Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeweka ukomo wa matumizi ya fedha kwa wagombea urais katika uchaguzi wa 2027 kuwa zaidi ya Sh6.1 bilioni.
Kwa mujibu wa kanuni mpya zilizochapishwa kwenye Gazeti la Serikali, mgombea mmoja wa urais ataruhusiwa kutumia hadi Sh6,112,543,133 katika kipindi...