samia kwenye kampeni morogoro

    Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mkutano na wananchi Dakawa, Morogoro, aliahidi kukamilisha kituo cha afya na zahanati, kujenga mstari wa umeme wa 220KV kutoka Morogoro hadi Dumila, na kuanzisha Bima ya Afya kwa wote. Alisisitiza umuhimu wa kujenga uchumi wa kujitegemea na kuomba wananchi...
  18. JamiiForums Tanzania Kumleta wachungaji wafanya biashara kwenye ufunguzi wa kampeni ni dalili za kupotea

    Wana jamii hili suala la kumleta mchungaji janja janja kama Hananja ni dalili za kupotea na kutokujua unachofanya. Let be honest ivi kweli mtu unamleta mchungaji Hananja ndo aje kuombea ufunguzi wa kampeni au Mwamposa kweli iyo inaingia akilini? Hizi ni dalili za wazi Rais kapotea ndo maana...
  19. JamiiForums Tanzania Nani ni Meneja wa kampeni ya Samia Suluhu Hassan

    Ni nani,bado sijamfahamu
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Tutarajie Kampeni za CCM kusema awamu iliyopita ilikuwa sio za Samia na CCM

    Kama mjamshtua hadija kopa anaweza kusema muhula alioshika kijiti alikuwa sio yeye kwa sasa kila haadi zitakuwa zake. Maneno makande wakina lucas mwashamba mumetumia nguvu sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…