kali

  1. JamiiForums Tanzania Majizzo kiboko kaja na speaker zake Kali

    𝗠𝗮𝗷𝗶𝘇𝗼 𝗸𝗮𝗷𝗮 𝗻𝗮 𝘀𝗽𝗲𝗮𝗸𝗲𝗿 𝘇𝗮𝗸𝗲 Hatimaye mkurugenzi na muanzilishi wa media Efm na ETV nchini tanzania mfanyabiashara Majizzo amefanikiwa kupiga hatua kwa kuweza kuleta speaker zake nzuri 🔊. Majizzo ameamua kuleta speaker izo ambazo zenye kutumia teknolojia ya Bluetooth kuweza kukupatia...
  2. JamiiForums Tanzania Nauza Magauni ya mtumba, jumla 2500 hadi 3000. Unapata gauni kali

    Hellow wapendwa nauza nguo za mtumba kali Magauni na tops kali pia. -Magauni jumla utapata kuanzia sh 2000, 2500 tu hadi 3000 guys vigauni vizuri mnoo ambayo ukienda kuuza unapata faida kama unataka kuanza biashara karibu Nauza magauni kwa reja reja pia kuanzia sh elfu 7000 hadi 15000...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: KKKT ina Mkuu wa Kanisa mmoja tu, Dereva wawili hawawezi kuendesha gari moja kwa wakati mmoja

    KKKT Ina MKUU MMOJA TU Naona KKKT imepamba moto kutokana na matamshi ya mmoja wa Maaskofu wake. Kwa kimbelembele nilicho nacho naomba umma wa watanzania uelewe yafuatayo: 1. KKKT ina Mkuu mmoja tu. Dereva wawili hawawezi kuendesha gari moja kwa wakati mmoja. 2. KKKT hakuna cheo kinaitwa “Mkuu...
  4. JamiiForums Tanzania Leo nawataka wauza/wavaa tisheti kali tu

    Sikupi chimbo, nakupa maono! Nakupa code! Nakupa madini Kama hutaki bas mzee usinichoshe, tusichoshane.. Kuna watu wanavaq brand kali sana wanapenda kung'aa. Leo natak nizingumzie code ya tisheti kali zinaitwa "Unkut" original, sio grade 2 za elf 9. Hizi unkut zimesimama, grade 1 mzee...
  5. JamiiForums Tanzania Kondomu za Zana zina harufu kali na mafuta mengi kama ya kupikia, wahusika mziboreshe

    Government tunaomba hii bidhaa yenu iwe improved, ni hayo TU!
  6. G

    JamiiForums Tanzania UTI kali kwa mke wa mtu

    Wakuu salaam. Hivi mke wa mtu aliyeolewa inawezekana vipi akawa na UTI kali? Mme wake haipigi. Nauliza haya maswali maana yamenikuta Juzi nimetoka shamba nikakutana na mke wa jirani yangu mwalimu akanibless kimoja Cha chap! Lakini Hadi navyoongea hapa nimetoka kununua dawa ya kummaliza huyu...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimeagiza Valeur ndogo nimeletewa Viceroy na nina buku 5 cash. Mhudumu ni pisi kali niliyokuja kuilia misele niombe namba

    Natokaje hapa, ndo ushauri ninaohitaji. Hapa jirani kuna pub mpya imefunguliwa mwezi sasa, kuna pisi za hatari …. kuna hii moja juzi nilikuja ikanichekeachekea leo nilikuja mahsusu kwa ajili ya kuomba namba nikasema nizuge na Valeur ndogo nina buku tano tu. Sa kaleta Viceroy ndogo na...
  8. JamiiForums Tanzania Texas kupitisha sheria kali dhidi ya Islamic shariah law

    🚨BREAKING: Texas has passed a bill banning islamic shariah law and anything that contradicts American values. My take; Smart move, they don't want to end up like Canada and France.
  9. JamiiForums Tanzania Njaa ni kali wanangu ila tuwe makini na maamuzi nyeti wakati wa ukata maana huwa hayajirudi

    Mkopo juu ya mikopo. Kusaini mikataba ya kukunyonya basi tu ili upate hata kidogo cha kujikimu. Kuridhia masharti ya mganga ya kuleta damu ya mtu. Kuuza kiwanja kwa bei ya bure ili kupunguza makali ya tabu. Kumuua baba ili urithi mali maana uvivu wako umekuletea njaa kali. Kumpiga kibuti...
  10. JamiiForums Tanzania Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah

    Wanaukumbi. BREAKING: Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah. https://x.com/iriran_military/status/1842370522643886275?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw UP DATE….. ========================...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Mwalimu huyu; Mikono inatetemeka sababu ya pombe kali. Anashindwa kuweka saini na kusahihisha mitihani. Ipi tiba yake?

    Ni jamaa yangu..kila siku nipo naye kijiweni. Ila mikono inatetemeka na anashindwa kusaini na kusahihisha madaftali. Ipi tiba yake?
  12. JamiiForums Tanzania Naftar Benet: Tutaigawa Iran vipande elfu kwa miaka hamsini, jibu letu litakuwa kali na chungu

    Waziri mkuu wa zamani wa Israel Naftari Bennet amesema kuwa zamani Biden alisema acheni kwanza sasa amesema pambaneni tuko nyuma yenu hivyo tunachagua pakuanzia viwanda vya uchimbaji mafuta,nyuklia ,kambi za jeshi au makazi ya viongozi, kutakuwa na machungu makali na vilio. Waziri huyo anayeona...
  13. JamiiForums Tanzania Coder anayeweza kutengeneza Forum Kali.

    Nahitaji Coder anayeweza kucoding au kumodify CMS vizuri nataka tufanye kazi ya kutengeneza Forum. Ukiwa interested nicheck
  14. JamiiForums Tanzania TLS yathibitisha kutishiwa maisha kwa wakili Tito Magoti, Peter Madeleka pamoja na Ole Nguruma. Yaitaka Serikali Kuchukua Hatua Kali!

    https://youtu.be/3DxH0NUxzRY?si=xZRKgw9HtibCALQv Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeibua taharuki kubwa baada ya kupokea taarifa za kutishiwa maisha kwa mawakili watatu maarufu nchini Tanzania, Tito Magoti, Peter Madeleka, na Onesmo Ole Ngurumwa. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na...
  15. JamiiForums Tanzania Iran yasema ndio imeipelekea makombora Urusi.Vile vile imeshawapatia Hezbollah silaha yake kali ya EMP inayopiga mifumo ya kusambazia umeme.

    Habari za kijasusi za Marekani kwamba Iran wameisambazia Urusi makombora ya masafa mafupi zitakazotumika katika vita na Ukraine, sasa si siri tena baada ya mbunge wa Iran na mjumbe wa kutunga sera za kiulinzi kusema ni kweli wameshaipatia Urusi silaha hizo. Akiweka wazi hatua zao hizo,mbunge...
  16. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mjusi kafiri akidondokea kwenye chakula ukaila ni sumu kali inayoua mtu

    Wakuu salaam, Kuna mdudu anaitwa Mjusi kafiri, kumekuwa na hoja mbalimbali kwamba mdudu huyo ni hatari na ana sumu kali ikiwa atadondokea kwenye chakula na ukakila. Je kuna ukweli kuhusu hoja hii?
  17. JamiiForums Tanzania Taliban yaja na sheria kali zaidi dhidi ya wanawake Afghanistan, jumuiya ya kimataifa yalaani vikali

    Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma...
  18. JamiiForums Tanzania We do design and constrution

    One of our project at kibada kigamboni We do building design We do constrution at affordable price We do consultation Call /whatsap 0624004650 Office Sinza
  19. JamiiForums Tanzania Twende China tukutane na Avatr 12 EV: Hatchback kali na Luxury kuzidi Executive cars za Ulaya!

    Wakuu, ni EV nyingine kutoka China. Kuna hii kampuni inaitwa Avatr Technologies, hadi sasa wana model mbili tu za magari, ya kwanza ni Avatr 11 na ya pili ndio hii imeingia sokoni sasa inaitwa Avatr 12. Inasomeka Avatr one two! Hii ni executive hatchback, iliyokua designed na bwana mkubwa...
  20. JamiiForums Tanzania Usiku wa leo Harmonize anaenda kuachia ngoma kali sana

    Harmonize jeshi katangaza balaa usiku wa Leo Kwa mashabiki zake wanaenda kufurahi kwakua anaenda kuachia ngoma Kali sana mbili harmonize ndio mfalme wa bongo fleva ukibisha download ngoma zake halafu Kaa home sikiliza
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…