Hapo zamani za kale palikuwa na kijiji kimoja kizuri sanaa. Kijiji hicho kilikuwa na vitu vizuri kama dhahabu, gesi, maji safi na na mali nyingi msituni. Basi kiongozi mmoja mzalendo akapewa kazi ya kuongoza jahazi.
Wakaenda vizuri kumbuka kabla ya hapo waliongozwa na watu kutoka katika...