kalenda

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Unazijua kalenda zinatofautiana miaka

    Dunia ina jumla ya kalenda 33 zinazotumika hadi hivi sasa, kalenda tunayoitumia nchi nyingi za Afrika ni hii ya Gregory mkuu, Je wazijua Kalenda nyingine? Kalenda ya kiebrania inayotumiwa na waisrael kwao huu ni mwaka 5780 – 5781. Kalenda iliyo na miaka mingi ni ‘Holocene calender’ hii...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Fahamu: Leo ni februari 15, 2020 kwa kalenda ya Julius

    Inashangaza kwa kalenda ya Gregory mkuu ambayo wengi tunaitumia leo ni Februari 29, 2020 lakini kwa kalenda ya Julius leo ni Februari 15 Kalend tunayoitumia inaitwa Greogarian Kalenda kwa sababu ya mchango wake kuhusu ile robo ambayo inakosekana kwenye kalenda ya Kaisari Julius Papa Gregory...
  3. Dr Orb

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni Mkristo au Muislamu? je, kalenda unayoitumia unaijua?

    Historia kuu inayozingatiwa kuhusu hesabu za miaka ni ile yenye mlengwa wa kidini. ambapo historia hiyo inasema miaka 2019 ilianzia mwaka 1 ambapo Yesu kristo alipozaliwa kwa mujibu wa Dionysius Exiguu. Hesabu hii haikuwa na uhakika na ilikuwa kimakadirio tu ya bwana Dionyius. Sababu kuu ya...
Back
Top Bottom