Hatimaye Urusi imeanza kuongea lugha moja na dunia, hawa watu sio wa kucheka nao, unacheka nao wanakulipua, wanafundishwa chuki tangia utotoni mpaka wanakua watu wazima unafikiri wewe utawabadilisha leo?
Nchi yote imetaharuki, hamna pita pita za wanaume waliovaa mikanzu...