kambi

Kambi Group Plc is a B2B provider of sports betting services to licensed B2C gaming operators. The company provides a software platform with front end user interface, odds compiling, customer intelligence and risk management.
Kambi Group is listed on First North at Nasdaq Stockholm under the symbol "KAMBI". The company is eCOGRA certified, with Redeye AB as certified advisor .

View More On Wikipedia.org
  1. Blasio Kachuchu

    Vodacom Tanzania Foundation Yaandaa Kambi ya Matibabu Bure Morogoro

    Na Mwandishi Wetu Morogoro — Wakati magonjwa yasiyoambukiza yakizidi kuwa tishio kwa afya ya jamii nchini, Vodacom Tanzania Foundation imeanzisha kambi maalum ya matibabu bure kwa wakazi wa Morogoro ili kuongeza upatikanaji wa huduma za uchunguzi wa afya pamoja na elimu ya kujikinga na magonjwa...
  2. A

    KERO TAWA yafuta barua za ajira za askari wake 12 wa AJIRA MPYA. (Kozi Intake NO.02)

    Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori Tanzania (TAWA) Imezuia kukamilisha taratibu za ajira za Askari wake 12 waliomaliza kozi ya mafunzo ya jeshi la uhifadhi kwa muda wa miezi 6 (KOZI INTAKE NO.02). Mamlaka hiyo imesema kuwa Imebaini askari hao katika taarifa zao imeonekana wamemaliza kidato...
  3. Msanii

    Huu uwekezaji kibiashara kwenye kambi zetu za JWTZ, nani kauruhusu?

    Salaam ipo mwishoni Kambi ya jeshi Lugalo pale kona kwenda Kawe kuna shopping centre imejengwa kwa mfumo wa frames. Ndani ya Kambi eneo la mazoezi ya kimedani kwa wanajeshi wetu Lugalo pembezoni mwa shule ya Makongo uelekeo wa Mwenge kuna yard kubwa ya mjezi wa barabara imejengwa ndani ya Kambi...
  4. CHAGOSI GERALD

    4. JKT Kama Taasisi ya Taifa, Sio Kambi ya Kuosha Vijana Wakae Kimya

    Duniani kote, taasisi ni mahali pa kujenga watu, kuunda fikra, kutengeneza ndoto, na kuibua vizazi vinavyokuja kubeba uchumi. Lakini kambi ni mahali pa kuamrishwa, kukaa kimya, kutii bila kuuliza, kutumika bila kuulizwa. "JKT ilizaliwa kama Taasisi. Mfumo uliigeuza Kambi." Hili ndilo kosa la...
  5. Bawabu wa pili

    Wazazi waomba kambi ya wanafunzi wenye ufaulu wa chini iendelezwe

    Wazazi na Walezi wa Manispaa ya Mtwara–Mikindani mkoani Mtwara, wameiomba Serikali kuendeleza programu maalum ya kuwaweka kambi Wanafunzi wenye ufaulu wa mdogo ili kuongeza kiwango cha ufaulu.Ombi hilo limetolewa mara baada ya matokeo ya mtihani wa MOCK wa kidato cha nne ngazi ya Mkoa kuonyesha...
  6. Carlos The Jackal

    PostGE2025 Tetesi zinadai kua Makaburi ya Pamoja yalichimbwa katika Kambi za Jeshi , Miili mingine iliteketekezwa Kwa Matunuri ya moto Viwandani!!

    Kila kitu kitakufa Wazi. Jambo pekee nalowahakikishia Watanzania wenzangu !. Alichokifanya Samia na Genge lake, Hukumu yake haitaishia Kwao tu, Bali Kwa VIZAZI vyao yaan Ikijijua ni mtoto, mjukuu ,kituuu wa Hili Genge, wewe jihesabie Hukumu yako. Haw wasengee wameua sana
  7. tonicimmobility

    Tanzania kuzifunga kambi za wakimbiz Burundi

    Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani, wamepanga kufunga kambi ya wakimbizi ya Nduta na Nyarugusu kwa upande wa wakimbizi kutoka nchini Burundi ifikapo Juni, 2026 baada ya mahojiano yaliyofanyika kuhusu sababu za wakimbizi hao kukimbia nchi yao kuonesha...
  8. Ex Spy

    Kambi ya ‘Mgombea’ pale “Mlimani City” zilipokuwa ofisi za Vodacom inalenga nini?

    Waratibu: NN, JM, LN na ‘wazee wa kazi’ Na recruitment ya IT Experts wengine kutoka CoICT ya UDM iliyofanywa mapema Juni imeenda mbali kuhakikisha ushindi wa kishindo. Lakini, kwani kuna uchaguzi? Mbona zinatumika pesa nyingi bila sababu?
  9. Waufukweni

    Simba yaondoka Ismailia, kuweka kambi Cairo, Misri

    Kikosi cha Simba mapema leo Ijumaa (Agosti 15), kimeondoka jijini Ismailia kwenda jijini Cairo, Misri kuendelea na kambi ya maandalizi ya msimu mpya 2025/26. Kikosi cha Simba kitaweka kambi jijini humo hadi kitakapokamilisha program ya kocha Fadlu, na kisha kitarejea Tanzania mapema mwezi...
  10. Carlos The Jackal

    Kama Polepole yupo nchini, Basi atakua kwenye Moja ya Kambi ya Wazalendo wa Taifa Kwa Mujibu wa Katiba yetu !!

    Nadhani Askofu Gwajima aliiweka wazi hii,ndio Wazalendo namba Moja nchini . Kuna MTU aliandika humu, kua Wazalendo wetu Kwa Mujibu wa Katiba wanataka mtu ambaye ni Mzalendo pia kwenye Kiti atakyelinda Rasilimali za Nchi na Maisha ya Watu Kwa Wivu mkubwa. Naam Kwa Nguvu za watekaji, mbinu zao...
  11. Mtamba wa Panya

    The Daily Telegraph: Iran ilipiga kambi 5 za kijeshi za Israel

    Exclusive: Iran ilishambulia kambi tano za kijeshi za Israeli katika vita yao ya siku 12. Uchambuzi wa data za rada uliofanywa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Oregon(Oregon State University ) na kusambazwa na gazeti maarufu la Uingereza The Daily Telegraph, unaonyesha kwamba Iran ilipiga...
  12. Komeo Lachuma

    " Kama Mohammed hatoweza kwenda Mlimani, Mlima huenda kwa Mohammed. Ukrain yalipua Kambi kubwa ya kijeshi ya Urusi.

    And the vice versa is true "If the mountain won't go to Mohammed, then Mohammed must go to the mountain"
  13. The Zanzibar Echo

    Tunachokijua kuhusu mashambulizi ya Iran kwenye kambi ya kijeshi ya Marekani, Al Udeid

    Iran imerusha makombora katika kambi ya jeshi la Marekani nchini Qatar, ikisema kuwa ni kulipiza kisasi kwa mashambulizi ya Marekani dhidi ya maeneo yake ya nyuklia mwishoni mwa wiki. Mashuhuda wameripoti kusikia milio mikubwa angani juu ya Qatar, huku video zikionyesha miale mikali angani...
  14. Sun Zu

    Msemaji Wa Houthi: Tutashambulia kambi zote na manuwari zote za US ikiwa US itaigusa Iran

    —❗️🇺🇸/🇾🇪/🇮🇷 BREAKING: The spokesman of Yemen's Ansarallah, Yahya Saree, confirms that Yemen will target all American navy and commercial vessels in the Red Sea and Bab Al-Mandab if the U.S. bombs Iran @Middle_East_Spectator
  15. Dogoli kinyamkela

    Kama ulikuwa hujui kwanini Dar es Salaam kuna kambi ya jeshi inaitwa Lugalo wacha nikufahamishe

    Kama hukuwahi kufahamu sababu ya kambi ya jeshi ya LUGALO, iliyopo jijini Dar es Salaam, kuitwa hivyo – basi leo nakufahamisha. Watu wengi huamini kuwa kambi hiyo ilipewa jina hilo tangu mwanzo, lakini si kweli. Jina la "LUGALO" lina chanzo chake ambacho si Dar es Salaam, bali ni sehemu maalumu...
  16. Mshana Jr

    Sauti ya Mungu inazidi kutikisa na kutetemesha kambi za shetani

    Kibali chochote kile kikubwa Hushuka kutoka kwa Mungu! Pamoja na yoote dhidi ya Chadema - haya ndio majibu ya Mungu kwa watu wote wanaojaribu kukibomoa Cham hiki? Sauti ya Haki ni Sauti ya Mungu. Arusha Mjini.
  17. Yoda

    Kambi ya Mbowe kumeguka CHADEMA inaweza kuwa utakaso kwa dhambi ya Lowassa?

    Huwa inasemwa CHADEMA ilisaliti msimamo wake ilipomchukua Lowassa na kmfanya mgombea urais mwaka 2015 kama hii ni kweli basi kuondoka kwa kundi la Mbowe CHADEMA inaweza kuwa sawa na utakaso kwa dhambi hiyo. Ikumbukwe Mbowe na timu yake ndiye alikuwa kinara wa kumleta Lowassa CHADEMA mpaka...
  18. Sigonella Island

    Wanamgambo wa Israel wazingirwa wakiwa Kambi

    Wanamgambo wa Israel wamejikuta ndani ya mzingiro mkubwa wa moto huku wakitoa kilio cha hofu ya kuteketezwa na kubaki majivu. 🚨 BREAKING: Fires are advancing and reportedly surrounding Israeli occupation forces inside their military bases.
  19. blogger

    Huyu Yuko kambi nyingine. Ni vizuri ajitangaze mapema

    Maana wenzake wanamshangaa tu.
  20. mdukuzi

    Kambi ya Jeshi Lugalo ihamishwe serikali ipime viwanja vya makazi eneo hilo

    Hiyo kambi ipo kitambo sana enzi hizo mji unaishia Magomeni na Oysterbay, Sinza ilikuwa mashamba ya miwa na mpunga. Lugalo ilionekana ni nje ya mji. Mimi sio mtaalamu wa mambo ya kijeshi ila ile kambi kuwa pale ni kero tu. Kwanza huku Kawe watu wanaishi kwa hofu tu, kila mtu anajifanya ni...
Back
Top Bottom