kalenda

  1. JamiiForums Tanzania Maktaba Yapokea Kalenda Inayoeleza Historia ya Ukombozi wa Afrika Kusini na Kitabu Kuhusu Ubaguzi Katika Elimu

    MAKTABA YAPOKEA KALENDA INAYOELEZA HISTORIA YA UKOMBOZI WA AFRIKA KUSINI NA KITABU KUHUSU UBAGUZI KATIKA ELIMU Mmoja wa wapenzi walio mstari wa mbele katika kuitia nguvu Maktaba ameitunuku calendar na kitabu. Ingawa kalenda imekuja katikati ya mwaka lakini haikuwa shida kubwa kwangu kutambua...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mbona kalenda za picha ya mama hazipo mitaani na anakubalika 97%

    Nimekutana na machinga wauzao kalenda mitaani akinionyesha kalenda yenye picha ya mwl Nyerere, Magufuli, Cha ajabu nilipomuuluzia picha ya mama akaniambia hiyo picha licha ya kuwa haiwezi kuuzwa lakni unapopita nayo mitaani unatakiwa kuwa na tahadhari sana. Inavyoonekana sijui ni nani...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ndio kalenda ya Shakira 2026

  4. JamiiForums Tanzania Msanii wa Africa kusini "TYLA" atoa kalenda ya mwaka 2026

  5. JamiiForums Tanzania Sheikh aliyesema Waislam wasile chakula cha Wakristo pia awashauri wasitumie Kalenda ya Wakristo

    Yule sheikh aliyevimbiwa ubwabwa na kuwataka waislam wasile chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya sikukuu ya Christmas pia awashauri wasitumie kalenda ya wakristo. Nchi nyingi duniani zikiwemo nchi za kiislam zinatumia kalenda ya Gregory na wala hawajawahi kusema ni haramu, inakuwaje chakula kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kila Mtu Tarehe Yake Ya Kuzaliwa Inaanguka Kwenye Kalenda Ya Yesu Kristo Mwana wa Mungu (AC, BC, AD)

    Kila Mtu Tarehe Yake Ya Kuzaliwa Inaanguka Kwenye Kalenda Ya Yesu Kristo Ulishawahi kufikiria hili? Tarehe yako ya kuzaliwa, iwe 1990, 2000 au 2025, haijajitegemea. Imehesabiwa kwa msingi wa miaka tangu kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Historia yote ya ulimwengu imegawanyika sehemu tatu: BC (Before...
  7. JamiiForums Tanzania Kalenda Mpya ya Minada ya Dhamana za Serikali Yatolewa: Fursa kwa Wewe Mwekezaji!

    Kalenda ya minada ya dhamana za serikali ni ratiba rasmi inayotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ikionesha tarehe na aina ya minada ya dhamana za serikali zitakazofanyika kwa kipindi fulani (kwa kawaida mwaka mzima au kila robo mwaka). Sasa jana kupitia kurasa zao BOT, wametoa kalenda ya nusu...
  8. B

    JamiiForums Tanzania June 23 TEHRAN kupigwa pigo takatifu, Kitabu cha Esther tarehe 23 kwa kalenda ya Kiyahudi

    23 June 2025 historia kwenda kujirudia . Mwanazuoni rabbi afafanua https://m.youtube.com/watch?v=tCx0oNy1DnI Rabbi anaingia kwa kina kuangalia historia hii katika kitabu kitakatifu : Katika Kitabu cha Esta, siku ya 23 ya mwezi wa Kiebrania wa Sivan iliashiria kipindi cha badiliko kutoka...
  9. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 6 haijui kusoma kalenda

    Salam wakuu. Nimekuwa nikimpima huyu kijana wangu mara kwa mara ila nahuzunika kuona hawezi kumaster mtiririko wa masaa na kalenda. Mfano leo nimemjaribu na mazungumzo yakawa hivi; Mimi: "..kwanin hujaenda shule wakati leo jumapili?.." Mtoto: "...leo ni jumatano mwalimu kasema hatuendi shule...
  10. JamiiForums Tanzania Je! Utafanya nini kama ukigundua kuwa kuna siku 10 hazipo kwenye kalenda?

    Ngoja nikuelezee kwa ufupi, Mwezi Oktoba mwaka 1582 ulikuwa wa kipekee kwa sababu ya mabadiliko ya kalenda yaliyotokea. Huu ndio mwezi ambao Kalenda ya Kijuliani ilibadilishwa na Kalenda ya Kigrigori, ambayo ndiyo tunayotumia leo. Mabadiliko Muhimu: Papa Gregory XIII aliamuru Kalenda ya...
  11. JamiiForums Tanzania Kalenda za uchaguzi wa ndani wa Chadema ni hatari. CHADEMA itaendelea kutokufanikiwa na haitashika dola milele!

    Chadema ilitakiwa kufanya uchaguzi wa chama mwaka 2022 kama sehemu ya mkakati wa kujiandaa kwa chaguzi muhimu zinazokuja. Uchaguzi huu ungekuwa na umuhimu mkubwa kwa sababu ungewapa nafasi wanachama wa chama kuweka msingi imara kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024, ambao ni...
  12. JamiiForums Tanzania Pamoja na kuwa na kalenda yao, na dunia kuwa na AI kuweza kutengeneza kalenda isiyofugamana na imani hizi kwanini waislam hutumia kalenda ya kikristo?

    Japo haijulikani wala kupewa umuhimu na kila mwanadamu, waislam wana kalenda yao. Waliamua kuwa na kalenda yao wakidukua Ukristo ulioanza kuhesabu tangu alipozaliwa Yesu. Pamoja na yote hayo, kwanini waislam, kisheria, wanatumia kalenda ya Kikristo? Je ni halali kwa mataifa yote kutumia...
  13. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mtumishi wa TRA aliyetishia Bastola na kujeruhi mtu Club 1245 yapigwa Kalenda hadi Januari 21, 2024

    Kesi inayomkabili mshtakiwa Derick Derick Junior, ambaye alionekana katika kipande cha picha jongefu (video) kilichosambazwa katika mitandao ya kijamii, akimshambulia mtu mwingine kwa mateke na kitako cha bastola, imepangwa kuanza kusikilizwa ushahidi Januari 21, 2025, katika Mahakama ya Wilaya...
  14. JamiiForums Tanzania Kalenda hii inaonesha kesho ni tarehe 32/10/2024

    Hii taasisi imetoa kalenda na kesho ni 32/10/2024 Nini maoni yako?
  15. JamiiForums Tanzania KERO Miezi mitatu nafuatilia Passport mpya, napigwa kalenda tu, ni kweli UHAMIAJI mmeishiwa material ya kuprinti Passport mpya?

    Nilianza kufanya mchakato wa maombi ya kupata Pasi ya Kusafiria kwa kufuata njia halali, awali nilienda Kibaha Mkoani Pwani, kuna staff mmoja wa pale akanishauri kuwa kama nina haraka nifanye mambi yangu mtandaoni kisha nielekeze nikachukue Passport yangu hiyo Dar es Salaam Nikafanya hivyo...
  16. JamiiForums Tanzania Je, ZFF haiitambui kalenda ya FIFA?

    ZFF ni Zanzibar Football Federation kwa Kiswahili ni Shirikisho la Soka la Zanzibar sawa na TFF. Kimenishangaza ligi ya Zanzibar inaendelea wakati huu ambapo mechi za timu za mataifa zikiendelea. Timu za Simba na Yanga zimecheza mechi za kirafiki kwa angalizo la kutooneshwa ama kutangazwa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kesi ya Diwani wa CCM Handeni yapigwa kalenda

    Kesi ya Diwani wa Chanika wilayani Handeni, Tanga, Abdallah Chihumpu imeshindwa kuendelea baada ya hakimu anayeisikiliza kutokuwepo mahakamani. Diwani huyo anashitakiwa kwa kosa la kumdhalilisha mfanyabiashara, Stanley Lyakundi kuwa ameiba eneo la wazi la Shule ya Msingi Chanika. Shauri hilo...
  18. JamiiForums Tanzania Rufaa ya Pauline Gekul (Mbunge Babati Mjini) yapigwa kalenda

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara, imeahirisha rufaa ya jinai iliyokatwa na Hashim Ally dhidi ya Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul baada ya mjibu rufaa huyo kutopewa wito wa kuitwa mahakamani. Leo Jumatatu Machi 18,2024 Mahakama hiyo ilipanga kusikiliza rufaa hiyo namba 577/2024...
  19. JamiiForums Tanzania Waafrika hatukupaswa kutumia kalenda moja na wazungu. Sisi tuko nyuma ya wazungu kwa miaka 300

    Hii naileta bila salamu! Karne ya 17 na 18 wazungu ndipo walipogundua teknolojia nyingi. Vitu ambavyo wazungu walivumbua Karne ya 17 -18 mpaka sasa Waafrika hatujagundua mithili ya hivyo. Tunapeleka watoto shule Ili waweze kutumia vitu ambavyo wazungu walivumbua miaka zaidi ya 300 nyuma ...
  20. JamiiForums Tanzania Ufunuo wa Mwafrika, Kalenda nyingi dunia moja!

    KALENDA NYINGI DUNIA MOJA 1. Kalenda ya Gregorian 2. Kalenda ya Pawukon (Bali, Indonesia) 3. Kalenda ya Ethiopia 4. Kalenda ya Kiyahudi 5. Kalenda ya Kichina 6. Kalenda ya Hijira 7. Kalenda ya Kiajemi 8. Kalenda ya Kijapani 9. Kalenda ya Julian 10. Kalenda ya Buddha 11. Kalenda ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…